MAMA MWENYE NYUMBA (68)

Zephiline F Ezekiel
0
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA SITINI NA NANE
“Kama mtu anataka kujipatia fedha kiudanganyifu kwa wazazi wake, anajitambua kweli huyo,?” aliwaza bwana Kalolo, ambapo walisisitizana kuwa saa kumi wote wawe nyumbani kwa mzee haule

SASA ENDELEA...
Kasolo bwana Kazole ambae atakuwa Hospital, mida ya saa sita mchana mke wa bwana kazole yani dada yake Edgar, alitoka na kuelekea kwa wadogo zake wawili akiwa taka kuhudhuria kikao cha familia kitakacho amua atima ya matibabu ya mume wake na malipo ya bwana Kazole, akiwa sisitiza kuwa wawai saa kumi kamili

Suzane Edgar wakiwasaidiwa na Seline walifanikiwa kupokea mizigo na kuhamia kwenye nyumba yakupanga, kwa msaada wakukodi watu wakushusha na kupanga vitu ndanihuku gari lake likiwa salama kabisa, mpaka saa kumi na nusu ndipo walipo maliza kupanga vifaa ndani ya nyumba, “he! jamani saa kumi nanusu, ebu tuwai kwenye kikao, mamaa ona missed call kwenye simu yao” alisema Suzane huku akimpatia Edgar simu yake, “nani aliwaambia waniibie,” alisema Edgar wakati wanaingia kwenye ari la Seline na kuanzakuondoka wakiwa wamesha funga mlango wa nyumba yao, “alafu usisahau kufanya kama alivyosema afande Rose,” alikumbusha Suzane hku gari likiondoka kuelekea ruhuhila seko, ambapo ni umbali mchache sana toka seed farm, nimitaa iliyopakana

Huku wa mzee haule watu wa nane walikuwa wame kaa kwenye viti mbele ya nyumba ya mzee Haule, huku wakijadiliana kuhusu ghalama za ualibifu alioufanya Edgar na matibabu ya Kazole, ni baada ya kuona Edgar na mchumba wake wame chelewa, japo mzee Haule aliomba sana wamsubiri Edgar, “kiukweli ghalama ya milioni kumi uliyo isema bwana Kalolo ni kubwa sana, na atuwezi tuka sema aambiwe mgeni kuwa tuna takiwa tulipe fedha kamahiyo, na biashara yangu bado sija ipeleka sokoni,” alingea mzee Haule

“Tatizo bwana haule yani nikikuonyesha picha nilizo piga wakati nakuja huku uwezi kuamini ualibifu alio ufanya kijana wako, sasa mimi nitashije?” alisema bwana kalolo, akiitoa simu yake ya kisasa aliyo uziwa na bwana Kazole miezi mitatu iliyopita, huku akionyesha kuto elewa maneno ya mzee Haule, mzee Haule aliiona ile simu nikama ina fanana na ye aliyo ibiwa miezi mi tatu ilyo pita, “bwana Kalolo unataka kusema duka lakolina thamani ya milioni kumi?” aliuliza mzee Ngonyani ambae alialikwa na mzee Haule ili aweze kuongoza kikao hicho, hapo mzee Kalolo akaonyesha amstuko kidogo, “ndyo kwanini nidanganye” alisema mzee Haule akinyesha kama kajazba kidogo

“Sasa tuta juwaje, au tuta thibitishaje kama kweli hilo duka lako lina thamani hiyo?” aliongea tena mzee Ngonyani, kwa sauti ya taratibu kama mwanzo, “kama vmna taka uthibitisha basi tuende mahakamani, ebu nikuonyesha hizi picha” hapo mzee Kalolo aliongea kwa jazba kali, akibonyeza simu yake kutafuta picha alizo piga dukani kwake mda mchache uliopita, mzee Haule bado macho yake yapo kwenye simu ya bwana Kazole, akamnong’oneza kitu mke wake, wakati huo huo dada mkubwa wa Edgar, yani mke wa bwana Kazole, akadakia “kwanza huyu mwalifu mwenyewe yupo wapi, siunaona alivyo na zarau, ata simu ataki kupokea”

