
SEHEMU YA HAMSINI NA NNE
“Sophia umekutana na Suzane?” aliuliza mama Sophia akitaka kuakikisha jambo flani, “ndiyo nilienda kumuona hosptal, na yeye alilazwa baada ya kupata taalifa ya kutekwa kwa Edgar”SASA ENDELEA...
Hapo mzee Mashaka akashindwa kuvumilia, akaona asipo liweka sawa jambo hili anaweza kuishia jela, na kuivuruga familia yake, akaonyesha ishara yakuomba peni na karatasi, dakika chache baadae aliletewa, akaandika maneo flani flani, nakumpa mke wake, ‘Edgar ni mzima, mwiteni Suzane tuongee nae vinginevyo mambo yata fikia pabaya, mimi na wewe mke wangu tutaongea’Ilisha timia saa mbili na nusu, pale Ruhaha mbuyuni Edgar na Rose walichelewa sana kuondoka, nikutokana na Rose kuchelewa kuamka, akidai amechoka sana, maana Edgar aliamka toka saa kumi na moja na dakika 45 akaoga na kuvaa nguo zake za jana, huku kila mala akimwamsha Rose, “bado bwana kwani tuna haraka gani?” hayo ni baadhi ya majibu ya Rose, Edgar akatoka nje, akakuta magari yame baki machache sana pale nje, mengi yalisha ondoka, akaenda moja kwa moja kwenye gari la Rose, akiwa na funguo za gari lile Toyota Harrer jeusi, aka akikisha kama gari lipo salama, pia alifungua nakuingia ndani na kuangalia mizigo, huku lengo likiwa ni kukagua kama begi lake la fedha lipo salama, alipo akikisha kuwa kila kitu kipo salama Edgar akarudi ndani, akipitia upande wa hotel na kuagiza supu ya kuku na ndizi za kuchemsha, zipelekwe kwenye chumba walicho lala
Akiwa anaongozana na mhudumu aliebeba supu mbili alizo nunua, aliingia chumbani na kumkuta Rose akiwa ametoka bafuni kuoga, dakika chache baadae Rose alikuwa amesha vaa nguo zake zile za jana, alicho badirisha ni chupi tu!, wakakaa na kunza kupata supu, taratibu kabisa mpaka saa mbili asubuhi, ndiyo mda walioanza safari ya kuelekea Songea dereva akiwa Edgar, safari ilianza kimya kimya, huku mda mwingi Rose akiwa anachat na simu yake, akitumiwa sms na kurudisha majibu, wakati huo Edgar naye alikuwa akiendesha gari huu mawazo yake yakiwa yana waza vitu vingi sana, kwanza aliwaza sana tukio la jana la mzee Mashaka, akustuka kujuwa kuwa mzee Mashaka amefahamu kuwa yeye anatembea na Suzan, kilicho mshangaza mzee huyu kujuwa kuwa anatembea pia na mwanae sophia, Edgar aljikuta anatabasamu baada ya kukumbuka alivyombia kuwa ata mkewake anaweza kumsibitishia kuwa yeye akumtongoza
“Vipi Edgar mbona kama na furahi mwenyewe?” aliuliza Rose, ambae licha ya kutumia simu yake kutuma na kupokea sms, lakini mala kwa mala alikuwa anamtazama Edgar, huku akivuta picha ya tukio la jana usiku ndani ya chumba cha Hotel, maana asubuhiyaleo alijisikia vizuri sana mwilini mwake, utazani amezaliwa upya, “nimekumbuka wakati nakuamsha eti una sema atuna haraka, wakti unajuwa tunako kwenda ni mbali” alisema Edgar wakendelea na safari yao, “kwani wewe hujuwi kuwa mwenzi nilikuwa nime choka” alisema Rose akinyanyua mkono na kumpiga Edgar kwenye bega, huku wote wakicheka kidogo, “ila Edgar asante sana mpenzi, yani nime enjoy sana, namshukuru yule afande kwakutukutanisha” alisema tena Rose baada ya kimyakifupi, “na wewe pia Rose, nimefurahi sana kuwa na wewe” alisema Edgar huku Rose akiandika ujumbe kwenye simu, alipo maliza akamtazama Edgar huku akiunyanyua ,kono wake wa kulia na kuulaza kwenye bega la Edgar
“Nawewe ulienjoy hen? aliuliza Rose akijichekasha, zaidi ya ninavyoweza kuelezea, “mh! kweli? kwani wewe ulipenda stsili gani?” aliuliza Rose huku akifungua ujumbee ulioingia kwenye simu yake, “nilizipenda zote, lakini ile ya kuinama niliipenda zaidi” aliongea Edgar, wote wakacheka, kumbe unapenda kuangalia matako yangu yanavyo tikisika” alisema Rose huku wakiendelea kucheka, “sana yani, dah nahivyo ulivyo jaliwa mh!” hapo wkacheka tena huku Rose akiandika ujumbe nakuutuma kisha akaweka simu kwenye dash board, “sasa sijakuumiza pumb.. zako maana nilisikia zina nigonga gonga kwenye kialaghe, ila nilikuwa najisikia utamu” aliongea Rose akikaa vizuri nakupandisha mguu moja juu kiti, nakujigeuza kidogo akitazama upande wa Edgar
