
SEHEMU YA AROBAINI NA TATU
Sophia aliondoka nyumbani kwao huku njiani maswali mengi yaki mvuruga kichwa chake, maana mama yake ameonekana kustushwa na kitendo cha yeye kupewa mimba na EdgarSASA ENDELEA...
“Ngoja tu! atatulia mwenyewe, maana niki mmiliki na kumtambulisha kuwa nimchumba wangu atokuwa na lakusema,” alisema Sophia akiendesha gari kurudi mbezi, huku nyuma mama yake baada ya kuingia ndani akamtuma binti wake wa kazi akamnunulie kipimo cha mimba, maana nikweli alikumbuka ni mwezi sasa ajaziona siku zake
Saa tano na nusu Edgar na Suzan waliingia ruguluni park na kuku tana na mzee Mashaka, ambae alikuwa amesha zitwanga bia kadhaa, kiasi cha kuanza kuchangamka, ni baada y Suzan na Edgar kupeana utamu kule nyumbani, wakianzia jikoni nakufwatia sebuleni, kisha wakamalizia chumbani, hapo wakaingia bafuni kuoga nakujiandaa kuja luguruni park, Suzan na Edgar walisalimiana na mzee Mashaka, kisha Edgar akaenda kukaa kwenye meza nyingine akiwapisha Suzan na mzee Mashaka waongee yao, “kwanza samahani sana kwa yaliyo tokea jana, mpenzi wangu” alianza mzee Mashaka, “sijuwi nishetani gani alinipitia” aliendelea mzee Mashaka na Suzan mbae hakutaa maongezi yawe malefu akadakia, “husijari baba, nilisha kusamehe toka jana usiku, najuwa ulibanwa, maana tuna mda mrefu sna atujafanya, ila usirudie tena”
Hapo mzee Mashaka aliachia zinga la tabasamu, “nakupenda sana Suzie unaufahamu wa hali ya juu, yani sijuwi aata kalitokea wapi kale ka mwanamke” aliongea mzee Mashaka pasipokujuwa kuwa Suzan alisha wai kumwona kwa mala ya kwanza pale pale akiwa na yule yule mwanamke, tena mchana kweupeeee, “husi jari baba siwezi kukuacha, tumetoka mbali sana” hapo mzee Mashaka akainua begi lake na kufungua zip kisha akatoa bahasha kubwa ya kaki, akamkabidhi Suzan, hii ita kufuta hasira za jana, mama maana ilikuwa balaha siyo kidogo, hivi ulikuja na nani mwingine?, maana yule mwanamke alipigwa na chupa aka...” aliongea nzee Mashaka na Suzan akadakia huku ana weka ile baasha kubwa iliyo tuna kwenye mkoba wake, “tena nime kumbuka, Sophia jana alikuwa ananifwatilia kwanyuma, yani ata sikujuwa kama anafanya hivyo” kusikia hivyo mzee Mashaka akastuka, “weee, una sema kweli?” aliuliza kwa mshangao
Hapo Suzan akapata wazo la kwanza kumpa ujasiri mzee Mashaka, “he unamwogopa mwanao? si uka mwonye hasimwambie mtu” aliongea Suzan aktupia macho alipo kaa Edgar, japo alikuwa mbali alimwona akichezea simu, “hapa simwogopi, ila kunamambo yame tokea nahisi Suzan ana usika” hapo mzee Mashaka akamsimulia kilicho tokea jana baada ya yeye kuondoka, ni tukio la kupigwa kwa binti wajana, pia kupoteza fahamu kwa mkewake, “lakini mbona nilimwona yupo sawa tu!” aliuliza swali lililo kosa jibu, “sizani kama amemwambia, ngoja nitapata jibu” alijipa uakika mzee Mashaka, “mimi naona leo ukatulie nyumbani, alafu tupunguze mawasiliano tuongeze usiri” alishauli Suzan, na mzee Mashaka aka unga mkono, “ni kweli unachosema..” aliongea mzee Mashaka huku akiitoa simu yake mfukoni, nakuitazama, ni bahada ya kugundua kuwa ilikuwa inaita, “huyooo anapiga simu, ebu nimsiklize” alisema mzee huyu, akiipokea simu iliyo pigwa na mke wake
Mama Sophia alikuwa amekaa chumbani kwake, kopo la mkojo pembeni na kipimo kidogo cha mimba mkononi, simu sikioni, “hupo wapi mume wangu?” aliuliza baada ya mzee Mashaka kupokea simu, “nipo kimara na malizia kikao, vipi nije nikuchukue Hospital” aliongea mzee Mashaka akijifanya kuongea kwa utulivu sana, kama kweli yupo kwenye kikao muhimu cha kibiashara,”nipo nyumbani mume wangu, nimesha toka hospital, madoctor wamesema sina tatizo lolote,” aliongea mama Sophia akiigiza sauti ya kudeka flani, ambayo mzee Mashaka aliisikia muda mtefu sana uliopita toka kwa mkewake
