MAMA MWENYE NYUMBA (61)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (61)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SITINI NA MOJA ILIPOISHIA...  “Umesema ni mchumba wa nanini?” aliuliza tena yule afande mkubwa wakike, “nimchumbawangu mimi, amekuja jana toka dar , namimi nimekuja leo kwandege,ata sijamwona, ndio baba mkwe ame nipigia simu kuwa yupo...” SASA ENDELEA... Aliongea Suzane kwa mfurulizo, kiasi kwamba yule dada afande akamkatisha, “subiri kwanza dada...” aliongea yule kubwa wao, “wewe nifwate” alisikika tena yule poisi wakike, hapo Edgar akasikia vishindo vya watu wawili vikitembea kuja usawa wa chumba walichowekwa yeye na wenzake, sekunde chache akaanza kumwona yule polisi wakiume akifwatiwa na polisi wakike alie valia sale zake zilizo mkaa vyema nakuonyesha umbo lake zuri sana huku mabeganimwake ziki ning’inia nyota nbili kila upande, Edgar akamtazama usoni yule dada afande, naam moyo wake ulilipuka kwa mshangao, alijikuta akitoa macho kama kamwona nyoka amebeba chungu “Kumbe ni polisi” alinong’ona Edgar akiwa aamini macho yake, alikuwa …