
SEHEMU YA SITINI NA MOJA
“Umesema ni mchumba wa nanini?” aliuliza tena yule afande mkubwa wakike, “nimchumbawangu mimi, amekuja jana toka dar, namimi nimekuja leo kwandege,ata sijamwona, ndio baba mkwe ame nipigia simu kuwa yupo...”SASA ENDELEA...
Aliongea Suzane kwa mfurulizo, kiasi kwamba yule dada afande akamkatisha, “subiri kwanza dada...” aliongea yule kubwa wao, “wewe nifwate” alisikika tena yule poisi wakike, hapo Edgar akasikia vishindo vya watu wawili vikitembea kuja usawa wa chumba walichowekwa yeye na wenzake, sekunde chache akaanza kumwona yule polisi wakiume akifwatiwa na polisi wakike alie valia sale zake zilizo mkaa vyema nakuonyesha umbo lake zuri sana huku mabeganimwake ziki ning’inia nyota nbili kila upande, Edgar akamtazama usoni yule dada afande, naam moyo wake ulilipuka kwa mshangao, alijikuta akitoa macho kama kamwona nyoka amebeba chungu
“Kumbe ni polisi” alinong’ona Edgar akiwa aamini macho yake, alikuwa ni Rose, Edgar ndiyo nani kati yenu?” aliuliza Rose akiwa amekunja sura kikamanda akuwa atanachembe ya tabasamu usoni mwake, Edgar alishangazwa na swali la Rose, “inamaana amenisaau au?” alijiuliza Edgar akimkodolea macho Rose, ambae urembo wake leo ulionekana kuzidi mala dufu, “wewe mpumbavu siunaulizwa?” alifoka yule polisi wakiume, “mimi.. nimimi hapa” alijibu Edgar akiinuka na kusimama, kama aliekurupuka ktoka usingizini, “unakiburi sana we! mjinga, sasa utalala humu mpaka kesho uamkie mahakamani” aliongea Rose na kuondoka zake akifwatiwa na yule polisi wakiume, akimwacha Edgar akishangaa, hasiamini macho yake, akabaki ame simama na kushikilia nondo, “wakina dada nyie nendeni, kesho saa nne mtajulishwa kinacho endelea”
Edgar alisikia sauti ya Rose ikiongea bila chembe ya utani, “tafadhari dada yangu naomba utusaidie” alisikika Suzane akiongea kwa bebembeleza, atuwezi kumwachia huyu, sijuwi ndo mchumba wako sijuwi.. sababu amepiga.. mtu bwana ..Kazole... nasasa yupo hospital” alisema Rose akionekana kusoma maelezo ya kosa la Edgar, “hisitoshe anakiburi sana huyu kijana wacha ajifunze adabu” alisisitiza Rose, ikifwatia na sauti za wakina Suzane wakiaga na kisha kuondoka zao
Ilikuwa hivi, baada ya kutoka airport Suzane na Seline walielekea moja kwa moja nyumbani kwa Seline, ambako waliandaa chakula cha mchana na kula kisha wakapumzika kidogo wakipena story za zamani, kipndi wkiwa chuo, Seline alimwulizia Sophia maana pale chuo watu wengi wali ujuwa urafiki wao, lakini Suzane akuonyesha kama ametofautiana na huyo Sophia akawambia kuwa yupo, mda huo waliutumia pia kuwa siliana na dereva wa gari la mizigo wakaambiwa wapo Njombe wanatarajia kuingia Songea kesho yake, nao wakapania kukamilisha mapema taratibu za nyumba hili mizigo ikifika ifikie moja kwa moja kwenye nyumba hiyo, atimae saa moja kasolo ndipo Sline alipo pigiwa simu na mzee Haule, akiomba Seline aende kituo cha polisi kwamba Edgar yupo hapo amepatwa na tatizo, pasipo kueleza tatizo lenyewe, ndipo nao walipo enda kituoni huku Suzane akijiona kuwa mwenye bahati mbaya sana, ...
