MAMA MWENYE NYUMBA (57)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA SABA ILIPOISHIA... “Waoooooo, umeshafika salama, nashukurusana mumemwangu , mimi kesho nakuja huko huko huko,”alisema suzan kisha akamwambia Edgar kuwa wataongea baadae, ngoja kwanza amalize kupakiza mizigo kwenye gari SASA ENDELEA... Suza akashuka kwenye gari na kuongozana na watu waliokuja na gari la mizigo wakaingia ndani na kuwaonyesha mizigo inayotakiwa kusafiri, kazi ikaanza mala moja, wakati huo akawaita wapangaji wake na kuwaaga kuwa anasafiri kikazi zaidi ya hapo, akawasisitiza kuwa waaminifukwenye utunzaji wa nyumba na ulipaji wa kodi ya nyumba, bahati nzuri Joyce naye aka amia sikuile ile, mizigo iliendelea kupakiwa kwenye gari pamoja na gari la Suzan nalo lika pakizwa kwenye lile Volvo truck Ni kweli Edgar alikuwa ameshafika Songea saa sita za mchana, wakiwa wameondoka Njombe saa moja asubuhi, njiani walifanyiana michezo ya kimahaba, lakini Rose alionekana kuwa mnyonge kidogo, maana alitamani kuendelea kukaa na …