
SEHEMU YA HAMSINI NA SABA
“Waoooooo, umeshafika salama, nashukurusana mumemwangu , mimi kesho nakuja huko huko huko,”alisema suzan kisha akamwambia Edgar kuwa wataongea baadae, ngoja kwanza amalize kupakiza mizigo kwenye gariSASA ENDELEA...
Suza akashuka kwenye gari na kuongozana na watu waliokuja na gari la mizigo wakaingia ndani na kuwaonyesha mizigo inayotakiwa kusafiri, kazi ikaanza mala moja, wakati huo akawaita wapangaji wake na kuwaaga kuwa anasafiri kikazi zaidi ya hapo, akawasisitiza kuwa waaminifukwenye utunzaji wa nyumba na ulipaji wa kodi ya nyumba, bahati nzuri Joyce naye aka amia sikuile ile, mizigo iliendelea kupakiwa kwenye gari pamoja na gari la Suzan nalo lika pakizwa kwenye lile Volvo truck
Ni kweli Edgar alikuwa ameshafika Songea saa sita za mchana, wakiwa wameondoka Njombe saa moja asubuhi, njiani walifanyiana michezo ya kimahaba, lakini Rose alionekana kuwa mnyonge kidogo, maana alitamani kuendelea kukaa na Edgar kwasiku nyingine zaidi, licha ya Edgar kuendesha gari taratibu, lakini Rose aliona kama gari lina tembea kwa speed sana kuwai Songea, kiukweli aliona kama ndio mwisho wa kuwa pamoja na Edgar “hivi baby, toka tume anza safari sijakuona ukishika simu atamala moja” aliuliza Rose huku akitoa simu yake kwenye mkoba na kuiwasha, maana tokea alipoizima jana,“daaa simu yangu imeibiwa juzi wakati najiandaa kuondoka pale chuo, hapo nime panga nikifika Songea ninunue nyingine” alisema Edgar wakikatiza Mlilayoyo ni kilomita chache toka mjini Songea, huku simu ya Rose ikiingia sms mvfululizo
“Kwanini ukuniambia mapema tunge tafuta simu atandoo pale Njombe,?” aliongea Rose akisoma ujumbe kwenye simu yake, kisha akajibu ujumbe mmoja wapo, “usijari nikifika Songea nitanunua” alijibu Edgar huku safari ikiendelea na kuzidi kuukaribia mji wa Songea, “nisijali? sasa nitaipataje namba yako?” ailongea Rose huku akiwa anamtazama Edgar kwa macho yaliyo kata tamaa, lakini akashangaa kumwona Edgar anatabasamu, “mbona lahisi tu, we niandikie namba yako sehemu mimi nikinufika mjini nanunua kabisa simu, alafu wakwanza kumpia niwewe” maneno hayo yalimfanya Rose atabasamu, huku anatoa note book na peni kwenye mkoba wake, Edgar akaitazama ile Note book, ili mfanya ambambue kuwa Rose ni mtu wa namna gani, maana ilikuwa ni nyeusi yenye picha ya ngao ya taifa, (uhuru)
“Kama siyo mfanya kazi wa serikali, basi wazazi wake ni wafanyakazi wa serikali” aliwaza Edgar huku Rose akiandika namba ya simu kwenye Note book, kisha akachana kile kipande cha karatasi na kumwekea Edgar kwenye mfuko wa Suluali yake, “yani usisahau kuni pigia babay nitakumiss sana” aliongea Rose akiwa anachukuwa simu yake nakutazama ujumbe mpya ulioingia mda huo huo, “husijari Rose, yani ukitaka ata leo tuna wweza kulala pamoja” aliongea Edgar wakati anapandisha mpando wa kuingia msamala, Rose akastuka baada ya kuusoma ujumbe kwenye simu yake, “samahani Edgar tafuta sehemu nzuri usimamishe gari gari, kunawatu wananisubiri hapo mbele, niliwaambia nipo peke yangu,” alisema Rose hku akiandika ujumbe na kuutuma
“Hivi Rose uja niambia unafanyia kazi wapi?” aliuliza Edgar huku akipunguza mwendo na kusogeza gari pembeni ya barabara sehemu yenye maduka, hapo Rose ak tabasamu kidogo, “nitakuambia tukikutana tena kesho, maana leo itakuwa ngumu kukutana” alisema Rose akifungua mkanda wa seat na kujisogeza kwa Edgar na kumpa ulimi paipo kujari kama kuna watu watawaona, wakapeana ulimi na kunyonyana mate kwa sekunde kazaa, “nita kumiss sana baby, nakuomba husisahau kuni tafuta mpenzi wangu, alafu uwe una tuma sms mana nikiwa ofisini uwa simu naitoa sauti” alisisitiza Rose akifungua mkoba wake na kutoa pochi, ksha akaifungua na kutoa note tatu za elfu kumikumi, “kodi Taxi, pole sana kwa usumbufu baby” aliongea Rose akimpatia Edgar zile fedha