Suzane na Seline walipo toka kituoni wakaelekea moja kwamoja luhuwila seko kwa mzee Haule, nako walipokelewa vizuri sana na mzee Haule na mke wake, ambao walikuwa wanameona kwa nala ya kwanza mkwe wao, bahati nzuri maandalizi ya chakula kwa mgeni yalisha fanyika, maana walisha juwa ujio wa mgeni huyo, mapokezi yale mazuri yalimfanya Suzane ajione kuwa anapendwa sana na familia ya mchumba wake ambae kwasasa yupo kituo cha polisi kwa kosa la kupiga watu wawili na kuwa jeluhi vibaya sana, mbaya zaidi alikosa ata nafasi ya kumwona mpenzi wake huyo, familia nzima iliyo kuwepo pale walisalimiana na wageni hao, akiwemo binti wakazi, na dada mkubwa wa Edgar, yani mke wa bwana Kazole ambae alikuw ajuwi kilicho mpata mume wake
“Karibu sana mwanangu vipi huyo mwenzio ume mkuta huko polisi?” aliongea mama Edgar akiwa anamkaribisha mkwe wake ambae alikili kuwa mwanae ame pata mwanamke mzuri, “tumemkuta lakini wame kataa kumtoa, wanasema mpaka kesho asubuhi ndio tutajuwa kinachoendelea” aliongea Suzane akionyesha wazi kukosa amani moyoni mwake, “kwani amefanya nini huyu mtoto?” aliuliza mzee Haule kwa shahuku ya kutaka kufahamu, “kwani humjuwi mwanao, sidhani kama kunakosa jingine zaidi ya kupigana” alidakia dada mkubwa, ambae alipata nguvu ya kutoka chumbani baada ya kusikia mdogo wake amekamatwa na polisi
“Umaanisha nini wewe, wagani waeleweje sasa?” aliuliza mama Edgar kwa sauti ya ukali, huku amemkazia macho mwanae huyo, ambae aliangalia pembeni, huku akibetua midomo kwa dharau, Suzan na Seline wakapatwa na mshangao, “nikweli amepigana, sijuwi ame mpiga nani yuleeee” alisema Suzane akimtazama Seline kama atakuwa analikumbuka jina la mtu ambae wame ambiwa kuwa Edgar amempiga, “anaitwaaaa..Ka.. Kanani vileee” aliongea Seline kwa kuangaika huku, huku akitazama juu kama kunasehemu liliandikwa ilialisome
“Kwani shemeji anaitwa nani?” aliuliza binti wakazi, kwa kukulupuka kama vile ame toka usingizini, akimtazama mke wa bwana Kazole, wote wakashikwa na butwaa, mke wa bwana kazole akibaki mdomo wazi, “inamaana unataka kusema Edgar ame mpiga shemeji yake Kazole” aliuliza mzee Haule kwa sati ya chini iliyo ambatana na mshangao, “yes ni Kazole, kwani ni shemeji yake?” aliuliza Suzane, akimtazama baba mkwe, “ndio amempiga mume wangu, mimi sikubari, mna mwendekeza sana mtoto wenu, sijuwi kamkosea nini?” alilupuka mke wa Kazole huku akijitembe huhu nahuku pale sebuleni, mikono ameiweka kichwani
“Shemeji ameiba simu ya kaka Edgar pamoja na ela zake elfu ishilini na ngapi sijuwi” hapo ika sikika sauti ya ‘haaaaaaaa’ ikiambatana na mshangao, “weee! koma, tena ukome kabisa, kama umepanga nahuyo mshenzi mwenzio msingizie hivyo, sasa utakuwa shahidi mahakamani” aliongea mke wa bwana kazole akimtazama na kumwonyeshea kidole binti wa kazi, kisha akainia chumbani kwake na kujifungia, na kuchukuwa simu yake kisha akaanza kuwa tumia sms wadogo zake wawili ambao aliamini watamsaidia katika kulisimamia swala hili, hukuseuleni maongezi yakaendelea, kujadiri juu ya atima ya Edgar, kwa upande wa Suzane ilikuwa ni changamoto juu ya wifi zake ambao alisha aanza uwa sikia toka akiwa dar
Kituo cha polisi nako baada ya kusikia gari likiondoka kika pita kimya kidogo, kisha Edgar akasikia wale polisi akiwemo Rose wakiongea kwa sauti ya kunong’ona, mwisho wake akasikia Rose akiwaaga na kuwaambia kuwa kama kuna lolote wampigie simu yake ya mononi na siyo redio call, wakati akisikia Rose anatoka na kufunga mlango wa gari, huku akasikia sauti za viatu zikija usawa wa mahabusu aliyopo yeye, mala akajitokeza yule polisi wakiume, akafungua lilegeti la nondo “wewe nifwate,” akasema yule polisi akimwonyesha kidole Edgar, kitendo bila kuchelewa Edgar akainuka haraka na kutoka nje ya chumba kile kidogo che harufu ya mikojo, yule polisi akafunga lile gate kisha akaanza kutembea kuelekea counter Edgar akimfwata nyuma
