MAMA MWENYE NYUMBA (54)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (54)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA NNE ILIPOISHIA... “Sophia umekutana na Suzane?” aliuliza mama Sophia akitaka kuakikisha jambo flani, “ndiyo nilienda kumuona hosptal, na yeye alilazwa baada ya kupata taalifa ya kutekwa kwa Edgar” SASA ENDELEA... Hapo mzee Mashaka akashindwa kuvumilia, akaona asipo liweka sawa jambo hili anaweza kuishia jela, na kuivuruga familia yake, akaonyesha ishara yakuomba peni na karatasi, dakika chache baadae aliletewa, akaandika maneo flani flani, nakumpa mke wake, ‘Edgar ni mzima, mwiteni Suzane tuongee nae vinginevyo mambo yata fikia pabaya, mimi na wewe mke wangu tutaongea’ Ilisha timia saa mbili na nusu, pale Ruhaha mbuyuni Edgar na Rose walichelewa sana kuondoka, nikutokana na Rose kuchelewa kuamka, akidai amechoka sana, maana Edgar aliamka toka saa kumi na moja na dakika 45 akaoga na kuvaa nguo zake za jana, huku kila mala akimwamsha Rose, “bado bwana kwani tuna haraka gani?” hayo ni baadhi ya majibu ya Rose, Edgar akatoka nj…