Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MAPENZI NA NGONO (6)

Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Mungu si Athumani jamani nikajikuta nikifanikiwa kufika stendi ya mabasi bila ya kukutana kizingiti chochote na kukuta watu watatu wakionekana kama wanasubiria gari kutokana na kusimama katika stendi hiyo.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
"Za saa hizi jamani"Nilijitutumua kuwasalimia wale watu niliowakuta pale stendi ambao kwa bahati nzuri salamu yangu ikaitika kwa hali ya Amani kabisa.
"Vp mdogo wangu mbona usiku sana sisi wenzio watu wa sokoni tunataka tukapokee mizigo yetu buguruni je wewe waenda wapi??"
"Mimi mwenyewe naelekea huko huko kuna sehemu Nimeitwa kuna tatizo"
"Oohoo basi itakuwa vyema..tupo pamoja"

Hakika nikaanza kusikia Amani katika moyo wangu baada ya kugundua na wao wanaelekea buguruni na kujikuta nikijiachia kabisa stendi kwa kusubiria gari huku mawazo yangu sasa yakianza kumulika kwa zureiya ambaye kila nilipokuwa na vuta picha ya yeye kuwa buguruni usiku huo nilikuwa bado sipati taswira.Tukafanikiwa kupata gari baada ya kukaa stendi hapo kwa muda wa dakika kumi na tano na ilikuwa kama Mungu tu kutokana na gari la kwanza la kuchukua Abiria lilipotekea lilikuwa ni la buguruni.wote tukapanda na gari nzima abiria tulikuwa watatu tu na hapo ndipo nilipoanza kumpigia simu zureiya.simu ambayo iliita kwa muda kisha ikapokelewa.

"Zureiya mimi ndio nipo kwenye gari sasa nisuburi hapo hapo"
"Mmmh kwenye gari??? unaelekea wapi mbona usiku huu" Jibu lile alilonijibu likaniweka katika hali ya mshangaoo wenye butwaa na kunifanya nigande kidogo kuzungumza na hasira ikaanza kunipanda kidogo kidogo.
"Wewe si umeniambia upo buguruni una Matatizo ndio nakuja hivyo nipo kwenye gari"
"Jamani,Jamani baby pole duu its just jokes tu mume wangu nakutaniaaa"
"Nini wewe demu msengee ni.

"Yani pablo unanitukana kwa kuniambia mimi msengee"
"Ndio msenge Malaya wewe yani unanifanya mpaka nahatarisha maisha yangu kwa kukupenda wewe unaniactia upo buguruni yan..." Nikiwa katika jazba nzito iliyochanganyika na hasira kali moureen akakata simu baada ya hasira kunizidi na kujikuta nikimtukana kutokana na hasira zilizozidi kikomo kunitawala kabisa kwa wakati huo.Nikiwa ndani ya gari hilo mida ya saa tisa na nusu usiku Nikanyanyuka haraka na kusimamisha gari kutokana na wakati huo tayari nilikuwa nishafika kinondoni studio huku tukiwa vile vile tulivyokuwepo ndani ya gari hilo.Nikatoa noti ya elfu tano nakumpa konda ambaye akanirejeshia chenji iliyobaki na kunisusha pale pale studio ambapo kwa wakati huo kulikuwa hamna watu kabisa barabara ilikuwa nyeupe na ya kutisha sana.

Baada ya kushuka nikaanza kukimbia mbio ndefu huku kwa tahadhari kubwa huku shingo yangu ikiwa inaangalia huko na huku.moyo wangu ulizidi kunienda mbio cha kwanza niliogopa sungusungu pili niliogopa majambazi au wakabaji ambao mida hiyo ilikuwa ndio mida yao ya kazi na maeneo ya kuanzia kinondoni mpaka kwetu komakoma ambako kulikuwa hakuna umbali sana ndio uliongoza kwa vitendo hivyo.Nikiwa kabisa nakaribia kuingia komakoma ghafla sauti nzito ya mluzi wenye kuashiria kama naitwa ukasikika katika masikio yangu na kunifanya nipate uoga na kujikuta nikisimama kwa hofu.