Walipo fika pale hakumwona Rose zaidi alimwona yule polisi wa kike akimtazama kwa tabasamu la kiumbea umbea, “haya baba, kumbe una kula na wakubwa” alisema yule dada akimpatia Edgar vitu vyake alivyo kuwa ameviacha pale mapokezi, fedha mkanda viatu simu chaja, na shati, Edgar alishindwa kuyaelewa maneno ya yule polisi, “ebu nenda kavalie hukounamchelewesha afande” aliongea yule polisi wakiume akimsukuma Edgar ambae alitaka aanze kuvaa viatu vyake, hapo akagunduwa kuwa Rose alikuwa nje anamngoja, nikweli Edgar alipotoka nje akaliona gari la Rose lilelile Toyota Harrer walilo safari nalo kutoka dar, huku Rose akiwa ame kaa kwenye seat ya Dereva mlango ameuacha wazi na mguu moja ume ning’nia kwa chini, tabasamu lime shamili usoni kwake
Edgar akiwa umbo wazi huku amekumbatia vitu vyake kifuani, alisogelea gari kwa mwendo wataratibu, akiwa aamini kama anweza kuingia kwenye lile gari, maana alisha anza kumwogopa binti huyu, asa kutokana na hali aliyo ionyesha mda mfupi ulio pita mle ndani ya kituo cha polisi, “Edgar bwana ebu ingia twende, au umepapenda hapa niwaambie wakurudishe?” aliongea Rose huku akiachia kicheko cha furaha ya ushindi, Edgar anaye aka ishia kutabasamu tena tabaamu la uoga, akamwona Rose akishuka kwenye gari na kumshika mkono, akamwongoza upande wapili wa gari kisha akamfungulia mlango Edgar akaingia kwenye gari Rose akafunga mlango na kurudi upande wa dereva akaingia ndani ya garinakufunga mlango
Hapo akamshika Edgar na kumvutia kwake kisha aka anza kumnyonya mate, japo Edgar mwanzo alikuwa anakauoga flani, lakini baadae alianza kuona kuwa akukuwa na tatizo akaanza kumuunga mkono Rose katika swala zima la kubadirishana ulimi, walitumia kama sekunde ishilini hivi, wakaachiana kisha Rose akaondoa gari, “mchumba wako mzuri sana, ndio ulikuwa nae dar?” aliuliza Rose akionyesha dalili flani ya wivu, ndiyo nilipanga kwakwe wakati nilipo amia chuo cha kibamba” alijibu Edgar huku anavaa tishet yake, akifwatia mkanda
“Ok! kwahiyo ukaanza kutembea na mama mwenye nyumba wako?” aliuliza Rose maswali ambayo Edgar akuyapenda, maana aliona kabisa Rose alianza kushikwa na wivu, “ndio lakini...” aliongea Edgar huku wote wakicheka kidogo, kisharOse akamkatisha, “kwahiyo ameifwata mb..o mpaka huku?, sasa leo zamu yangu” aliongea Rose wote wakaendelea kucheka, huku Rose akinyoosha mkono wake wa kushoto na kuulaza kwenye dudu ya Edgar ambayo ilistuka kidogo baada ya kupeana mate, pale kituo cha polisi, “nimeimisije hii kitu, yani kaka yako alinichokoza na kuniacha nipo hoi, hivi kwanini huku nitafuta jana kamaulivyo sema?” aliongea Rose mkono wake bado ukiwa bado uki chezea sehemu dudu hilipo
“Simu sindio hiyo iliyo sababisha haya yote, kuna mjinga mmoja aliniibia bahati nzuri nika mfuma nayo” Edgar alimsimulia kisa chote cha pale dukani kwa bwana kalolo, mpaka alipo kamatwa na polisi, “kwa hiyo alie kuibia simu ni shemeji yako?” aliuliza Rose kwa mshangao, “ndiyo nishemeji yangu, tena ni mjinga sana huyu jamaa” alisema akimalizia kufunga kamba za viatu vyake, “ok! basi ngoja nitapo enda kuchukuwa riport ya pale tukaangalie hali yake kama ni nzuri basi mtaenda kumalizia kesi ki family, kama ni mbaya tunaipotezea maana kule nimesha waambia wakfute taalifa yako yote” aliongea Rose akisimamisha gari nje ya jingo la benk ya wananchi na kushuka akiwa na note book yake ile aliyo kuwa nayo safarini, pamoja na karamu akawafwata polisi walio kuwa wanalinda benk hile
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA SITINI NA MBILI
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com