JAMANI BABA (4)
JINA: JAMANI BABA Mwandishi: Beka SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Wakati huo , Mwaija alikuwa amesimama uwanjani hapo, alivaa gauni na kanga moko juu yake lakini mzigo ulikuwa mzigo kweli ... NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Mwaija mimi nakwenda kazini, baadaye mama... ” “Haya baba , hebu chukua namba zangu za simu unipigie baadaye kuna kitu nataka kukwambia,” alisema Mwaija huku akizitaja namba zake za simu.. . “Kwani una simu?” aliuliza Masilinde kwa vile hakuwahi kumuona binti huyo akiwa na simu .. . “Oke, baadaye nitakutumia meseji, sitapiga,” alisema Masilinde. Ile anaachana na Mwaija , mama Mwaija anatokea. .. “Wewe njoo huku sebuleni, unafanya usafi halafu unaacha vitu bila kupangapanga , una kichaa leo?” alifoka mama mtu huyo ... “Mh ! Au mama amejua baba alikuja chumbani kwangu nini ? Mbona si kawaida yake, tena sijawahi kumsikia akimwambia baba ananitetea . Itakuwa kuna kitu .” *** Baada ya kufika kazini, Masilinde alimtumia meseji Mwaija . Hakutaka kupiga akiamini …