MAMA MWENYE NYUMBA (56)

Zephiline F Ezekiel
0
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA HAMSINI NA SITA
Kwanza kabisa alikumbuka jinsi huyu binti alivyo kuwa anamshobokea Edgar, kila mala anapo wakuta, pia anafahamu kuwa Edgar hakuwa na Rafiki wa kiume zaidi ya rafiki wa kike tena ni huyu Joyce pekee

SASA ENDELEA...
“Sikia Joyce huna haja ya kuitoa hiyo mimba, chakufanya mimi nita kusaidia kuilea, nakulea mtoto, mpaka utakapo maliza chuo, ikiweze kana mpaka utakapo pata kazi au kumpata baba wa mtoto, pia nita mwambia Edgar amtafute, huyo kijana” alisema Suzane kwa sauti ya uturivu kabisa akihisi kuwa Edgar alisha vuruga na hapa kwa Joyce, “nitakupatia chumba kimoja hapo nje, utakaa mda wote utao itaji kukaa, naia nita kutumia fedha za matumizi mala kwa mala, ukiwa na tatizo niambie mimi, hua haja ya kuwasiliaa na Edgar,” aliongea Suzane akiwa katika hali ya kawaida tu, ata Joyce hakuhisi kitu zaidi ya moyo wake kupata faraja

Suzane alim[atia Joyce namba zake za simu, aka mpatia fedha laki moja akimwagiza kesho akanunue simu, pia alienda kumwonyesha chumba kile kilicho kuwa cha Egar kwamba muda wowote anaweza kuamia, baada ya kufanya hivyo Joyce aliondoka akimwacha Suzan amesimama akimwangalia, “Seline” aliwaza Suzane akimkumbuka Rafiki yake Seline ambae yupo Songea anako elekea Edgar, Suzan alikimbila ndani nakuingia chumbani kwake kisha akatoa simu yke kwenye mkoba wake akaiwasha, “nikizubaa nitamkuta amesha muoa kabisa” alingea Suzan akiwa na wasi wasi yasi jirudie yaliyo tokea Dar kwa Rafiki yake Sophia

Edgar na Rose mida hii walikuwa wana tembea kwamiguu kwenye viunga vya stendi ya njombe mjini, wakiwa wamevalia majacket makubwa na kofia za sweta (mizura), huku wakiwa wameshikana mikono, walizunguka huku nahuku wakiangalia mji hule ambao kwao ni mgeni, kwasababu siku zote walikuwa wakipita njiani tu’ ni masaa matat sasa toka walipo ingia njombe na kufikia kwenye Hotel ya Selena, mbapo ndani ya masaa hayo matatu walisha fanya yao, maana ile kufika tu! wali parck gari lao sehemu salama ya maegesho ya Hotel hiyo na kuingia kwenye chumba walichoonyeshwa, walipo ingia ndani tu! Rose alinza kuvua nguo haraka haraka utazani zinaupupu

Yaani ile Edgar anamaliza kufunga mlango anakuta Rose akimalizia kuvua suluwali yake ya jinsi kisha akafwatia bikini, alipo maliza akamsogelea Edgar, ambae alikuwa ame simama akiusanifu mwili mzuri wa binti huyu, alie kutananae safarini, Rose akaanza kufungua mkanda wa suluali ya Edgar nakufatia zip, sekunde hache panda e tayari suluali na boxer ya Edgar ilikuwa magotini, dudu ikiwa ime simama tayari kwa kazi, Rose akaikamata na kuichezea kidogo, huku anamtazama usoni Edgar, “nikikuumiza niambie” alisema Rose kama kawaida yake, huku ana sogeza dudu mdooni kwake na kuilamba kichwa ya dudu, kama anaijaribu, kisha akaanza kuuzungusha ulimi wake akiutembeza kwenye kichwa cha dudu ya Edgar

Wakati mwingine akiupeleka ulimi wake mpaka kwenye shingo ya dudu, muda wote alikuwa akimtazama Edgar usoni, akamshuhudia akifumba macho hishala ya kusikilizia utamu, Rose akazamisha kichwa chote cha dudu mdomoni mwake na kuanza kuki mun’unya kama analamba pipi kijiti, zoezi hilo lili dumu kwa dakika tano hivi, huku wakatimwingine akiizamisha dudu mdomoni mwake na kuitoa, “vipi baby, una enjoy?” aliuliza Rose na Edgar akajibu “yes” Rose akaidumbukiza tena mdomoni, nakuendele kunyonya, baadae kidogo Rose aka simama na kwenda kujilaza kitandani, akitanua miguu, hapo Edgar nae aka msogelea na kuzama mgodini kutafuta dhahabu kwa ulimi

Kwa hakika shuguli iliendelea kwa dakika 45 ndipo walipo maliza mchezo wao, huku wote wakiwa wame lizika na matokeo, ndipo walipo oga nakujiandaa kisha wakatoka nakuelekea mtaani, kuu tazama mji wa njombe, walizunguka mitaa ya stendi ya Njombe, wakitembea huku wameshikana mikono, kiasi kwamba kila alie waona alitambua kuwa ni wapenzi tena walio shibana, kuna kipindi simu ya Rose iliita akaitoa kwenye mfuko wake wa jaket nakuitazama mpigaji, kisha akapokea, hapo Edgar akusikia maongezi ya upande wapili, ila aliweza kimsikia Rose, ambae alikuwa nae karibu kabisa, “poa kabisa ... nipo Njombe....... yani hachatu kuna baridi..... nazani kesho mapema sana nitakuwa nimefika..... ndiyo nipo mtaani, kuna vitu nimekuja kuchek... poa... ila simu yangu karibu inakata chaji, nitaizima kidogo ili niichaji... poa poa” maongezi ya isha kisha simu ikakatwa

Huku nakop Suzane alipiga simu kwa Seline, “niambie best za Songea,?” aliongea Suzan mala tu baada ya Seline kupokea simu, “huku poa kabisa, ila best wewe nimtu mbaya sana, kumbe unaamia huku ata biala ukuni julisha” alilalamika Seline, Suzane akushangaa kwa Seline kujuwa juu ya uamisho wake, maana inapotokea mfanyakazi kuamia kwenye tawi Fulani, lazima taalifa zake zitumwe mapema kule anako amia, “haaa best si’ndio maana nime kupigia” alisema Suzan kisha wakaanza maongezi, Suzane alitumia hakili nyingi sana kumpanga Seline asikutane na Edgar, alimweleza kuwa kwa siku hizi mbili hasiende kwakina Edgar mpaka yeye atakapofika Songea, kwa ni kkuna jambo anaitaji kuli fanya kabla ajampeleka huko, Selina ambae alipo sikia kuwa Suzan anaamia Songea alifurahisana alipo sibitishiwa na Szan mwenyewe, pia akakubariana na Suzan kuhusu swala la kuto kwenda kwa kina Edgar mpaka yeye atakapofika Songea

“Hapo afadhari ila sasa lazima kesho ni kamilishe utaratibu wa uamisho, alafu kesho kutwa niondoke na ndege kutangulia Songea mizigo itaondoka kesho hiyo hiyo” aliwaza suzan baada ya kumaliza kuongea na Seline, wakati huo akaona kibahasha kwenye kioo cha simu yake, kinachoashilia kuwa kuna ujumbe kwenye simu yake tena ilionyesha kuna sms mbili, akafungua zile sms, yakwanza ilikuwa inatoka kwa mzee Mashaka, ‘Suzane tume toka mbali sana, kumbuka yote niliyo kutendea kwa wema kabisa, namimi naomba unisaidie, usiende polisi, naakika Edgar nimzima kabisa, nimekutumia na hizo million thelasini zikusaidie, mengine tutaongea tukikutana’

Baada ya kumaliza kuisoma sms ya kwanza, Suzane akaifungua ile ya pili, ilikuwa ni sms ya huduma za kibenk, ikimweleza kuwa amepokea tsh million thelasini toka kwenye a/c hiyo (ikionyeehs namba) hapo hakumaliza kuisoma ile sms, “yes, mambo yanazidi kuwa mazuri, lakni mzee Mashaka siwezi kuendela kukudanganya, nimesha mpata wangu, wewe tulia na mke wako” alisema kwa kunong’ona Suzan, hukutabasamu lime chanua usoni kwake, akaachana na zile sms nakutafuta namba ya baba yake Edgar, kisha akaipiga. ilisha timia saa mbili na nusu za usiku

Mida hiyo nyumbani kwa mzee Haule, ilikuwa ni mida ya chakula cha usiku mzee Hule, akiwa na mke wake mwanae yani mke wa bwana kazole na azole mwenye walikuwa wameizunguka meza kubwa, huku kila mmoja akiwa na saani yake akiendela kupata chakula kizuri cha maana, tofauti na walivyo zowea bwana Kazole na mke wake, walendelea kula huku macho yao yakiwa kwenye TV wakitazama taalifa ya habari, mala simu ya mzee Haule ikaanza kuita, akaichukuwa na kuitazama

