SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
“Ah! Hapo ulipopashika nimetekenyeka,” alisema
Masilinde.
Kwa kujua hilo , Mwaija alizidisha mbwembwe ,
sasa alikuwa akimvua huku anamkwaruza kwa
mbali na kucha za mikono yake.
NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
Masilinde
akawa kama mtoto aliyelazwa kwenye miguu ya
mama yake huku akivalishwa nepi !
Alikuwa akirusharusha miguu huku na kule huku
akijisikilizia kimapenzi. ..
“Baby na wewe nivue na mimi, ” alisema Mwaija
huku akiwa amepeleka mikono juu kumpa nafasi
Masilinde naye ashike zamu yake ya kumchojoa
nguo.
Masilinde ile anaanza tu, simu ya Mwaija ikaita . ..
“Huyo piga ua galagaza ni mama tu, ” alisema
Mwaija akiwa amekosa amani. ..
“Usipokee , mimi nitakutetea. Kwa hatua
tuliyofika si ya kuniacha kama tulivyoingia ,”
alisema Masilinde huku akimvua nguo kwa pupa
Mwaija.
Alimbinuabinua mpaka Mwaija akawa mtupu.
Mapigo ya moyo yalimwenda kwa kasi kwa
woga wa mama yake lakini kwa kuwa aliahidiwa
utetezi kwa mbali alirejesha mahaba kwa
Masilinde...
“Iwe haraka basi ,” alisema Mwaija akimaanisha
kama ni kukatwa kiu basi akatwe haraka ili
awahi nyumbani.. .
“Iwe haraka nini ?” alihoji Masilinde.
“Nikate kiu haraka jamani tuondoke . ”
Wakati Mwaija anaweza ufafanuzi wa kauli yake,
siku nyingi Masilinde alikuwa uwanjani akisakata
mpira na Mwaija akaunganisha maneno yake na
maneno ya mahaba. Hapo alimsahau mama yake
kwamba anapiga simu kwani iliendelea kuita .
Maneno yalimtoka Mwaija , lengo lake ilikuwa
kumhamasisha Masilinde ili afike mapema
kwenye kilele cha mlima waliokuwa wakiupanda
kwani hata yeye alishaanza kuwa na dalili za
kufika hapo ila alipunguza kasi ili wafike wote
kwa ushindi wa kishindo.
Masilinde alibadili aina ya mchezo, sasa ikawa
mnyama kagoma , akatoka hapo akatumia
marehemu mdudu, akahamia kwenye unga
mboga kwa nazi kwanza tupike ugali .
Mapozi yote hayo , Mwaija alichanganyikiwa...
“We mzee .. .si unioe .. .”
“Mwa ... Mwa.. .ija mzee nani?”
“Naku ... nakutania we mpenzi wangu ,” alisema
Mwaija kupoza lakini pamoja na utani huo ,
Masilinde akaanza kupiga mikiki ya karibu kama
ya penati kwenye mpira, Mwaija akaachia , mguu
wa kulia mashariki, wa kushoto magharibi ,
Masilinde akahema kwa nguvu na kutangaza
kuvunja dafu, mwaa akadakia .. .
“Hata mimi. ..hata mimi ...hata mi. ..mi ...mimiiiii .. .”
***
“Hivi huyu mbwa ananitafutia nini mimi ?” mama
Mwaija alisema akiwa bado msibani. Yeye alitaka
kumpa maagizo f ’lani .
“Mbona umekasirika mwenzetu?” aliuliza
mwanamke mmoja swali likimwelekea mama
Mwaija. ..
“Si binti yangu. Nampigia simu nimpe maagizo
hapokei.”
“Ni yako yule niliyemkuta kwako siku ile anafagia
nje?” aliuliza mwanamke huyo mama Snura. ..
“Ndiyo yuleyule .”
“Mimi wakati nakuja nimekutana naye pale kwa
Mshihiri anaongea na simu , vicheko vingi,”
alisema mwanamke huyo .
“Ha ! Ina maana hayuko nyumbani?”
“Itakuwa. Kwa jinsi alivyovaa, atakuwa
anakwenda kwa wanaume. Kwani unamchunga,
si mtu mzima yule?”
“Mama Snura, mtu mzima ndiyo, ana miaka
ishirini na moja lakini si wakati wake kuwa na
wanaume huu . Asubiri kwanza.”
“Mh ! Mimi sichungi mtoto akifikisha miaka kumi
na nane , dunia itamfunza.”
***
Masilinde kawaida yake mechi ya kipindi cha
kwanza humpa ari ya kurudi uwanjani raundi ya
pili hivyo alipopumzika kidogo tu, akadandia tena
kwa nguvu zaidi ya zile za kwanza...
“Baby wewe bado ?” aliuliza Mwaija .. .
“Bado , si unaniona!”
“Nakuona , haya baby . Wewe tu baba ... niko kwa
ajili yako. ..mimi pia najikuta bado kwa sababu
wewe bado .”
Maneno hayo ya Mwaija yalimchochea sana
Masilinde kiasi kwamba, kule kuanza mechi tu,
washambuliaji walitaka kuingia uwanjani kwa
wingi kushangilia ushindi , ikabidi Masilinde
asitishe kidogo zoezi ili kujipa muda wa kuanza
tena.
Mwaija alijua! Alijua kuwa , Masilinde
alishahamasika na maneno yake , akabaini
kumbe maneno peke yake ni silaha ya
kumharakisha mwanaume huyo. ..
“Vipi tena baby ?”
“Ah! We unanichanganya dear mpaka najikuta
nataka kumaliza . ..”
“Pole sana baby, usimalize basi. ..lakini . ..lakini
mimi wako jamani.. .au unataka kingine zaidi ?”
“Sina.
“Haya baby ... hata mimi sihitaji kingine zaidi ya
kilichopo. ..haya baby ... wewe tu.”
Masilinde safari hii alipatikana, akajikuta anapiga
mayowe kama mtoto mdogo huku machozi
yakimlengalenga. ..
“Mwaija mimi sikubali,” alisema Masilinde huku
akihema kwa nguvu akiwa ameshavunja dafu
lake.
“Kwa. ..kwa nini ba. ..by?” aliuliza Mwaija huku
akimkumbatia kwa nguvu Masilinde kumbe na
yeye alikuwa akivunja dafu lake lakini
kimyakimya.
“Mimi lazima nikupangishie chumba Mwaija , pale
nyumbani uhame , uko tayari?”
“Nipo tayari baba , wewe tu,” Mwaija alijibu kwa
sauti tamu , sauti ya kumnyofoa kama si kumtoa
nyoka pangoni mwake . ..
“Basi niachie mimi, sawa mama?”
“Sawa mpenzi , ” alisema Mwaija huku akizidi
kumbana Masilinde kwenye mikono yake milaini
kama ya mtoto mdogo. Ilikuwa shughuli nzito , kila
mmoja alionekana kumkamia mwenzake na
kutojali nini kitatokea mbele ya safari.
Kwa upande wake , Mwaija moyoni aliamua liwalo
kwa mama yake na liwe kwani ameshaahidiwa
kupangiwa nyumba na kuendelea na penzi la
baba yake wa kambo huyo ...
“Mama hata apige mpaka simu ijipokelee
yenyewe, mimi niko na wangu saa hizi ,” alisema
moyoni Mwaija huku akiendelea na mechi .
Ilikuwa piga nikupige .
Kuna wakati, Mwaija aliachia mayowe ya
kuashiria yupo pazuri lakini pia kuna wakati ,
Masilinde aliguna sana kuashiria naye yupo
pazuri.Jasho jembamba lilimchuruzika Masilinde
lakini kwa sababu yeye alikuwa upande mzuri,
Mwaija alitumia nafasi hiyo kumfuta jasho kwa
taulo huku akihema kwa kasi.
Ni Mwaija ndiye aliyeanza kutangaza kwamba
anafika kwenye kona ya uwanja tayari kwa kiki
zito mpaka kuchana nyavu kama siyo kutoboa
nyanda. “Ngoja. ..ngoja Mwaija ngoja . ..ngoja
bwa... na.. .aaa ... ” alisema Masilinde akiwa
anaweweseka kwa dalili za kufika kwenye kona
ya uwanja na yeye.
Alipomaliza kusema ngoja , Masilinde akabadili ,
akaanza kusema ...
“Haya sasa ... haya sasa Mwaija . ..haya
jama.. .niiii .”
Wakati akisema hivyo , Mwaija yeye alikuwa
akisema.. .
“Sawa .. .sawa ... sa.. .sa. ..waaa .. .”
Wakanyamaza kimya wote . Kilichokuwa
kikisikika hapo ni kuhema kwao tu. Mwaija
alikuwa akihema kwa spidi zaidi huku Masilinde
akifuatia kwa nyuma, kijasho kama kawaida .
“Loo ! Tumechoka ee?” aliuliza Mwaija huku
akimbusu shavuni Masilinde. ..
“Asante ... ni kweli tumechoka sana loo !” alijibu
mwanaume.
Wote walikuwa wamelala kama walivyozaliwa
pale kitandani . Hakuna aliyekuwa na aibu na
mwenzake. Kuna wakati walikutana macho,
Mwaija akaachia tabasamu laini huku
mwanaume akikenua kinywa tu lakini bila
kicheko.
“Sasa baby ?” aliuliza Mwaija ...
“Nini?”
“Tuondoke sasa au ?”
“Ni kweli , lakini tangulia wewe au?”
“Hapana, tangulia wewe.”
“Oke,” alisema Mwaija huku akitoka kitandani .
Kutembea kwake kwenda bafuni kulimpa wakati
mgumu sana Masilinde kwani alipomwangalia
wowowo lilivyokuwa likijiachia , alihisi
kuchanganyikiwa na kutamani kusitisha zoezi la
kuondoka ili waingie ngwe nyingine.. .
“Baby ,” aliiita Masilinde.. .
“Yes baby .”
“Kwani lazima tuondoke muda huu ?”
“Wewe tu, kwani bado wewe ?”
“Kama badobado. ..”
“Jamani , wewe kama mimi . Pia nahisi kama
badobado hivi .”
“Basi njoo.”
Mwaija aliingia bafuni bila kumjibu Masilinde
kama anarudi au la ! Akaoga , akajifuta akatoka.
Kufika chumbani akapanda kitandani huku akiwa
analitupa mbali taulo alilojifunga wakati akienda
kuoga...
Alichekacheka kidogo kisha akamlalia Masilinde
kifuani.. .
“Baby simu inaita , atakuwa mama tu,” alisema
Mwaija huku akiifuata simu yake ili kuthibitisha
kama kweli ni mama yake. ..
“Si nilikwambia atakuwa mama, ni yeye, ”
alisema Mwaija ...
“Usipokee ,” Masilinde alishauri .
“Poa,” alikubali ushauri Mwaija huku akiiweka
simu kwenye stuli.
***
Mama Mwaija alikuwa amesimama dukani kwa
Mshihiri na kumpigia simu Mwaija. Alifika dukani
hapo kwa sababu aliambiwa na mama Snura.. .
“Huyu mtoto ni mshe **i sana , kwa nini hapokei
simu yangu muda wote huo ,” alisema moyoni
mama Mwaija .. .
“Shikamoo, ” binti mmoja jirani na nyumbani
kwake alimwamkia mama Mwaija. ..
“Marhaba Tina, hujambo?”
“Sijambo. ”
“Hajambo mama?”
“Hajambo , unamtafuta nani?”
“Yule mwanangu mgenimgeni.”
“Yule nani sijui. ..”
“Anaitwa Mwaija. ”
“Nimemwona ameingia mle .”
Mwaija alitoka, akarudi nyumbani huku miguu
ikimtetemeka. Alijua mama yake atamla nyama
siku hiyo. Alipofika, alisukuma mlango akaingia
ndani. ..
“Ukitaka salama yako Mwaija uniambie ukweli ni
mwanaume gani uliyekuwa naye pale gesti ? .
Usinidanganye maana mimi nilimwona kwa
macho yangu ,” alisema mama Mwaija .
Mwaija alianza kutetemeka kwa mbali akiamini
mama yake atamtoa sikio kama si kiganja cha
mkono.. .
“Mama nisamehe sana .”
“Nikusamehe kwa sababu gani?”
“Nisamehe tu mama, najua nimekukera sana.”
“Nimekuuliza ulikuwa na nani?”
“Na mwanaume mmoja hivi .. .”
“Anaitwa nani?”
“Abdallah .”
“Anaishi wapi ?”
“Kule chini.”
“Mlikutana wapi mpaka mkakubaliana kuingia
gesti?”
“Siku ile ulinituma mayai dukani ndiyo nikakutana
naye akaomba namba yangu.”
“Ahaa ! Sasa kumbe wewe umekuja Dar kwa ajili
ya kufanya uhuni siyo?”
“Hapana mama ... ”
“Huyo Abdallah kijana mzee ?”
“Yuko kama baba wa hapa ndani .”
“Kwa hiyo kumbe wewe siku moja utaweza hata
kunisaliti mimi mama yako ?”
“Hapana mama , siwezi kufanya hivyo . ”
“Unaweza ,” alisema mama Mwaija huku
akimsogelea mwanaye amchape makofi mawili
matatu kabla hajampa ushauri wa kimapenzi,
mara alisikika mtu akiingia akajua ni mumewe na
yeye hakutaka mume wake ajue kuhusu habari
ya yeye kumkuta Mwaija gesti ...
“Vipi mbona kama hamna amani humu ndani ?”
aliuliza Masilinde akijifanya hajui chochote na
sura za wote wawili zilikuwa zikionekana kuwa
na tafrani ...
“Si huyu Mwaija .”
“Amefanya nini ?”
“Nimekwenda msibani, nimerudi hajafanya kazi
yoyote ile .”
“Kwa nini , ye anasemaje ?”
“Hala na kusema ndiyo maana nikawa namsema
hapa.”
“Ah! We Mwaija , umeanza uvivu wako siyo?”
“Hapana baba , nilikuwa nahisi kama kichwa
kinaniuma ndiyo maana .”
“Umekunywa dawa ?”
“Sijanywa .”
“Sasa mama Mwaija kumbe mtoto anaumwa
kichwa angefanyaje kazi ?” aliuliza Masilinde...
“Mimi siamini ndiyo maana nimemgombeza .”
Kurudi kwa Masilinde kidogo kulituliza hali ya
hewa kiasi kwamba mama Mwaija alikwenda
kufanya kazi zake za ndani huku akimtaka binti
yake akanunue dawa anywe , apumzike. ..
“Nenda kanunue dawa sawa , unywe halafu
upumzike,” alisema...
“Sawa mama .”
***
Usiku, muda wa kulala ulifika, Mwaija alitangulia
kwenda chumbani lakini alivizia baba yake
amekaa sebuleni akapita hapo akiwa na kanga
moja tu. Safari hii alimtingishia makusudi
wowowo lake ili kumpa ujumbe kwamba wako
pamoja. ..
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com