MAMA MWENYE NYUMBA (47)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (47)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA AROBAINI NA SABA ILIPOISHIA... “Hongera Suzan umefanikiwa, una uamisho wa kwenda Songea , unatakiwa ulipoti ndani ya siku saba, sasa fanya makabiziano ya ofisi ukimaliza upewe form ya uamisho” SASA ENDELEA... Aliongea manage huku aimkabidhi barua toka makao makuu ya benk yao, hapo Suzan akaachia tabasamu moja matata sana, “asante mungu kwa kufanya kila nianalo lipanga liede sawa,” alisema Suzan akipokea barua huku boss wake akitoka ofini, na kupishana na monika, “dada Suzan mdogo wako,”aliongea suzan kwa pupa hisiyo na mfano, Suzan akamtazama Monica kwa hasira, pasipo kusema lolote, “dada suzie Edgar amekamatwa kwa nguvu na watu flani hivi” aliongea tena Monica, baada ya kuona Suzan amwelewi Hapo Sophia akastuka kidogo, “unasemaje monica?” aliuliza Suzan akisimama na kumsogelea Monica, “wakati natoka kwenye chai, nikamwona Edgar anangia hapo nje yupo na gari lako, nikasema nimkimbilie nika msalimie, mala ghaafla likaja gari moja hivi n…