
SEHEMU YA HAMSINI NA NANE
“Hipi salama lakini huko” aliongea mzee Haule ma ndipo walipo salimiana na Edgar kuchukuwa simu ya baba yake na kumpigia Suzan kabla ata ajaingia ndani, na Suzan alipo mwambia kuwa atampigia baadae kidogo anamalizia kaziSASA ENDELEA...
Ndipo Edgar alipoingia ndani na kumkuta bwana Kazole ame jaa tele sebuleni, “hoooo bwana shemeji karibu sana” alisema bwana Kazole, huku akiinuka kumfwata Edgar akita kumpokea begi lake dogo ambali muda wote alikuwa ameliva kwa mbele, “usijali shem, shikamoo,” alisalimia Edgar na bwana Kazile akaitiia kwa shangwe, “safi sana bwana shemeji, yani tokea jana tuna kungoja kwa hamu sana vipi ulisafiri kwa usafiri gani?” aliongea bwa na Kazole, akionyesha furaha kubwa sana kiasi cha kumshangaza Edgar, asa akikumbuka jinsi alivyoongea siku ile aliyo mpigia simu kumweleza kuwa kuna mzigo una kuja waka msaidie mzee Haule kuupokea
“Usafiri wa kawaida tu!” sauti za shwangwe zili wafikia mama Edgar, na dada yake Edgar ambao walikuwa kwenye vyumba vyao, mama akatokaharaka sana na kwenda kumkumbatia mwanae, “jamani mwanangu, umerudii” aliongea mama Edgar kwa shangwe huku akiwa bado ame mkumbatia mwanae, dada yake Edgar abado alikuwa chumbani anaendelea kusikilizia sauti hizo za shangwe za kumpokea Edgar, lakini hakutaka kabisa kunyanyuka na kwenda kumwona Edgar, sababu aliona ahibu kutokana na mambo aliyo mfanyia, baada ya kusalimiana na wazazi wake na na shemeji yake, Edgar aliinia chumbani kwake na kujilaz kitandani huk miguu ikining’inia, mawzo yake yakaanza kuvuta picha ya tukio la kutekwa kwake na kuwavuruga wakina mzee Mashaka, alikumbuka pia jisi alivyopata wazo la uondoka na begi la feza za mzee Mashaka, akauvuta mkoba wake na kuchungulia ndani yake, akaona zile noti zikiwazina mchekea, mwisho akachukuwa simu yake na kuchomeka kwenye chaji, maana ilikuwa mpya kabisa aina chaji, kisha akajilaza tena kitandani na kuanza kupitiwa na usingizi ikiwa ni sehemu ya uchovu wa safari, maana jamaa usingizi alikuwa anautafuta kwa tochi
Baada ya kumaliza shuguli zote za kupakia mizigo pamoja na gari la Suzan kwenye Volvo truck, Suzan akalishuhudia gari ilo kubwa likianza safari ya kuelekea Songea, akiwa amesha toa maagizo kuwa watapokelewa na Seline, baada yahapo Suz akampigia simu Seline akamwambia kuwa mizigo yake hipo njiani na kwamba yeye anakuja kesho yake kwa usafiri wa ndege ya saa sita mchana, hivyo ajiandae kuja kumpokea air port, na aanze kumtafutia nyumba kubwa (nzima) nzuri ya kupanga, alipo maliza kuongea na Seline, Suzane akawaaga wapangaji wake pamoja na Joyce, akiwongezea shiling laiki mbili na kumsisitiza kuto kuitoa ile mimba, pia akiwa na tatizo ampigie mala moja
Suzan alichukuwa begi lake dogo lenye nguo zake na, mkoba wake kisha huyooo akaelekea kwenye kituo cha daladala kutafuta usafiri wa kuelekea mjini akatafute sehemu ya kulala nzuri iwe jirani na air port, pia akanunue na zawadi za wakwe zake, mda mchace baadae alikuwa ndani ya daladala akielekea mjini, ndipo alipoitoa simu yake na kupiga namba ya baba mkwe, simu iliita kidogo kisha ika pokelewa, “hallow mkwe ujambo” ilikuwa ni sauti ya mzee Haule “sijambo shikamoo” alisalimia Suzan na mzee haule akajuwa anachoitaji Suzane, ngoja nimpelekee simu mwenzio maana amingia chumbani kwake mda kidogo,” aliongea mzee Haule akisikia jinsi anavyotembea, na mala akasikia akigonga mlango “onge na mkwe amepiga simu” alisikia Suzan baada ya kusikia mlango ukifunguliwa