“Hapana Rose usijali, ela ya taxi ninayo” alijibu Edgar akichukuwa begi lake la mgongoni nakufungua mlango na kutaka kushuka, lakini Rose akamshika mkono, “kwanini unakataa ela yangu basi ongezea kwenye simu,” hapo Edgar akapokea japo alikuwa nazaidi ya miilionihamsini kwenye begi, “ok asnate sana baby, nitakucheck nikisha nunua simu” alisema Edgar huku akushuka toka kwenye gari la Rose, huku Rose akimsisitiza kumtafuta kwa kupitia ujumbe wa maandishi, Edgar simama pembeni akimwona Rose akiingia upande wa dereva na kuondoa gari, huku akimpungia mkono, nakumwonyesha ishala ya kumtafuta kwa simu, hapo Edgar alitabasamu huku akionyesha ishala y adore gumba kuwa poa, atimae gari la Suzan lika potelea mbele, “mh! japo ni mrembo huyu dada, lakini hapana wacha ni wasiliane na suzan mpenzi wangu, sijuwi kama atachukuwa uamisho tena” aliwaza Edgar akimsogelea mwendesha pikipiki mmoja kati ya wengi aliokuwepo pale msamala
Mama sophia na mwanae Sophia walikuwa wamekaa nje ya Hospital wakipumzika kwenye viunga vya hospital teule ya Tumbi, “mpaka hapo Suzie atakuwa amesha mpata Edgar, maana naona yupo kimya kabisa” alisema Sophia akimwambia mama yake, “nazani itakuwa hivyo, au labda baba yako amesha mtumia sms ya kumtuliza” alijibu mama Sophi, lakini yule mtoto siku mtegemea kabisa, yani na uzuri wake wote hule anatembea na mzee kama huyu?” aliongeza mama sophi, “yani mimi mwenyewe nime choka..” Sophia alisita kuongea, akamtazama binti wa jana akiwa na subira wana pita mbele yao, “zatoka jana dada” alisalimia Subra baada ya kumkumbuka Sophia
“Safi tu! vipi hali ya mgonjwa” aliitikia Sophia, kih yle binti yaani Subira akajibu, “anaendelea vizuri, shikamoo mama” Subira alimsalimia mama Sophia kabla hawaja endelea na safari yao, “mama unakumbuka nilikuambia kuwa nilimkuta Suzane akimfumania baba?” aliuliza Sophia, “ndio, si ulisema full dose, alaafu ukampasua yule dada” alisema mama sophia, hapo akamweleza kuwa yule dada alie fungwa bandage kichwani die alie mpasua kwa chupa, “huyu mzee kweli ameishiwa, sasa kwa mwanamke gani pale, wakuchepukanae, si bola ata Suzie jamani na yale makalio,” alilalamika mama Sophia, “nawewe kilicho kufanya uten=mbee na bwana wangu nini” alijisemea kimoyo moyo Sophia, “tuya hache hayo tupange namana ya kumpata Edgar” alisema Sophia akimtaka mama yake aache kulalamika
Toka jana usiku bwana Kazole alijawa na furaha sana, juu ya ujio wa Edgar, siyo kwamba anampenda sana Edgar au anaimani akimwomba fedha atampatia, hapana bwana Kazole alijuwa fika kuwa Edgar asinge msaidia sababu ya mambo waliyo mfanyia yeye na mke wake, lakini alijawa na furaha, kwasababu alijuwa kuwa Edgar lazima takuwa amekuja na fedha ya kutosha, hivyo akili kichwani lazima aondoke na kiasi adhaa cha fedha ya Edgar, kwa njia yoyote, aliwaza na kuwazua bwana kazole huku akipanga mipango yake, akiamini lazima afanikiwe tena kabla ata huyu kijana hajapoa