Hapo ika fwata maongezi yasiyo na mpangilio kutoka kwa dada zake Edgar, “ela za watu zilipwe, na shemeji atibiwe, aiwezekani mtu afanye vurugu kamahizo, kisa ati anamchumba sijuwi anaela, sisi atuelewi hilo”kelele hizo zili kwama baada ya kuona gari la Seline likisimama pale nyumbani, pembeni kidogo na walipokuwa wame kaa wakiendeleza maongezi yao, “huyooo, anakuja afadhari” aisema shemeji yake Edgar bwana milinga, wote walikuwa wame geuza shingo zao ata bwana Kalolo aliacha kuchezea simu yake ambayo mpaka dakika hiyo hakujuwa kama nisimu ya mzee Haule, ambayo ilimsababishia kuumizwa mguu na kulazwa hospital, wote kwa pamoja wkawaona Edgar Suzane na Seline wakishua toka kweny gari, kwa wale dada zake wawili wa Edgar walishangaa kumwona Edgar jinsi alivyo nawili, pia walinong’onezana kuonyeshana mchumba wa Edgar, yaani wifi yao, ambao waliwaona wakija mpaka walipo kna kuanza kuwa salimia mmoja baadaya ya mwingine, japo tofauti zilikuwepo walipo kuwa wakiwasalimia wakina dada, walionekana kutazama pembeni, huku wakibetua midomo

Mambo yali geuka zaidi, baada ya kufika kwa mzee Kalolo, Edgar alipoiona simu ya mzee Kalolo, kengere ya tahadhari ikagonga kichwani mwake, kile kitendo hakikuwa kwake pake yake, ni kwa Suzane na Seline, ambae alikaa akimfundisha mzee Haule jinsi ya kuitumia, Selina akamng’oneza jambo Suzane, wakati wakikaa kwenye viti vyao, wakati huo Edgar akwaza na kuwazua, kwamba ile simu ina fanana kabisa na simu ambayo alinunuliwa baba yake na ikaibiwa mala moja, huku baba yake akiachwa na maumivu ya mguu, na kwa jinsi alivyo msoma mzee Kalolo ni mtu wa kununua vitu vya wizi, “kwanza samahani sana jamani kwa kuchelewa, tulikuwa tunapokea mizgo toka dar” aliongea Edgar na mzee Ngonyani akamtoa wasi wasi, na kwamba ame fika kipindi kizuri kabisa, akamweleza jinsi walivyo kuwa wanazungumza, na madai yamilioni kumi ya mzee Kalolo, yakiwa ni malipo ya duka lake, ikibaki ghalama za matibabu ya bwana Kazole, “ok! hyo fedha ni ndogo kabisa, naina weza kupatikana” aliongea Edgar na woe wakashangaa kso;o Suzane peke yake ambae alikuwa anafedha nyingi sana benk na taslimu , huku mzee Kalolo akiachia tabasamu pana la ushindi, “ila kabla ya yote, kunakitu naomba nikuulize mzee Kalolo, hiyo simu ume itoa wapi?”

Hapo mzee kalolo akastuka kidogo, akaitazama simu yake kanakwamba ajuwi ameshika simu gani, “nini hii simu?, nimeitoa wapi kivipi wakati siu yangu” alisema mzee kalolo huku akiwa amesha kumbuka wazi kabosa kuwa simi ile aliuziwa na bwana Kazole, “hivi hapa tume kuja kuulizana habari za simu au, ebu ongea vitu vya maana?” aliuliza mama Semeni ambae ni dada wapili wa Edgar, kisha akadakia dada watatu wa Edgar, “alafu amekosa heshima kabisa, muone kwanza, lazima vitu vya watu vilipwe” alimalizia kwa kusonya na kubetua midomo, hapo Edgar aliwatazama dada zake hao kwa macho makavu yaliyojaa hasira

“Samahani dada sijawai kuwa kosea adabu ata siku moja, ila nyie siku zote ndio mnanikosea, akika msije kuombea niwakosee adabu” wote wali tulia wakimtazama Edgar ambae kila mmoja alikili kuwa hakuwai kumwona Edgar akiwa na hasira kiasi kile, “ilesimu ina fanana na simu ambayo tulimtumia baba, akaibiwa kwa kupigwa na kuumizwa mguu, mlifurahi kwa sababu kuna mlicho kipenda zaidi ya wazazi wenu, maana mlishindwa kwenda kumwona baba Hospital” alisema Edgar kwa sauti kavu yenye kila dalili ya hasira kali, walikuwa kimya wakimsikiliza, huku bahadhi ya watu wakitikisa vichwa vyao kukubaliana na Edgar, kasolo dada zake watatu wakongozwa na mke wa bwana Kazole, wao walitazama pembeni huku wakibeza beza kwa kubetua midomo kwa zarau, huku bwana Kalolo alikuwa anatetemeka, akiona kile ilichomtokea kazole jana kinafwata kwake, ikiwa bado haja sahau maumivu yakungoka kwa jino lake bila ganzi