“Haaa! wapi, tena nikikimbuka natamani usiku urudie tena” alisema Edgar akiendelea kukanyaga mafuta na sasa walikuwa wanakaribia comfort, “inamaana wewe ujachoka?” aliuliza Rose akimtazama Edgar kwa umakini huku mkono wake mmoja akiuweka shavuni, “mh! yani nichoke tokea jana mpaka leo?” alisema Edgar akimaanisha kuwa yupo vizuri, “kwahiyo ataleo unaweza kunifanya kama jana?” aliuliza Rose akionyesha mshangao wakuto amini, “siyo leo ata jana ungetaka tuendelee, mbona tungekesha” alisema Edgar na sasa walikuwa wakipita hotel ya Comfort na kuelekea milima ya kitonga, kwa jibu hilo Rose akatabasamu na kukaa vizuri, akishusha mguu chini na kutazama mbele, “kama ndo hivyo basi raha” alisema Rose akilaza siti na kujilaza
Saa tano asubuhi maeneo ya Tumbi Hospital kwenye kimgahawa komoja kilichopo nje ya Hospital hiyo shemu ya kulia chakula, walikuwa wamekaa mama Sophia, Sophia mwenyewe na Suzane, maongezi yalikuwa yana endelea, mama Sophia akimweleza Suzane kilakitu alichoambiwa na mume wake,n huku Suzane akiomba msamaha kwa kutembea na mzee Mashaka, akitoa sababu ya kushawishiwa na mzee huyo kwa kunyweshwa kilevi, “pamoja na kuwa ume tembea na mume wangu, mimi nime shakusamehe, ila tunaomba haya mambo yasifike mbali” alisema mama sophia akiendelea kusisitiza kuwa Edgar aliwatoroka wakina mzee Mashaka, na kwamba atakuwa mzima wa afya pia akmwambia kuwa inawezekana Edgar akawa ametoroka na fedha za mzee Mshaka
“Kwanza kabisa kama mnataka haya mambo yasifike mbali, kuna mambo matatu myafanye, moja mpaka nimpate Edgar ndiyo nitaamini kuwa ni mzima, pili Sophia acha kunifwatilia, kama ni ujauzito wako mimi nipo tayari kulea mwanao, tatu naomba simu ya Edgar” hayo mengine yali kuwa mepesi ka wakina Sophia na mama yake, lakini la kuonekana kwa Edgar itakuwa ni shida sana kwao, “sikia Suzane tume toka mbali sana mwanangu, pamoja nakwamba Edgar nimchumba wako, lakini kumbuka tuliko toka, kuhus Edgar atakuwa mzima,” aliongea kwa msisitizo mama Sophia, akitowa simu na kumpa Suzane ambae aliipokea
“Mama kweli tumetoka mbali, lakini kwa hili natoa siku moja tu! mpaka kufika kesho mida kamahii Edgar hajaonekana naenda kutoa taalifa polisi, na mtekaji na mtaja mumeo, alionekana na bahati nzuri pale benk kuna camera za ulinzi, naimani amerecordiwa wakati wakimchukuwa, na bahati nzuri alitumia gari lake” alisema Suzane akiinuka na kuondoka zake akienda kupanda kwenye gari lake nakutimua mbio kuelekea barabara kuu ya morogoro, akiwaacha Sophia na mama yake wakimkodolea macho, “tume kwisha mwanangu” alisema mama Sophia akimtazama mwane ambae bado nia yake ikiwa kuishi na Edgar, huku akimtazama mama yake nakuwaza, “hivi huyu Edgar aogopi kweli, yani ukutazama uchi wa mama kama huyu, sibalaha hii”
Saa saba kasolo iliwakutia Edgar na Rose wakiwa Iringa ipogoro, wakipata chakula cha mchana, kwenye Hotel moja iliyopo pembezoni mwa barabara kuu, huku wakipulizwa na kabaridi kwa mbariiii, “edgar nikuulize kitu?” aliongea Rose wakiendela kula, pasipo kumtazama Edgar, “niulize tu!” alijibu Edgar nayeye akiendelea kula, pasipo kumtazama Rose, “umesha wai kutembea na mke watu?, na kama ndiyo ilikuwaje maana najuwa lazima alikung’ang’nia” aliuliza Rose swali ambalo lili upasua moyo wa Edgar, akimkumbuka mama Sophia, Edgar akavuta pumzi ndefu, kisha akaishusha, “hapana” alijibu kwa kifupi na kumfanya Rose atabasamu “mbona kama ume stuka sana?, ila Edgar kitu nataka nikuombe, je utakubari?” Rose alimwambia Edgar, huku safari hii akiinua usowake uliotawaliwa na tabasamu nakumtazama Edgar usoni kwa macho ya kulegea, “niambie Rose, naimani utaniomba kitu ambacho ninacho” alisema Edgar akiacha kula na kumtazama Rose usoni, “naomba leo tulele Njombe, mwenzio nimeshakuzowea” alisema Rose akinyoosha mkono wake na kumshika Edgar kwenye bega na kufanya kama anampooza flani hivi, kwa kukichezesha kiganja chake cha mkono, .......