Edgar alikuwa juu ya piki piki aliyo ikodi, akielekea mjini, njiani alitazama manzali ya mji wa Songea ambao aliuacha miezi mitatu iliyo pita, kilicho mfurahisha Edgar ni wanawake maana aliona wanawake mwengi walio valia vizuri na kujazia vyema ma hips na makalio, hapo Edgar akaaza kusaminisha maumbo ya wanawake hao na umbo mpenzi wake Suzane, lakini hakuweza kuona wakufanana nae, wakati wana pita sehemu moja mtaa wa bombambili, mala akamsikia mwendesha piki piki akimsifia mwanamke, “daa! yule demu anafiga bomba, alafu waukweli kishenzi, du! kuna watu wanafaidi”
Edgar nae kusikia vile akageuka na kutazama alikookuwa anatazama mwendesha boda boda, akamwona huyo mwanamke anaye sifiwa na mwendesha boda bda, kweli alikuwa mzuri tna mzuri wa umbo na Sura, “Rose” alinong’ona Edgar, huku akimtazama Rose ambae alikuwa amesimamisha gari lake pembeni, ya barabara, huku akiwa anaongea na polisi wa usalama barabarani wanne, ambapo mmoja wao alioekana kuvaa sale za kaki, tofauti na wenzake walio vaa sale nyeupe, alafu yule mwenye sale za kaki alikuwa ananyota mbili na ngao kwenye mabegayake, huku pembeni yao licha ya gari la Rose pia kulikuwepo na gari nyingine Toyota v8 Lenye namba za kipolisi na ndani yake alikaa polisi mmoja wenye seat ya dereva, mpaka Edgar anapita eneo lile alikuwa hajaelwa kwa nini Rose amezuiliwa na polisi.
“Daah! au taalifa za dar zimesha fika huku” alijiuliza Edgar na hapo ika mjia kumbukumbu ya matukio ya mwisho ya Dar, akajawa na wasi wasi juu ya kuzuiliwa kwa Rose na polisi, “boa sikuwa na simu maana angeipata namba yangu wange niwekea mtego, alafu wang nikamata kiulaini, kabisa” alijipongeza Edgar, “lakini uhakika nitaupata baada ya kuongea na Suzane,” dakika kumi baadae Edgar alkuwa ameshafka mjini akamlipa yule deereva wa boda boda na kununua simu pamoja na chip yani sim card (line ya simu kisha akapanda dala dala, na kuelekea kwao Ruhuwila seko, akizani kuwa nyumbani kwao awatakuwa na taalifa juu ya ujio wake, nusu saa baadae alikuwa ameshashuka kwenye kituo cha daladala, kilichopo mita chache toka nyumbani kwao
Baada ya kushuka kwenye daladala Edgar akatazama upande ilipo nyumba yao, alishangaa sana baada ya kuona nyumba yao imezibwa na maduka matatu makubwa, huku wateja wakiwa wame zungka maduka hayo wakiitaji bidhaa, hapo Edgar ndipo alipo ishuhudia nguvu ya Suzane kwa macho yake, maana kila alipo piga atua kuisogelea nyumba yao ndipo alipoona abadiliko makubwa katika eneo lile, “masikini Suzane nitakulipa nini mimi” alijisemea Suzane, “Kaka huyoooo” Edgar alistuliwa na sauti ya dada yake mdogo toka ndani ya duka moja, ambae nae alikuwa amebadilika kimwonekano, nakuwa mschana wa maana “hooooo! dada habari za masiku?” alisalimia Edgar akiwa amesimama kwenye kundi la wateja
“Safi tu! Edgar, wacha niwahudumie wateja kwanza tutaongea baadae” alisema dada mdogo wa Edgar, huku anaendelea kuwa hudumia wateja walio jaa pale dukani, “he jamani kumbe huyu ni Edgar, mbona amebadilika sana” aliongea mmoja kati ya wateja waliokuwepo pale wakisubili huduma, nawengine wakaanza kageuka na kuanza kusalimiana na Edgar, Edgar alipo maliza kusalimiana na wateja wale, akaelekea kweny nyumba kubwa, ile anatokeza tu akakutana uso kwa uso na baba yake, “pole sana kwa safari ya siku tatu” alisema baba yake Edgar huku wana shikana mikono, “he! umejuwaje kama nime safari siku tatu?” alishangaa Edgar, mkwe ame piga simu, “Hipi salama lakini huko” aliongea mzee Haule ma ndipo walipo salimiana na Edgar kuchukuwa simu ya baba yake na kumpigia Suzan kabla ata ajaingia ndani, na Suzan alipo mwambia kuwa atampigia baadae kidogo anamalizia kazi
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA NANE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com