"Oyaaaaaaaa mwanaaa inakuaje na mbona mbiombio usikuuu huu halafu wewe yanki tu unatoka wapi dogo??"
"Hamna braza nina matatizo"
"Matatizo wapi unaniua boya halafu hamkosagi mitonyo nyie madogo kama nyie wazee wa klabu wazee wa kujirusha" aliongea yule jamaa aliyeonekana kama mvuta bange kutokana na lafudhi zake za uongeaji kisha akaingiza mfukoni na kuchomoa kisu kidogo jambo ambalo likanipa hofu kubwa na kuzidi kutetemeka.sikutaka mpaka aanze kuongea tena mwenyewe nikazama mfukoni na kutoa noti za elfu mbili mbili na kukabidhi jambo ambalo lilionekana kumfurahisha kidogo na kucheka kwa nguvu na kuzidi kuniweka katika hali ya wasiwasi
"Sasa sikia dogo unaelekea wapi??"
"Naelekea hapo mtaa wa pili."
"Sawa basi twende nikusindikize siunajua mida mibaya hii na wewe najulikana kote huku wenyewe wananiitaga the mafia boy usije wakakudedisha bure.

Hakika Maneno ya yule jamaa yakanirudisha katika hali ya kawaida lakini kwa hali flani nilikuwa bado nina wasiwasi kidogo kutokana na jamaa mwenyewe alivyo alikuwa anaogopesha.Kwa mwendo wa haraka haraka wenye stori za hapa na pale kutoka kwa yule mvuta bange zilisababisha nifike nyumbani haraka huku kwa msaada wa kunisindika akanifikisha mpaka katika nyumba yetu kisha akaniaga na kuondoka zake.kwa kutumia njia ile ile nikafanikiwa kuruka ukuta na kuingia ndani na kwa mwendo wa kunyata nyata ukaniwezesha kabisa kuingia chumbani kwangu ambapo baada ya kufika nikajibwaga kitandani na kuanza kuchekecha kichwa changu kilichaaanza kutawaliwa na maswali mengi yasiokuwa na Majibu husika.

"Daa ila nilimtukana lakini sijui itakuaje maana baada ya kumtukana akakata simu kuashiria nimemkera.sijui nimuombe msamaha daa lakini yeye ndio mwenye makosa sana kanikosea sana utani gani ule??ambao ungehatarisha maisha yangu??" hakika maswali hayakuisha kabisa mpaka kulipokucha sikupata hata lepe la usingizi kutokana na kuwaza sana.Nikajikuta nikiandika messeji ndefu ya kumuomba msamaha lakini nilipokumbuka kuwa alinikosea sana nikajikuta nikipotezea na kujifariji kuombwa msamaha labda.Hakika kama mchezo vile wiki ilikatika na sikupokea simu yoyote ya zureiya wala messeji jambo ambalo liliniumiza kwa kiasi kikubwa na kuamini kuwa nilikuwa sipendwi na mrembo huyo.

Kila nilipokuwa nakumbuka siku niliyofanya naye mapenzi nilijikuta nikishindwa kabisa kujizuia kulia kutokana na kumpenda sana.licha ya hayo yote kutokea lakini roho yangu ilikuwa ngumu kabisa kupigia simu na wala kumtumia messeji pale tu nilipokumbuka kuwa Alinifanyia mchezo mbaya ambao yeye hakutaka kuniomba radhi.kama yeye alivyouchuna nikajikuta na mimi namchunia kabisa na kudiriki kufuta Namba yake na kubaki nikiumia moyo wangu pale tu nilipokuwa nakumbuka kipindi kifupi cha Mapenzi yetu tuliyoyapitia. Siku zikazidi kukatika na kujikuta nikimsahau zureiya baada ya kupitia miezi miwili hali hiyo ilisababishwa na kujiandaa kwa mtihani wa mwisho wa kidato cha nne ambao ulinifanya nikitumia muda mwingi kukazania masomo yalioniweka hali ya ubize na kunifanya nisiwe na mzuka hata wa kushika simu yangu.ila siku Moja nikiwa nasubiria gari la Nyumbani baada ya kutoka shule nikiwa standi nagombania magari yaliokuwa yamejazaa kutokana na watu wengi waliotoka makazini mwao.

Ghafla nikiwa katika hali ya Mshangao Nikakombatiwa na msichana ambaye kunikombatia huko kulivuka mipaka baada ya kupeleka kabisa mdomo wake katika kinywa changu nakujikuta nikimzuia kutokana na wanafunzi wenzangu walikuwa pale na miongoni mwa watu ambao walishangazwa sana na kitendo kile na kujikuta nikimsukumiza kidogo na kumuangalia ni nani aliyenifanya vile.Macho yangu yakakutana na mrembo aliyekua kavaa dera zuri la kuvutia huku machoni kwake akivaa miwani ya meusi ambayo aliivua na kujikuta nikipata mshangao mkubwa na moyo kuanza kunidunda kwa kasi kidogo.Baada ya kumuona dada yake zureiya rukaiya aliyekuwa akitabasamu huku hakikosa aibu kitendo alichofanya kilichowapa maswali mengi wazee na watu wengine wenye heshima ambao wakaanzisha mada kuniongelea.Maswali ya haraka haraka ya kujiuliza ilikuwaje dada yake zureiya kufanya vile kunikombatia kisha nikanipa denda ambalo sio siri lilinisisimua ndio likanipa wakati mgumu na kujikuta na mimi nikitabasamu kidogo na kumuangalia.

