MAMA MWENYE NYUMBA (56)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA SITA ILIPOISHIA... Kwanza kabisa alikumbuka jinsi huyu binti alivyo kuwa anamshobokea Edgar, kila mala anapo wakuta, pia anafahamu kuwa Edgar hakuwa na Rafiki wa kiume zaidi ya rafiki wa kike tena ni huyu Joyce pekee SASA ENDELEA... “Sikia Joyce huna haja ya kuitoa hiyo mimba, chakufanya mimi nita kusaidia kuilea, nakulea mtoto, mpaka utakapo maliza chuo, ikiweze kana mpaka utakapo pata kazi au kumpata baba wa mtoto, pia nita mwambia Edgar amtafute, huyo kijana” alisema Suzane kwa sauti ya uturivu kabisa akihisi kuwa Edgar alisha vuruga na hapa kwa Joyce, “nitakupatia chumba kimoja hapo nje, utakaa mda wote utao itaji kukaa, naia nita kutumia fedha za matumizi mala kwa mala, ukiwa na tatizo niambie mimi, hua haja ya kuwasiliaa na Edgar,” aliongea Suzane akiwa katika hali ya kawaida tu, ata Joyce hakuhisi kitu zaidi ya moyo wake kupata faraja Suzane alim[atia Joyce namba zake za simu, aka mpatia fedha laki moja akimwagiza ke…