MAMA MWENYE NYUMBA (9)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... “Nime kutoka nikapate bia kidogo, nimechoka kunywea nyumbani” hapo mzee Mashaka alikuwa amesha pata jibu kwa mke wake, “ hoooo! Kumbeeee, ebu sikia mpigie Sophia, akupe kampani, maana mimi nina mihadi na jamaa moja toka Arusha kuanzia saa tisa, mchana” SASA ENDELEA... Hapo mzee Mashaka akaona mkewake akiingiwa na kaunyonge flani, “ husiwe hivyo mama, jioni si tuta kutana” mzee Mashaka akajikuta akiachia zinga la tabasamu, kwakauli hiyo mama Sophy aka pata jibu sahii, kuwa mume wake amesha elewa somo “Weweeeee, huyu kijana mbona mzuri hivi?” kauli hiyo ya Sophia ili ustua moyo wa Suzan, nakujikuta hali flani ya tahadhari ikigonga kichwani mwake, na hakuwa na jibu Zaidi ya kuishia kucheka, “au ni mtuwako nini?” aliuliza tena Sophia, “ hapana bwana mtumwenyewe nimgeni tu hapa, ata week haja maliza, nianze tu!” alijibu Suzan akijaribu kuwepesha machoyake yasikutane nay a Sophia, maana alikuwa akikumbana na picha ya tuki…