MAMA MWENYE NYUMBA (60)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SITINI ILIPOISHIA... “Ameichaji tokea asubuhi, sasa imeisha saangapi?, si asemetu kama ataki niende kwao” alisema Suzane kw manung’uniko, “tena nikuambie best wanavyo kutamani kukuona, yani kila siku nikikutana nao, watakuja lini kutusalimia” SASA ENDELEA... Aliongea Seline akijaribu kumchangamsha mwenzie, nikweli akafanikiwa Suzane akabadirika na safari yao ikaendelea huku wanaongea mambo mbali mbali, ikiwemo nyumba ambayo Seline ali ambiwa imepatikana mitaa ya seed farm , hivyo wataenda kuinagalia watakapokuwa wanatoka kwa kina Edgar, maana ni upande huo huo, pia kuhusu mizigo gri lilikuwa bado njiani, kumbe Suzane akutaka kurudi kumfwata Edgar akiogopa kumweka karibu na Seline ambae alionyesha dalili za kumtamani Baada ya kumkosa Suzane pale air port Edgar akuwa na namana akaingia kwenye daladala na kuanza kurudi mjini, akipanga aende akanunue simu nyingine ili awasiliane na Suzane ajuwe kama yupo wapi, na kwanini haja safari, “yani…