MAMA MWENYE NYUMBA (6)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Dakika chache baadae walikuwa wameanza kula, ilikuwa ni bahati kwake, maana hakutegemea kula chakula kitamu kama kile, mchana waleo, waliongea mengi sana wakiwa wamekaa kwakutazama wakitenganishwa, na meza. SASA ENDELEA... Suzani muda wote alikuwa akimsifu Edgar, kwakitendo cha kumwazibu yule mwendesha pikipiki, mkosa adabu, hapo ndipo Edgar akakumbuka kuwa aliliona gari kama la mama mwenye nyumba wake, pale kwenye tukio, pia Suzan alimtoa wasiwasi juu ya mahisha yapale nyumbani, waliongea mengi sana, ata walipo maliza kula, Edgar aka shukuru, kasha akatowa fedha ili amkabidhi, “sikia Eddy hizo bakinazo, unaweza kunilipa siku za baadae, wacha zikusaidie kwasasa “Nikauli iliyo ustua moyo wa Edgar na kumfanya hashindwe kuamini masikio yake, “lakini mama …..” “husijari Eddy hakuna tatizo lolote we bakinazo, hisitoshe umenifurahisha sana ulipo mwazibu yule mshenzi” waliongea sana pale, nyumbani kwa Suzie huku kila mmoj…