“Nakuuliza tena mzee kalolo, hiyo simu umeipata wapi?” aliuliza Edgar, akiwa amemkazia macho mzee kalolo ambae alikuwa anajitaidi kujizuwia hasionekane wazi, jinsi anavyo tetemeka, “inamaana mimi nimeiba simu ya baba ya yako?, we! kijana chunga mdomo wako, mi naona bola iliswala tukaliongelee mahakamani,“ alisema mzee kalolo kwa hasira, huku akiinuka na kutaka kuondoka, “samahani baba kabla ujaondoka, tunaomba tuitazame kwanza hiyo simu, kuna majina nili ya save kwe simu, ata kama imebadilishwa line yale majina yatakuwepo, na pia nili andika jina la baba mzee Haule, kwenye creen seva, kama ni yenyewe tuta juwa tu,“ alisema Seline, huku tayari Edgar alikuwa ameinuka kutaka kumzuwia mzee kalolo asiondoke

“Jamani heee! kwani simu kitu gani?, mpaka kivuruge kikao?” aliuliza mke wa bwana kazole , “mwanangu najuwa uwezi kujuwa maana yake, kwasababu ujuwi maumivu niliyoyapta baada ya kumizwa mguu wangu” alisema mzee Haule kwa mala yak kwanza huku akimtazama binti yake, Edgar alimsogelea mzee kalolo na kuchukuwa simu, akampa Seline, “jamani samahani, naomba niongee ukweli, hii simu aliniuzia bwana Kazole” alisema mzee Kalolo kwa sauti tuliivu iliyojaa uoga, wote wakaduwaa na kumtazama mzee Kalolo, “weeee! baba we! usimsingizie mume wangu, sema hiyo simu ulikoitoa” aling;aka mke wa bwana Kazole, “sija danganya, wala sija msingizia, ukweli ni kwamba aliniuzia hiyo simu miezi mitatu iliyo pita, kiipindikile mmekuja kunilipa lile deni langu” alisema mzee Kalolo huku dada zake wawili Edgar wakiwa weme duwaa, wakimtazama mzee Kalolo na ku,tazama dada yao

“Inamaana dada una fahamu tabia ya mumeo, ebu ona ulikuwa tayari baba avunjwe mguu pengine auwawe kabisa, kwaajili ya fedha na simu” alisema Edgar, na mama yake akadakia, “tena tuna wapigia simu wanasema ende akachukuwe fedh alizo nywea pombe zika mtibu, kumbe nyie ndio me mkaba baba yenu, kweli mwanangu, atakama anakunywa pombe si’fedha zake, kwanini mkampole?” alisema mama Edgarv kwa sauti ya uchungu, akimtazama mwanae mke wa bwana Kazole, “lakini mama kweli mimi sijuwi lolote,” alijitetea dada mkubwa wa Edgar, “hapana lazima unajuwa, na wewe ndie ulie shilikiana na mumeo, mtoto umekosa huruma na kwa baba yako, tena mkatoa na maneno ya kashfa, sasa huyo mwizi wako simtaki hapa nyumbani kwangu, akitoka huko hospital mtajuwa pakwenda, na wewe mzee, tukutane mahakamani, tuka pambane huko huko mwizi mkubwa wewe, tena Edgar ukumkomesha na wizi wake”

Alimaliza kuongea mke wa mzee Haule kisha akasimama, akawatazama mabinti zake wawili walio akiwemo mama semeni, ambao walikuwa wame tulia wakitazama chini kwa aibu, “na nyie inukeni muende majumbani kwenu kama mlipanga kugawana million kumi, sasa zamu ya huyu mwizi kutia hiyo fedha ya kushiriki kumkaba babayaenu, muondoke na nisi waone tena hapa, mitoto hisiyo na huruma” alipomaliza mama Edgar akamtazama ESzane ambae alikuwa amekaa, karibu na Seline na Edgar, mama pole kwa majanga haya, karub ni ndani mkale maana tuliwaandalia chakula toka mchana,” alisema mama Edgar, wakina Edgar wakainuka na kumfwata mama

Lakini kabla awajafika mbali, mzee Haule akasema “sasa mama Eddy tumtambulise kwanza mgeni kwa mzee Ngonyani” wote wakasimama, “ngoja kwanza watoto wakale, alafu tutawatambulisha, nyie kaeni pale kunyweni bia inakuja nyama ya mbuzi”, alisema mama Edgar kisha akawatazama mabinti zake, “Nyie visilani ondokeni sie tuendelee na sherehe zetu za kukaribisha mkwe wangu,” alisema mama huyu kisha akaelekea kwenye mlango wanyumba kubwa akifwatiwa na wageni wake

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITINI NA TISA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)