MAPENZI NA NGONO (5)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
Nilifanya vile kwa muda mpaka zureiya aliponambia sasa tuanze kazi baada ya yeye kuwa hajiwezi.kwa taratibu taratibu nikaanza kupeleka nanii yangu katika ikulu yake na kuizamisha yote na kuanza rasmi kuingia katika uwanja mpya kabisa wa sayari ya utamu wa mapenzi huku ikiwa ni kwa mara yangu ya kwanza kufanya hivyo.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Kadiria nilivyozidi kusukumiza gurudumu ndio kasi yangu ilizidi kuongeza na kuzidi kumpagawisha zureiya alikuwa naye hayupo nyuma alikuwa akifanya kila awezavyo kwa ujuzi wake.nilikuwa mgeni lakini nilionekana kama fundi ambaye ni mjuzi kabisa wa mambo hayo huku kila mkao anaotaka zureiya nilikuwa nakabiliana nao na kumpagawisha zureiya ambaye hakusita kunimwagia sifa kedekede zilizidi kunipa sifa mpaka mwisho wa raundi ya kwanza hakuna aliyeonakana kumaliza wala kuchoka kila mtu alikuwa anahitaji kuendelea na wote hatukusita kufanya hivyo zureiya aliendelea kunipa vitu vipya na kuzidi kunipa hamasha wote tukajikuta tukikaa mikao mingi style kama ishirini.tulianza kama mida ya kama saa nne na mchezo mzima ukaisha saa kumi jioni ambapo mimi na zureiya kwa pamoja tukaenda kuoga huku na kuanza kutaniana na kucheka kwa pamoja.Hakika ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kiukweli nikajikuta nikijiona mwanaume sasa kamili baada ya pongezi nyingi kedekede kutoka kwa zureiya ambaye kwa kila wakati alipokuwa ananiangalia alikuwa anatabasamu sana
"Hivi pablo ukiongea ukweli kabisa kutoka kwa Mungu hivi mpaka leo hii ushafanya mapenzi na wasichana wangapi..??"
"Hahaa mmoja tu zureiya ambaye ni wewe mpenzi"
"mfyuuuu hebu kuwa mkweli bana usitake unikasirishe yani mimi ndio msichana wa kwanza unamanisha leo ndio mara yako ya kwanza kufanya mapenzi??"
"Ni kweli sasa unataka niseme niliwai wakati sikuwai youre the first girl kufanya naye mapenzi is true wewe ndio wakwanza."nilimwambia kisha nikamsogelea na kutaka kumbusu lakini akanizuia.
"sasa mbona fundi kiasi hicho.??"
"Fundi wa nini sasa"
"hahahahaha unajifanya ujui ulichonifanyia muda si mfupi uliopita??
"Mimi ndio natakiwa nikuulize ya kwamba mimi ni mwanaume wako wa ngapi kusex naye..??"
"Ooo wewe watatu sasa wengine wawili nilishaachana nao"
"Duu watatuu pouwa tu" nilijifanya kama nasikitika baada ya zureiya kuniambia kuwa mimi nilikuwa mwanaume wake watatu kufanya naye mapenzi kwa lengo la kumuona atafanya nini nilimuona zureiya akibadilika kidogo kisha akanisogelea karibu na kunikombatia kisha nakunibusu.
"Pablo tatizo wewe ulichelewa sasa baby ila nakuomba kitu kimoja mimi sio mwanamke wa kuchezea chezea nakuomba usiniachae jamani please nakuomba??"
"usijali i cant leave you mpenzi." asikukwambie mtu utamu wa mapenzi bwana ni mwanzo wake siku hiyo nilikuwa kisha mida mida ya saa kumi na moja na kama na nusu nikaanza kujiandaa kwa lengo la kuondoka.nikiwa nimeshavaa nguo zangu huku naye zureiya akivaa baibui kwa lengo la kunisindikiza ile tunataka kuufungua mlango tu.ghafla macho yetu yakashuhudia kitasa kikijinyonga kuashiria kama kuna mtu anaufungua mlango.milio ya kufutwa kufwa vumbi za viatu vilisikika kabisa masikioni mwangu huku moyo wangu ukaanza kunidunda na kuanza kutumbua macho.
"Mtumee"nilimsikia zureiya akisema neno hilo huku akiniachia mkono alionishika na wote tukabaki kuangalia ni nani aliyekuwa anaingia..................
Majasho yakaanza kunitoka kwa muda mfupi kuliko nilivyotegemea miguu yangu yote ikafa gamzi hali iliyomkuta na zureiya ambaye kwa wote kwa pamoja tukajikuta tukisimama tusijue la kufanya.Mlango ukafunguliwa aaaa sura ya mrembo mwingine aliyefanana kabisa na zureiya akaingia lakini naye akashtuka baada ya kutuona sisi hali iliyomfanya asimame na kutuangalia kwa shauku kubwa.