“Ok! safi nikitoka huku nakuja huko nikubebee nini?” aliuliza mzee Mashaka kwa saui nzito iliyo jaa mapenzi kwa mke wake, “ngoja nita kutumia kwenye sms, ila husichelewe kurudi mume wangu, nikuambie walicho sema ma doctor,” alisisiiza mama Sophia, “ok usijari, nitumie hiyo sms alaka, maana nakaribia kumaliza kikao,” mzee Mashaka nayeye alisisitiza, hapo mama Sophia akaandika sms kwenda kwa mumewake akitaja kitu anachotaka aletewe, kisha akaituma kwenda kwa mume wake , akatabasamu na kukitazama kile kidudu cha kupimia mimba, “lazima nikukabizi kwa baba wakambo” aliongea mama Sophia akikiweka kile kidudu kwenye lile kopo la mkojo, kisha akalibeba kopo akaingianalo chooni, na kumwagia ule mkojo kwenye sink la choo, kisha akaflash
Mzee Mashaka alipo maliza kuongea na mke wake, akamtazama Suzan, “hajuwi lolote huyu, japo izi siku mbili tatu alionyesha kunichukia sana, ila leo yupo kawaida tu” aliongea mzee Mashaka akiitazama simu yake ambayo iliingia sms, toka kwa mkewake, alipo isoma alicheka sana huku akimwonyesha Suzan nayeye alipoisoma akajiunga na mzee Mashaka kuangua kicheko, sms iliandikwa hivi, “kila kitu kipo ndani, ila umeondoka na mbo.., mnaomba uilete”, walicheka kwa sekunde kazaa, kisha mzee mashaka akaongea “si nilikuambia, ajuwi huyu, henhe! ebu niambie Suzie, hivi huyu mdogo wako, nayeye amemaliza chuo,” aliuliza mzee Mashaka, pia akamsifia kwa kitendo cha kumsaidia sikuile, akidai anataka ampatie kiasi kidogo cha fedha, kwa ajili ya maitaji yake muhimu kwa kipindi hiki ambacho atakuwa ana tafuta kazi, pasipo kujuwa knacho ongelewa
Edgar yeye alikuwa amekaa pembeni, mbali kidogo na wakina Suzan akichezea simu yake, mala ikaingia sms kwenye simu yake, ilikuwa inatoka kwa Sophia, “leo siku ya ngapi?” Edgar akajibu, “Juma pili” kisha akaituma na kuifutaile ya Sophia nayakwake akaendelea kuchezea simu yake, mala ikaingia nyingine “siyojumangapi bwana, nisiku yangapi ujanitomb..” hapo Edgar alitabasamu kidogo, “siku ya nne, vipi uana minyege” akaituma, nakuzifuta kama mwanzo, sasa wakawa wanachati, “tena nina nyege, mpaka kialage kimesimama” Edgar alicheka, “mwenzi mwepessss, Suzie ametoka kuzikamua sasa hivi,” Sophia akajibu, “weeee usinitanie niwekee za kwangu, bila vitatu sija kuachia leo”
Hapo Edgar akachekecha akili, “leo atuwezi kuonana, tume toka kidogo” aliamua kumdanganya, mala ikingia sms nyingine, “ok nimekumbuka, Suzan aliniambia kuwa mtakwenda bagamoyo, ok kesho uje uni tomb.. bwana mwenzio nina tani” kabla ajajibu Edgar akastushwa na mhudumu wa ile bar, “samahani kaka unaitwa paleeee” aliongea yule mhudumu akimwonyesha kuwa anaitwa na wakina Suzan, moyo uli mlipuka, maana alijiona mwizi, hapo akaandika sms alaka na kumtumia Sophia, “ok nitakutafuta kesho” kisha akafuta zile sms zote, nakuelekea kwenye meza ya wakina Suzan huku moyo ukidunda, maana Edgar alitambua kabisa kuwa, maendeleo ya mama mwenye nyumba wake yanatokana na juhudiza huyu mzee, pia toka alipo ambiwa ukweli huo na Suzan jana usiku, alitambua kuwa amesha gonga mke na binti wa huyu mzee, yani sophia na mama yake
