MAMA MWENYE NYUMBA (55)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA TANO ILIPOISHIA... Rose alipo sikia hivyo akaachia tabasamu kamili, “kwahiyo tume kubaliana?” aliuliza kwa shahuku Rose, pigia mstari tena tuwai mapema tuka faidi baridi” SASA ENDELEA... Alisema Edgar, huku Rose akionyesha kuchangamka alichukuwa simu yake kwenye mkoba, na kuanza kuandika ujumbe, ‘yani sijuwi kama nita weza kuingia Songea leo, maana gari lime zima ghafla hapa iringa wakati nakula, ndio natafuta mafundi’ aliituma sms hiyo nakuirudisha simu kwenye mkoba wake, wakaendelea kula mpaka walipo tosheka, kisha safari ikaendelea kuitafuta mafinga Ophia na mama yake walirudi ndani na kumsimulia mzee Mashaka jinsi maongezi yao na Suzane yalivyo kuwa, wakimweleza jinsi Suzane alivyo pania kulifikisha lile swala polisi kwa kutegemea ushaidi wa mtu aliewaona wakimteka Edgar, na camera za benk, hapo mzee Mashaka ambae alikuwa hawezi kuongea, akaandika kwenye karatasi maneno marefu hivi, kisha akamkabidhi mke wake, mama Soph…