"Uuuuuups dada rukaiya nimeshtuka mwenzio nilijua tusafumwa leoo haahahahaha Ahsante mungu weeee pablo ni dada yangu huyo."
"oooh kumbe huyu ndio shemu pabloo jamani karibu yani mimi naingia wewe ndio unataka jamani daaa"
"Hahaha hamna jamani siku nyingine nitakuja"
"Mmh haya shemu mimi naitwa rukaiya ukipenda niite rukie"
Dada yake zureiya aliyekuwa makamo kabisa na zureiya akanipa mkono huku akitoa tabasamu ambalo lilinipa hisia tofauti lakini nikaopokea mkono wake na kupotezea flani hivi lakini nikashtusha na Mkonyezo aliotoa rukaiya ambao zureiya hakuuona Nikabaki kutoa na mimi tabasamu feki na kuachia mkono wake huo ambao ulikuwa umeshikana na wake.nikamuaga kisha mimi na zureiya tukatoka na zureiya akaanza kunisindikiza mpaka stendi ambapo bila ya kuwa na aibu zureiya akanikombatia pale pale stendi na kuanza kuninyonya denda lililowaacha watu wengi wakiwa na Mshangao huku kila mtu akisema lake baada ya tukio hilo lililonifedhehesha hata mimi kwa namna moja ama nyingine.kupata kwangu gari la haraka liliniwezesha kufika nyumbani katika mida ya saa moja kasoro Ambapo baada ya kufika nyumbani na kumkuta mama akiangalia tv nikaanza kumrukia rukia na kumkombatia mama huku nikibusu mashavu yake jambo ambalo lilimfariji.
"unaonekana una furaha sana Mwanangu nambie una nini...kinachokufurahisha nambie"
"hamna mbona kawaida muda mwingine furaha inakuja tu yenyewe najiona niko Mbali..nakupenda sana"
"Mmh haukosagi cha kuongea Mwanangu wewe haya bana Nenda basi ukale." nikajinyanyua pale kisha mdogo mdogo nikaelekea chumbani kwangu na kwenda kujibwaga.Hakika furaha niliokuwa nayo ilifuka kipimo furaha yangu iliyopitiliza baada ya kufanikiwa kufanya mapenzi na zureiya msichana ambaye kwa urembo tu alikuwa ana "A" Ilinifanya mimi nijisifie tena na kujiona kidume cha mbegu haswa.nikiwa katika hali hiyo zureiya akanipigia simu tukaendelea kuongea Mambo ya mapenzi yetu kama kawaida na kilichozidi kuniweka uhuru katika nafsi yangu ni pale aliponiambia kuwa Mimi nilikuwa Mwanaume Fundi sana katika Mapenzi.
Hakika siku ziliyoyoma sana tangia nilivyofanya Mapenzi na zureiya ilipita kama Miezi miwili nilikuwa sijaongeaa naye hii ilitokana na Mimi kujiandaa na Mitihani yangu ya form 4 iliyokuwa ikikaribia.hakika kwa ubinafsi niliumia kwa kutowasiliana naye lakini kwa upande wa pili zureiya yeye hakuwa na kinyongo na mimi bali alizidi kunipa moyo wa kukaza buti na kunishauri sana nizingatie masomo na nisiutumie muda mwingi kumuwaza yeye.siku moja ijumaa siku ambayo kwa mimi niliona muda muafaka wa kuongea na zureiya nikamtafuta zureiya kwa kumpigia simu Ambayo baada ya kupiga simu iliita kidogo kisha ikakatwa Niliendelea kupiga tena lakini hali ile ile iliyotokea tena.Moyo wangu ukaanza kuniuma Baada ya hali ile kujirudia kwa muda na nilipiga Mara kama Hamsini iliendeleaa kuita kisha inakatwa.
Roho yangu ikaanza kuniuma baada ya hali ile na kujikuta nikipandwa hasira za ajabu iliyotaka kusababisha iwe nusu nimuandikie messeji ya matusi.hali ile ikaendeleaa mpaka katika mida ya saa nne usiku mpaka nilipoamua kulala na kujikuta nikipitiwa Saa hiyo hiyo na usingizi mzito.Ghafla katika mida ya saa saba usiku simu yangu ikaitaa na kutokana na kelele kali kutoka katika simu yangu nikajikuta nikiamkaa muda huo na nilipoangalia saa nilikuja kugundua ilikuwa ni kama saa nane kuelekea saa tisa usiku.Nilijikuta nikiangaza macho na kukaa kitako baada ya screen yangu ya simu kuandika Laaziz wangu ikimaanisha alikuwa si mwingine bali alikuwa ni zureiya.Nikiwa katika hali ya kuutoa usingizi nikaipokea na kuiweka sikioni huku kumbukumbu ya kukatiwa simu zangu kutoka kwake ikaja haraka katika kichwa cha fikra yangu na kujikuta usingizi wote kuisha na kuwa na shauku kubwa ya kuongea naye.