“Hallow mama, niambie habari za huko” alisalimia Edgar kwa sauti nzito iliyo ashilia kuwa ametokea kwenye usingizi, “safitu baba, pole sana na safari, vipi baba hawakukuumiza wale washenzi” aliuliza Suzan kwa sauti ya chini huku akiachia tabasamu languvu, “hawa kuwai kuni dhuru, japo vibao nimevionja sana” aliongea Edgar akiaza kuchangamka, “jamani pole sana, lakini uliwakomesha hen?” aliongea Suzan akiangua kicheko, Edgar naye akacheka “hahahahaha! kidogo tu! vipi kwani ulienda kumwona?, maana mzee wako ameshtukia kuwa mimi na wewe tupoje” aliongea Edgar huku akijiinua toka kwenye kitada na kuelekea alio iweka simu yake ikichajiwa
“Si demu wako Sophia ame mwambia” kauli hiyo ya Suzane ilimstua sana Edgar “nani demu wangu” nikweli Edgar alistuka sana mana hakujuwa demu yupi, kati ya Sophia na mama yakealie fichua siri, maana alicho juwa yeye ni kwamba, baba Sophia alikuwa anajuwa kuwa yeye Edgar ameshatembea na Suzane na Sophia, japo alikumbuka wakati alipo mwambia kuwa atamkeo siku mtongoza, lakini alijuwa bado hawajapata muda wa kulizungumzia hilo, “we ngoja tuta yaongea huko huko nikifika, ila husiwe na wasi wasi baba tumesha yamaliza” aliongea Suzane hapo kidogo Edgar akashusha presha, kikapita kimya kidogo “mwenzio nime imiss, mpaka najihisi homa, alafu sijala tokea jana” alisema Suzan ambae kweli tokea apate taalifa ya kutekea kwa Edgar hakuwa amekaa chini na kupata chakula, “kwanini sasa?” aliliza Edgar kwa sauti ya mshangao na kubembeleza
“Nitaanzaje kwani, yani hapa nataka nikajaribu lakini nazani kesho tukikutana ndio nita kula vizuri”alisema Suzan na kumshangaza tena Edgar, “kwani safari yako ni kesho?” aliuliza Edgar akiwa aamini anacho kisikia, “ndio! we unazani mchezo?, tena nakuja na ndege ya saa sita,” aliongea kwa sauti ya kudeka, flani, hukumuda wote akiongea kwa sauti ya chini akiwa ameinamia chini, suzan aliweza kuisikia sauti ya kicheko cha furaha cha Edgar, “inamaana baba hakukuambia?” aliuliza Suzan huku akisikia Edgar akifurahia, “nime furahi sana Suzie, sasa jitahidi kula ili ukija usije ukazimia kitandani,” aliongea Edgar akionyesha furaha ya wazi ambayo ilimfanya Suzane ajihisi kuwa anapendwa
“Tena Edgar kunakitu kizuriiiiii, nikija nitakuambia..” waliongea mengi sana suzane Edgar. tena sio mala moja atausiku Suzane alipo jifungia Hotelini waliongea sana wakipeana mipango na malengo ya maisha yao, pia ahadi nyingi nyingi tena sasa Edgar alitumia simu yake mpya, waliongea kiasi cha kujikuta wakilala saa saba za usiku, asubuhi pia walisalimiana mida ya saa mbili na simu ya Edgar ambayo ilionyesha kuto kutunza vizuri chaji, iliishiwa kabisa umeme, na kuzima, Suzan akazunguka kwenye maduka ya karibu na Airport, kutafuta zawadi za wakwe zake, pia akaenda kunywa chai ambayo leo ili panda kidogo, mwishoe mida ya sa saa tano na nusu akawa Airport akisubiri kupanda ndege, saa sita kuelekea Songea
Mzee Mashaka kiukweli alianza kujisikia kama bado yupo duniani, licha ya kuwa mguu wake ulikuwa bado ume tundikwa juu na maumivu shavuni lakini alianza kuongea taratibu akisaidiwa na dwa za kuuliza maumivu, juu ya Suzane kwenda kuriport polisi alisha pata matumaini, maana zilisha pita siku tatu toka asema atakwenda polisi, “nikitoka hapa kitu cha kwanza ni kuakikisha huyu kijana anapoteza maisha kwa njia yoyote” aliwaza mzee Mashaka, wakati huo mke wake alikuwa pembeni akimtazama mume wake
“Mshenzi huyu unasababisha mpaka zime pita siku tatu sija pata dudu ya Edgar” aliwaza mama Sophia, huku akiji fanya kutabasamu, “naona ume pata nafuu sasa,” alisema mama Sophia aki mshika mume wake kichwani” mzee Mashaka akatabasamu kidogo, “shenzi kabisa sijuwi kama huja tombw.. na yule mbwa” alijisemea mzee Mashaka akiunda taba samu la uongo usoni mwake, “lakini kosa langu, nilikutelekeza san mkewangu” aliendelea kuwaza, “mkewangu inabidi kesho ushughulikie ruksa, ma doctor watakuw wanakuja nyumbani kunisafisha kidonda,maana inabidi niendelee na usimamizi wa biashara, na sasa nitakuwa na fanyia shughulizangu pale pale nyumbani” aliongea kwa shida mzee Mashaka
Ilikuwa mida ya saa tano saa saba na nusu, mida mbayo bwana kazole alikuwa sebuleni akitazama TV,ndipo alipo mwona Edgar akiingia bafuni kuoga, “yes, golden chance” alijisemea bwana kazole akihesabu atua kuufwata mlango wa chumba cha Edgar, nibaada tu ya Edgar kuingia bafuni, akwa tahadhari kubwa bwana Kazole akafungua mlango wa chumba hicho na kuzama ndani, huku nje binti wakazi wa mama Edgar alikuwa anaelekea bafuni ambako hakujuwa kama Edgar wakati hule alikuwa huko wakati ana pita Sebuleni, alimwona bwana Kazole anaingia chumbani kwa Edgar kwa tahadhari kubwa sana, moyo wake ukastuka, maana alihisi yule mbaba hakuwa na nia njema na chumba kile, lakini akapotezea na kuelekea bafuni kwa makusudi ya kuingia upande wachoo, ambapo mlango ni mmoja
Edgar akiwa ndani ya bafu hilo ambalo ni mala ya pili sasa anaoga, toka arudi toka Dar, mala zote uwa anasahau kufunga na komeo la ndani, kutokana na kuzowea kule nyumbani kwa Suzane huwa bafu alina mlango sababu lipo chumbani, mazowea yana tabu, Edgar akiwa amesha jipaka sabuni kichwani sasa akiangaika kufungua bomba la maji ili aanze kuondoa lile povu kichwani na usoni, akastuka kusikia mlango wa bafuni ukifunguliwa, “kunamt...” lakini alikuwa amesha chelewa, “hooo samahani kaka Eddy, kumbe ujafunga mlango” Edgar alisikia sauti ya mschana wao wakazi, Edgar pasipo kujuwa kuwa yule binti bado yupo mle ndani, ameganda anashangaa dudu, akasikia mlango ukifungwa, akajuw yule binti ame toka, yeye akapapasa mlango na kuuakikisha kama umesha fungwa vizuri, kisha akaanza kupapasa ukutani kutafuta koki ya kufungulia maji, lakini kabla hajaipata akashangaa kuona maji yakianza kumwagika hapo akahisi mauza uza, akajisafisha uso haraka sana na kufumbua macho yake, akakutana uso kwa uso na binti yao wa kazi akiwa ananza ku pandisha gauni lake juu na kuiruhusu chupi yake nyekundu kuonekana,
Edgar alishikwa na mshangao, “wewe! unataka nini ebu toka” alisema Edgar, kwa sauti ya chini, huku anachukuwa tauro na kujifunikia sehemu zake nyeti, “kaka kidogo tu! mwenzio sijafanya mda mrefu” aliongea yule binti wa kazi, kwasauti ya chini pia huku akizidi kupandisha gauni lake na kuanza kuivua chupi yake, hapo Edgar akaona kitumbua cha yule binti kilicho funikwa na nywele nyingi sana za kikubwa
Ukweli ni kwamba huyu binti wakazi wa mama Edgar, alikuwa na kiu kali sana ya dudu, maana toka ameajiliwa kwenye nyumba hii ni miezi miwili na kidogo, hakuwai kuipata dudu, sasa toka jana alipo mmwona Edgar akajuwa mkombozi ame fika, maana kwauzoefu wake kwa sehemu zote tatu alizowai kufanyia kazi, uwa watoto wa mabos zake lazima wale kitumbua chake, nakama siyo watoto basi boss wake wakiume, sasa leo alipo mkuta kwa bahati mbaya Edgar huku bafuni akaona ndiyo nafasi ya pekee ya kupata dudu, “ok baadae chumbani kwangu sawa?”
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA TISA
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com