Hapo Edgar alitulia na kumtazama Rose ambae alikwepesha macho yake na kuinamia sahani yake, akiendelea kula, Edgar alijaribu kutafakarikama kweli biti huy alikuwa anaongea kwa kumaanisha au alikuwa ana tania, lakini kiukweli Rose hakuwa na dalili ya utani, “kwanini tusiende kulala Songea,” aliuluza Edgar, akiwa ameacha kula anamtazama Rose, “mimi nataka tulale Njombe bwana, au unakawai kademu kako ulikamisi” alingea Rose kwa sauti ya kudekea huku nisu ya sauti hiyo ikipitia puani, “hapana Rosesiyo hivyo, ila nakufikilia wewe, nimeona unaongea kwenyesimu unaema uta report kesho” Edgar alimwambia Rose ambae muda wote alikuwa anamtasmini kuwa kama siyo mtoto wa tajiri mmoja pale Songea basi atakuwa ni mfanya biashara au mfanyakazi anaelipwa vizuri, “hiyo haina shida, we! niambie tu! kama tutalala au utaki” sasa Rose alikuwa ana ongea kwa kulalamika, akiwa ame mkazia macho yaliyo anza kukata tamaa
Edgar ambae nayeye alionekana kuwaza kidogo, “kwani una haraka gani, Edgar bwana, tulale Njombe, kama gharama nitalipia mwenyewe” aliongea tena Rose, baada ya kumwona Edgar akiwaza juu ya ombi lake, kiukweli Edgar alitafali mambo matatu, la kwanza ni kuhusu, penzi la ghafla la binti huyu mrembo tena kijana kama yeye, alafu mwenye mwonekano wa maisha bola, na mwenye kiu ya mapenzi, mwisho wake nini, pia alitafakari sana kuchelewa kwake kufika Songea, kunge wapa wakati mgumu wazazi wake, maana hakuwa na mawasiliano yoyote, pia kufika kwake Songea angeweza kuwasiliana na Suzan, maana wazazi wake walikuwa na namba ya suzane, pia ata rafiki yake Suzan aliepo Songea, yaani Selina, pia angeweza kumpatia namba ya mama mwenye nyumba wake, nakuwasiliana, sasa hii kulala lala njiani inge mweka pabaya asa endapo uzan ataamua kuulizia Songea kwa wazazi wake na kuambiwa hayupo
Edgar aliwaza hayo akiamini kuwa Suzan bado hajajuwa kuwa yeye yupo wapi, “lakini leo tuki lala Njombe, kesho mapemaaa tupo Songea” aliwaza Edgar huku akiachia tabasamu panausoni mwake, nakumfanya Rose nayeye atabasamu, huku akiona kiaibu cha kike, “unanicheka bwana mistaki” aliongea Rose akimtishia kumpigaEdgar, “hapa siku cheki, nilikuwa nakushangaa unavyo lalamika, unazani mwanaume anaweza kukukatalia mwanamke mrembo kama wewe” Rose alipo sikia hivyo akaachia tabasamu kamili, “kwahiyo tume kubaliana?” aliuliza kwa shahuku Rose, pigia mstari tena tuwai mapema tuka faidi baridi”
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA TANO
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com