"Hee jamani pablo shemu kwanini unamtesa mdogo wangu unajua kakonda kwa ajili yako.anakutumia messeji ujibu anakupigia simu upokei."
"Daa sijashika simu muda nipo bize na masomo yangu siunajua bado mwezi mmoja tu"
"Oooo sasa unasubiri nini hapa"
"gari la kwenda nyumbani"
"Aaaaa haya twende basi tukachukue bajaj nitakulipia pia nitakusindikiza mpaka kituoni kwenu kisha mimi nitarudi"
"A..aa...aa....s..awa basi twende"

Nikajitutumua kijibu kisha nikawaaga washikaji wenzangu ambao walikuwa wananiangalia huku wengine wakinisifia kwa kunipa majina mengine ya sifa kutokana na kuongozana na mtoto wa kiarabu rukaiya dada yake zureiya.tukachukua bajaj hapo hapo kituoni na kuanza kuondoka na huku tukipiga stori za hapa na pale.Lakini kilichozidi kunishangaza ni pale mrembo huyo aliponisogelea karibu kabisa kisha akanyanyuka na kunikaria katika mapaja yangu kisha akageuka nakuniangalia na kujikuta nikitaka kuongea lakini akaniwahi kwa kuniziba mdomo kisha bila ya aibu akaupeleka mdomo wake katika mdomo wangu na kuanza kunyonyana denda ndani ya bajaji hiyo na kusababisha dereva wa bajaji huyo kuwa katika wakati ugumu baada ya kumshuhudia akituangalia angalia kupitia kioo cha bajaj hiyo kilichopo mbele.
"Pablo Nakuomba achana na mdogo wangu hajui mapenzi yule atakutesa njoo kwangu nitakupa penzi muda wowote unakao niitaji please nakuomba usiniangushe kwa hili"........

Hakika maneno aliyokuwa anayatamka rukaiya huku akiendeleaa kunibusu katika baadhi ya sehemu kama shingoni huku akiendeleaa kunilamba lamba kwa katika masikio yangu yalizidi kunisisimua huku maneno yake yakutaka niachane na zureiya msichana ambaye nampenda kupita maelezo ndiyo yalizidi kunichanganya na kuniweka katika wakati mgumu hasa ukiangalia uzuri aliokuwa nao rukaiya mrembo ambaye sio siri alikuwa anachuana vilivyo na mdogo wake zureiya hasa katika sekta ya shepu ambayo rukaiya alimzidi kidogo zureiya.Macho yake yakurembua yakiambatana na midomo yake mekundu iliyokuwa tayari kabisa kunyonywa denda vilitosha kabisa kuniweka katika hali mbaya sana na kujikuta nikimzuia rukaiya baada ya kutaka kuvuka mipaka kwa kutaka kunishika nanii yangu iliyokuwa katika hali ya hasira kutokana na utundu utundu aliokuwa ananifanyia rukaiya tukiwa ndani ya bajaj ambayo ilikuwa inakaribia kabisa kufika kituo cha nyumbani.

"Pablo yani sijiwezi au kama vp sasa hivi twende ukanipe Mambo kama uliyompa zureiya katika guest yoyote nzuri iliyokuwepo mitaa hii si unakujua vizuri huku.??"
"Heee rukaiya aaa...siku nyingine bana mimi siwezi kwa sasa ukizingatia nina mitihani inanikaribia please tuta...."
"Ssssshhh unajua sitaweza kukuachia Mpaka ukubali ombi langu yani sitaweza basi nihaidi jumamosi hii tukutane sehemu unitimizie Azma yangu".

Hakika katika maisha yangu yote niliyokuwa nikiishi kabla ya kukutana na zureiya sikuwahi hata siku moja kufikilia kama itakuja kutokea mitihani kama hiyo kutokana na rukaiya kuning'ang"ania sana nikajikuta nikikubali na kumpa namba yangu ya simu huku yeye akinisisitiza kuwa nisiongee kabisa na Mdogo wake la sivyo atakuja kumwambia baba yake inshu hiyo jambo ambalo likanishangaza hasa nilipoanza kujiuliza ni kwanini rukaiya anafanya vitu kama vile.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


27 Mapenzi na Ngono Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni