UTAMU WA MCHEZO (1)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KWANZA "Wewe clementina ebu amka uendi chuo wewe?" "mama jamani naumwa" "mtoto mvivu wewe unaumwa unaumwa nini unaona shida kuamka ebu amka usaidie kazi uende chuo" "aah mama naamka lakini mama nilikwambia mwambie dadie alete mfanyakazi ila mbishi ona kazi zote unafanya peke yake" "una wazimu wewe upo mimi pia mfanyakazi tuna mtoto wa kulea ebu nitolee ujinga wako yani wewe huku utakapoolewa utawapa shida tu" "mmh mama tuyaashe naona unaenda mbali" "ndo uamke hapo" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU Nilijivuta kutoka kitandani nikachukua kanga yangu na kujifunga kiunoni kisha blauzi yangu nikaingia jikoni kucheki ustarahabu nikagundua mambo yote sawa nikarudi zangu chumbani angalau nikajisafishe huu mwili. "ooh mungu wangu saa tatu na robo! Aki ya mama hizi movie na internet vitaniua kila nikijitahdi kuwahi kulala saa tisa, nane, kumi ndo mida …