JAMANI BABA (5)
JINA: JAMANI BABA Mwandishi: Beka SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... “Ah! Hapo ulipopashika nimetekenyeka,” alisema Masilinde . Kwa kujua hilo , Mwaija alizidisha mbwembwe , sasa alikuwa akimvua huku anamkwaruza kwa mbali na kucha za mikono yake. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Masilinde akawa kama mtoto aliyelazwa kwenye miguu ya mama yake huku akivalishwa nepi ! Alikuwa akirusharusha miguu huku na kule huku akijisikilizia kimapenzi. .. “Baby na wewe nivue na mimi, ” alisema Mwaija huku akiwa amepeleka mikono juu kumpa nafasi Masilinde naye ashike zamu yake ya kumchojoa nguo. Masilinde ile anaanza tu, simu ya Mwaija ikaita . .. “Huyo piga ua galagaza ni mama tu, ” alisema Mwaija akiwa amekosa amani. .. “Usipokee , mimi nitakutetea. Kwa hatua tuliyofika si ya kuniacha kama tulivyoingia ,” alisema Masilinde huku akimvua nguo kwa pupa Mwaija. Alimbinuabinua mpaka Mwaija akawa mtupu. Mapigo ya moyo yalimwenda kwa kasi kwa woga wa mama yake lakini kwa kuwa aliahidiwa utetezi kwa mba…