Wakati huo Suzan alikuwa anamtazama Edgar kwa umakini sana akimsoma jinsi anavyo jisikia, akagungua hali flani ya wasi wasi usoni kwa Edgar, roho ika muuma Suzan, lakini wote wakajitaidi wasi onyeshe hali zao mbele ya mzee Mashaka, “kijana kwanza ongera kwa kumaliza chuo,” alisema mzee Mashaka baada ya Edgar kukaa kwenye kiti, “asante sana” aliitikia Edgar huku akianza kupunguza wasi wasi, hapo mzee Mashaka aka towa maburungutu ma tano ya noti za elfu kumi kumi na kumkabizi Edgar
“Hizi zitakusaidia kipindi hiki unasubiri ajira, mimi mwenyewe nita kusaidia kutafuta kazi ya maana” alisema mzee huyu na Edgar akapokea zile fedha na kuzishika mkononi, akiwa hana pakuzi weka, Suzan akachukuwa bahash aliyo pewa na mzee Maashaka na kumimina maburungutu ya fedha ambayo alikuwa bado haja yahesabu, kwenye mkoba wake, kisha akampa Edgar ile bahasha, “asante sana mzee” alishukuru Edgar huku anaweka zile fedha kwenye bahasha, “ok! Suzie nazani wacha niwai nyumbani, nikakae namgonjwa,” aliongea mzee Mashaka wote wakainuka, “sawa ila husi sahau kumpelekea mzigo alioagiza mama” hapo mzee Mashaka na Suzan wakacheka, maana walifahamu alicho agiza mama Sophia, wote waliingia kwenye magari yaona wakwanza kuondoka mahali pale alikuwa ni mzee Mashaka, akiwaaha Suzan na Edgar wakiwa ndani ya gari lao, wakimtazama mzee Mashaka akikamata barabara ya kwenda mjini, nakutokomea
Hapo suzan akapandisha vioo mpaka juu, na kuwasha a/c, kisha akamshika Edgar kichwani na kumsogeza kwake, nakukutanisha midomo yao, wakaanza kubalishana mate yao, kwa kunyonyana ulimi, walifanya hivyo kwa dakika kadhaa, kisha wakaachiana, “Edgar nakupenda sana,” alisema Suzan huku akipitisha kidole gumba chake kwenye midomo ya Edgar akifuta lip stick aliyoipakaza yeye mwenyewe wakati akimla mate mpenzi wake, “ata mimi nakupenda sana Suzan” alijibu Edgar na suzan akaachia tabasamu matata nakuwasha gari, sfari ikaanza kuelekea kibamba huku Suzan akionekana kuwa kimya kabisa, kama kunajambo anawaza, Edgar kuona hivyo akatoa siu yake mfukoni na kuanza kucheza game, lakini aiona kuna sms mbili juuya simu, moja ina itoka kwa mama Sophia na nyingine kwa Sophia
Ya Sophia iliandikwa “sawa jitaidi tuonane hiyo kesho, sitoenda kazini” sms ya mama Sophia iliandikwa maneno ambayo yaliustua moyo wa Edgar, “mpenzi nanyege sana yani utazani jana uja nitomb.., tena nakakukuzalie mtoto” hapo akujibu kitu, akazifuta haraka kabla ata Suzan aja shtuka, “hivi huyo mgonjwa wa mzee Mashaka ni nani?” aliuliza Edgar, akimstua Suzan ali onekanaka kuzama kwenye mawazo mazito, “ni mke wake alipatwa na mstuko asubuhi, lakini yupo vizuri tu” alijibu Suzan wakati wanakata kona kuingia kibamba, “hoo! nimekumbuka, ebu simama” alisema Edgar wakati wana yapita magenge kuelekea kwao, Suzan akasimamisha gari, bila kuelewa alicho kikumbuka Edgar, zaidi alimwona anashuka toka kwenye gari na kuelekea kwenye genge moja na kununua malimao, Suzan akatabasamu kidogo
“Ananifanya nimpende sana huyu mwanamume, ila kuna kitu inabidi ni mwambie, maana bila ya hivyo atuwezi kuishi kwa amani”, aliwaza Suzan wakati Edgar akiingia kwenye gari na kumfuko cha malimao, kama ulikuwa hujuwi mpaka leo Edgar alikuwa ana timiza million kumi na mbili na laki tano, ambazo alikuwa anaziifadhi kwenye begi lake dogo la mgongoni ndai yaa begi lake kubwa, fedha izo suzan akuwa anazijuwa, “asante kwa kunijari mume wangu” alisema Suzan akipokea ule mfuko na kuuweka vizuri, wakaondoa gari kupitia kwenye bucha la mnyama la ras, kwaajili ya kununua nyama ya kula siku yaleo
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI NA NNE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com