MAMA MWENYE NYUMBA (58)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA NANE ILIPOISHIA... “Hipi salama lakini huko” aliongea mzee Haule ma ndipo walipo salimiana na Edgar kuchukuwa simu ya baba yake na kumpigia Suzan kabla ata ajaingia ndani, na Suzan alipo mwambia kuwa atampigia baadae kidogo anamalizia kazi SASA ENDELEA... Ndipo Edgar alipoingia ndani na kumkuta bwana Kazole ame jaa tele sebuleni, “hoooo bwana shemeji karibu sana” alisema bwana Kazole, huku akiinuka kumfwata Edgar akita kumpokea begi lake dogo ambali muda wote alikuwa ameliva kwa mbele, “usijali shem, shikamoo,” alisalimia Edgar na bwana Kazile akaitiia kwa shangwe, “safi sana bwana shemeji, yani tokea jana tuna kungoja kwa hamu sana vipi ulisafiri kwa usafiri gani?” aliongea bwa na Kazole, akionyesha furaha kubwa sana kiasi cha kumshangaza Edgar, asa akikumbuka jinsi alivyoongea siku ile aliyo mpigia simu kumweleza kuwa kuna mzigo una kuja waka msaidie mzee Haule kuupokea “Usafiri wa kawaida tu!” sauti za shwangwe zili wafi…