MAMA MWENYE NYUMBA (5)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (5)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Hakuamini kijana yule mpole anaweza kumfumua yule mwendesha pikipiki namna hile, hakuwa na lakufanya, akamsindikiza kwa macho mpaka alipo potea machoni kwake SASA ENDELEA... Akirudi alikotokea upande wa chuoni kwao, hapo Suzana akanunua maitaji yake, huku akisikia jinsi watu pale wakimsifia yule kijana kwakumshikisha adabu, mwendesha pikipiki mjinga, nakabla hajaondoka alishuhudia polisi wakifika pale na kumchukuwa yule kijana, ni baada yakuhoji kilicho tokea, muda mfupi baadae Suzana alikuwa amesha fika nyumbani kwake, akabadirisha nguo zake, nakuvaa nguo nyepesi ambazo upenda kuvaa akiwa mwenyewe nyumbani, au anapokuwa na mpenzi wake mzee Mashaka , ni kigauni chepesi kifupi kinachoishia juu ya magoti, katikati ya mapaja, nakusababisha mapaja yake ma nene na makalio yake makubwa kuonekana vizuri, tena leo hakuvaa nguo za ndani, kuanzia sidilia mpaka chupi, kitu licho sababisha kila kitendo alicho fanya kiliutikisa …