“Hooo hao wamesha washa simu” alisema mzee Haule na kupokea simu, “hallow mkwe habari za huko” aliongea mzee haule kwa uchangamfu, maana alingaika sana mchana kuwa tafuta bila mafanikio, baada ya kusalimiana Suzan alimweleza mzee Haule juu ya ujio wa Edgar huko Songea, akieleza kuwa Edgar amesahau simu yake wakati anaondoka, pia suzane alimwambia mzee Haule kuwa nayeye mda wowote anaanza safari ya kuja Songea “jamani Edgar yupo njiani, anaweza kuingia leo usiku au kesho” alisema mzee Haule akioyedha kuwa na furaha baada ya kumaliza kuongea na Suzane mkwe wake, “we baba Eddy usiniambie” aliongea mama Edgar akiachia vigere gere, “anakuja na mke wake?” aliuliza mama Edgar, “hapana ila mkwe naye muda wowote atakuja huku” aliongea mzee Haule kisha bwana Kazole akadakia, “afadhari maana nilitaka nimpigie simu anisaidie fedha” aliongea bwana Kazole bila ata chembe ya aibu, wote wakamshangaa bwana Kazole

Baada ya kumaliza mizunguko yao, Rose na Edgar walirudi Hotelin na kuingia sehemu ya kupata chakula, walikula taratibu huku wakiongea hili na lile, wakifanyiana michezo ya kimapenzi, walipo maliza wakaingia kwenye chumba walichofikia, chakwanza kabisa walitoa ile chupa ya mvinyo walito inunua jana ruhaha mbuyuni, toka kwenye mkoba wa Rose, wakaanza kuinywa taratibu huku waki fanyiana michezo ya kimahaba, adi mwisho walipo jikuta wakianza kufanya kale kamchezo ambako kame mfanya Rose amshawishi Edgar walale Njombe, ambapo walijikuta wakitumia masaa matatu, wakirudia mala kadhaa kwenye ulingo kiasi kwamba wakaanza kuhisi viungo vyao vikiwaka moto, ndipo saa nane usiku walipo amuwa kulala

Siku yapili Suzan aliamka mapema sana, alijiandaa na kwenda mbezi kazini kwake, huko alitumia masaa mawili kukamilisha taratibu za uamisho wake, kisha akachhukuwa barua na form ya uamisho, pia akapewa fedha ya safari pamoja na mizigo, kisha akaaga na kuondoka zake akielekea air port, mpala saa nne alikua amesha fika uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere telminal two, akakata tiket kwenye kampuni moja ya ndege binafsi, ambapo alitakiwa kesho saa sita mchana aanze safari ya kuelekea Songea, baada ya hapo Suzan akaelekea buguruni, kwenye kampuni moja ya usafirishaji, alitumia lisaa limoja ku fanya makubaliano ya kumsafirishia gari lake Toyota Lav 4, pamoja na mizigo yake yote ya ndani ya nyumba yake, baada ya kumaliza maongezi hayo akalipakiasi alichotajiwa, kisha akaongozana na gari moja kubwa truck long vehcle aina ya Volvo, wakielekea Kibamba kwenda kupakiza mzigo wakwenda Songea, ilikuwa saa saba nanusu ndipo Suzan alipo sikia simu yake ikiita, alipo tazama aliona mpigaji ni baba mkwe, yani baba yake Edgar ......

Mapigo ya moyo ya Suzan yalienda mbio kidogo, akaitazama ile simu mala mbili mbili akishindwa kupokea, maana alijuwa ile simu inge mletea taarifa nzuri ya kuwasili kwa Edgar Songea au inge mvunja moyo kama ange ambiwa kuwa Edgar hajaafika Songea, hapo Suzan akaipuuzia mpaka alipo fika nyumbani , kwanza kabisa alisimamisha gari lake nje kabisa ya fenzi yake, akapiga ile namba ya baba kwe, “shikamoo baba” alisalimia Suzan baada tu ya simu kupokelewa, “balahaba mama mwenye nyumba ujambo” ilikuwa ni sauti ya Edgar, “hapo Suzan aka piga kelele kwa furaha “Waoooooo, umeshafika salama, nashukurusana mumemwangu , mimi kesho nakuja huko huko huko,”alisema suzan kisha akamwambia Edgar kuwa wataongea baadae, ngoja kwanza amalize kupakiza mizigo kwenye gari

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA SABA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)