"Ba...b..y ni.ni..na m..atatizo.." ghafla moyo wangu ukaanza kunidunda baada ya kusikia sauti hiyo ya zureiya ambaye aliyesikika kwamba anaongea huku kama analia tena akiwa na wasiwasi hata ule usingizi uliobaki ukaisha nakujikuta nikisimama kabisa huku nikiishikilia Simu vizuri.
"Matatizo gani tena??"
"Yani baby sijui nikuanzie wapi Njoo unichukue nipo buguruni hapa stendi naogopa kubakwa na......." akiwa bado hajamaliza kuongea simu yake ikakatika na kuniweka mimi katika hali mbaya baada ya kupiga simu yake tena na kuambiwa ilikuwa haipatikani.Maswali mengi yaliandamana kichwa changu na kuanza kujiuliza usiku wote huu tena saa nane usiku ilikuaje kuaje mpaka zureiya yupo buguruni.kichwa changu kikaaza kufikiria kama labda atakua ananitania lakini kulia kwake kulimaanisha kabisa kwamba mtu huyu alikuwa na matatizo kweli.Bila hata ya kujiuliza sana nikavaa nguo zangu usiku huo huo kwa lengo la kwenda kumchukua zureiya buguruni lakini kila nilipokuwa nafikiria gari Nitapata wapi nilikuwa nakosa jibu.
Umbali komakoma mwananyamala mpaka buguruni ulikuwa mrefu sana hata uoga ukaanza kuniingia baada ya kufikiria vibaka,majambazi na labda sungu sungu wanaokamata watu wanaotembea usiku.lakini nilipomfikilia zureiya Jukumu la kutoka nyumbani hapo tena kwa Kutoroka ilinijia katika kichwa changu.Baada ya kuvaa viatu nikaanza kunyata nyata na kufanikiwa kuufungua mlango na kuufunga kwa utaratibu wa hali ya juu kuepuka kukuru kakala zitakozomshtua Mama aliyekuwa kalala muda huo.lakini baada ya kuufunga mlango huo nikakaribishwa na vibration ya simu yangu iliyovaibrate katika simu yangu iliyoashiria kuwa kuna sms iliyokuwa imeingia na kunifanya nigande pale pale na kuifungua.
"Pablo ni matatizo kweli ujue hapa nilipo nimejificha katika duka moja kwa nyuma hapa buguruni stendi nakuomba njoo unichukue tutaongea vizuri ukija." nikaisoma messeji ile iliyonifanya nitoe muhemo mkali sana na kutoa pumzi ndefu kisha nikaanza kutembea kwa mwendo wa kunyata mpaka kufikia geti na kulifungua kwa umakini wenye uangalifu wa juu na kufanikiwa kuufungua bila ya kelele na kufanikiwa kutoka nje.mishale ya saa yangu ikasoma saa nane na nusu nikaingia mtaani nakuanza kutembea kwa mwendo mdogo mdogo wenye haraka flani hivi huku macho yangu yakiwa yanaangalia huku na huko.Kutoka ninapoishi mpaka katika stendi kulikuwa na kuambali mrefu kidogo na kuna michoro choro mingi sana ili kuifikia stendi.
Hali ilikuwa kimya huku kiza kizito kikitawala niliendelea kuvuka kichoro baada kichoro huku nikimuomba Mungu aniepushie balaa kutokana na usiku ni hatari sana hasa katika mitaa yetu yenye kesi nyingi na unyan'ganyi na ubakaji.Mfukoni nilikuwa nina elfu tano tu ambayo sikuisahau kuibeba ambayo ilikuwa ni kama akiba yangu niliokuwa nayo.hakika sikuwai kutegemea kwamba ningekuja kumpenda msichana kiasi hicho mpaka kujikuta nikiweka hatarini maisha yangu ya kutembea usiku mzito bila ya uoga huku nikijikuta nikikubaliana na hali yoyote ile itakayo nitokea. Mungu si Athumani jamani nikajikuta nikifanikiwa kufika stendi ya mabasi bila ya kukutana kizingiti chochote na kukuta watu watatu wakionekana kama wanasubiria gari kutokana na kusimama katika stendi hiyo.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni