Notifications
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…

MUUZA CHIPS (6)

Sehemu ya Sita, mtoto wa watu, arusha moshi arusha, cha salma kilikuwa, hali ya juu, halijaogawatu wote walitulia, hapa lione vile, hapa na pale
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA...
Kijana chidi alisahau kumpa mkewe haki ya ndoa, mana alimwahidi usiku wa leo sasa kama vile kasahau, na mkewe alimkumbusha kwasababu chidi alokuwa keshaanza kujifinika shuka pale chini katika godoro lake la sufi,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...

Salma alishuka kitandani kama kawaida yake na kujibana kwenye godoro la chini huku wakimuacha mtoto wao ajinafasi kwenye kitanda cha futi mbili kwa tano sjui sita vile,.. Basi salma alianza uchokozi wa hapa na pale wa kumshika chidi mashavu mara amshike nanii yake, yaani ilimradi kijana chidi apandishe ashki za mapenzi,.. Na chidi nae hakichelewa mana ni mwanaume rijali haswa, Salma alikuwa na kakanga kamoja tu, tena vikanga vya kijijini si unavijua wewe, vimechoka afu vyepesiii na salma wa watu bado alikuwa analipa haswa, yaani kama ni kaschana basi hako ndio kaschana haswa, salma kazalishwa mtoto mmoja lakini bado ni kisu kama kana Bikra vile, kumbe walaaaa,..

"chidi leo, nataka unikumbushe kama vile ndio tunaanza kukutana"

Salma alimwambia mume wake, huku akikatoa kale ka kanga kamoja, huku chupi yake mpya ikiwa imezizima kwenye mwili wa salma,.. Kijana chidi yeye asionage tu hio nguo basi, yaani hapo ndio mwisho wa matamanio yake, yaan akiiona tu nguo aina hio mtoto wa kiume hoiiiiiii,

Yaani siku hio kama salma hajaoga basi lazima ang'ae usiku huo kwa jinsi ulimi wa chidi ulivyokuwa ukipenya katika mwili wa salma,.. Mtoto wa watu sii kujinyoosha gani huko, mana chidi alianzia kitovuni kupanda juu, nani kasema mbavu hazina hisa kwa mwanamke, mbona salma anajinyoosha utafikiri kifo kimemkuta, kumbe ni utamu,

"hhhhnnnnnnnnnnmm ba… Baba king jamani"

"nini tena mama king"

"basi… Basi.. Ba.. Basi endelea tu"

Kijana alifika hadi kifuani kwa mtoto wa watu, sehemu iliosimama kiasi chake, hapo salma alihisi kuteseka mana chuchu zake zilikuwa zikinyonywa kwa ufundi wa hali ya juu sana, mpaka zilisimama wima, hapo kijana chidi akaona basi,… Eti niliskiaga mtandaoni kuwa Diamond Platnumz alimlamba zari mkwapa wake,.. Sasa sio huyo tu, chidi aliupitisha ulimi eneo hilo kitu kilichomfanya salma ajikunje kama kambale,… Unajua sehemu ya kwapa ni sehemu yenye kuamsha hisia za mapenzi kwa mwanamke hata kwa mwanaume pia… Kwasababu hapo ulipo wewe mwenyewe jishike kwapa uone kama utafurahia kitu,… Hutofurahia kwasababu damu iliogusa ni ile ile, lakini ngoja mtu akuguse hata kama ni mwanamke mwenzake lazima aruke na kujikunja,… Sasa kama mkono tu lazima uruke je huo ulimi je utafanyeje,… Ila chunga sana sio kila kwapa ulambe mikwapa mingine ni sumu, yaan kabla hujalikuta tu tayari ushaisikia balaa lake..

Wanawake kuweni wasafi mpate raha kwa wapenzi wenu sio kila siku kutuambia hatuwafikishi wakati sehemu husika za kuwafikisha kileleni ni chafu… Sasa mnategemea nini, badirikeni jamani,

Sasa huku salma alikuwa anateseka mno, mana mkwapa wa salma ulikuwa msafi, yaan laiti angelikuwa mjini basi hiki kitoto kingelikuwa kiarabu hiki, sema hapa matunzo ya nguo tu hakina lakini usafi wa mwili, aaaahhh we acha tu,.. Chidi alipomaliza kunyonya mikwapa ya mke wake, huku akimuacha katika hali mbaya ya kimapenzi,… Huku akiitafuta shingo ilipo, mpaka kufikia mdomoni, kichupi cha salma kilikuwa ni cha kufua tu, mana kilikutwa na hali mbaya, na chidi bila kujali alikavua na kutaka kupitisha ulimi katika buyu la salma, sehemu ilioloa haswa

"chidi, please nakuomba uniache, inatosha"

Salma alimstopisha mume wake kuwa inatosha,… Chidi bila kuchelewa alivua kaboksa chake kalikochoka, huku zakaria akiwa Ndi Ndi Ndi haswa,… Kibuyu cha salma kilikuwa kimeshalowa, hivyo chidi alivyoweka tu, salma akajisukuma mwenyewe,…

"uuuuuuuuwwiiiiiiii chidi.. Mpenzi wangu"

"sema"

"au basi"

Basi hali ya nje ndani ilikuwepo kama kawaida,…

Ilipofika saa 11 alfajiri kijana chidi anaamka lakini alikuwa kachoka hata kutembea alikuwa akijitahidi tu kiume,.. Sasa huyo ni kidume tu ni hivyo, je huyo mtoto wa watu itakuaje,…

Chidi aliamka na kwenda kuoga kisha akajiandaa vizuri na kumuamsha mke wake ambae alikuwa kachoka mithili ya mtu aliobebeshwa magunia usiku kucha,.

"mama king, mi naondoka ivo"

Salma kuskia tu mmewe anaondoka, alikurupuka na kutaka kuandaa maji ya kuoga

"wewe vp mi nishaoga tayari"

"heeeee umeamka saa ngapi"

"mapema tu, na sasa naondoka zangu"

Hio suruali aliovaa kijana chidi ilikuwa ni kama komedi mana alivyovaa, we acha tu ni kituko,

"umependaza mume wangu"

"ahsante mke wangu"

Kijana chidi alitoa shilingi elfu 20 na kumpa mke wake,..

"shika hizi kaa nazo kisiri siri zitakuseidia"

"sasa wewe utakula nini"

"usijali, nina mihogo hapa kwenye mfuko, nitakula"

"kwahio hapo una nauli tu"

"ndio, yaani hapa nina elfu 30 tu"

"jamani mume wangu, chukua hii elfu kumi usile mihogo safarini"

"hapana, mimi nakwenda kutafuta pesa, hivyo natakiwa nijifunze hali zote za majini"

"mmmhh sawa"

"ila hakikisha wazazi hawaijui hii pesa mana wana zakwao kule"

"wakitaka nitatoa tu, sasa nitafanyeje"

"mmmhh ni wewe tu,… Ok sasa mie naondoka"

Salma alimsogelea mume wake na kumnyonya bonge la denda,… Yaani kunyonyana kule kulisababisha hisia ziamke upya, lakini chidi alijikontroo na kuzikataa,…

Dakika tano mbele tunamuona chidi anaiaga familia yake, ambae ni mama yake, baba yake, mdogo wake wa kike… Huku mke wake akimsindikiza angalau kidogo

Walikuwa wakipiga stori huku wakieleke sehemu ya pikipiki ili impeleke stendi ya mabasi,…

Kweli alifika eneo hilo na kupanda toyo.. Waliagana na mke wake huki mke akiwa na huzuni kwa mumewe kuondoka mana keshamzoea katika maisha yao yote, ya shida na raha hivyo hivyo mpaka sasa wana mtoto mmoja

"niagie king wangu eee"

"usijali nitakuagia"

Safari ya kuelekea stendi ya mabasi ilianza, salma alikuwa akilengwa lengwa na machozi ya huzuni….

Kijana anatua stendi kuu ya tanga, maeneo wanayo yaita KANGE stend ya mkoa wa Tanga,

kijana anashika basi moja la lakshari yaan ndani mpaka tv ipo, full AC… Alihisi hili basi sio taipu yake mana watu aliowakuta humo, mungu wangu weee, yaan ni tofauti na yeye kabisa,..

Mara kondakta anakuja na kumuandikia siti,

"oyaa mpaka arusha, ni shing ngapi"

"we vp kaka, ina maana hujui nauli au unazingua tu"

"kweli sijui jamaa angu"

"elfu 30"

"tobaaaa yarabi mie"

"acha kuzingua we jamaa, nishaandika tiketi shika tiketi yako"

Kijana sheby hapo alipo alikuwa na shilingi elfu 25 tu, mana alipanda toyo kutoka pongwe mpaka stendi, sasa hio elfu 5 ataitoa wapi,muda huo…

"lete nauli ukae hapo"

Kijana chidi kwa kutia huruma alitoa pesa yote mpaka mfuko unaning'inia kwa kukosa pesa zingine,…

"mbona bado elfu tano"

"jamaa angu, sina hata shilingi na laiti kama usingeandika hio tiketi ningeshuka nikatafute gari nyingine"

Mara watu wakaanza kumuombea, chidi asamehewe,

"msamehe tu kijana mwenzio"

"amana mzee hawa wanafichaga pesa hawaa"

"lakini keshakwambia hana, au mpe pesa yake akupe tiketi yako"

"aahhh ebu kakae pale.. Unazingua tu"

Sasa siti alioandikiwa kulikuwa na mrembo mkali anajishaua huyo, hapo alipo yenyewe alikuwa na Headphone maskioni huku kashika lisimu likubwa mno, anakula mziki,…

"nikakae pale"

"kaaa pale hueleweki Kiswahili ww bwege nini"

Aahhh kijana chidi alikuwa akikutana na vikwazo kama hivyo,

Sasa chidi ikabidi akae tu mana ndio siti alioandikiwa

Sasa ile kukaa tu, yule demu kaanza mdomo

"we kaka vipi, ina maana huoni pakukaa mpaka uje hapa,.. Lione vile sjui halijaoga"

Watu wote walitulia kimyaaaaaa wakisubiri chidi ajibu kitu..

Kama tunavyomjua kijana wetu chidi yeye sii mtu wa mabishano yasio na maana, yaani kama malezi basi chidi kidoogo kayapata, kwani ile kauli ya kuambiwa umheshim mkubwa na mdogo, ndio inayomseidia,

Kijana chidi baada ya kuambiwa vile na yule mschana, hakutaka kubishana nae, kwani umaskini wake usiwe kikwazo kwa kila mtu

"we kaka vipi, ina maana huoni pakukaa mpaka uje hapa?.. lione vile sjui halijaoga"

Watu wote walitulia kimyaaa wakisubiri chidi ajibu kitu,

"nisamehe dada angu"

Watu walishangaa kwa karne hii kuona kijana anamuomba mschana msamaha tena huku akiwa kama anamshukuru kwa maneno yake

Yule dada hakumjibu tena akawa anaendelea kusikiliza miziki yake kwenye headphone kubwa..

Na wakati huo kijana chidi bado kasimama anajishauri pakukaa, mara akakaa pale pale chini, yaani kwenye ile njia ya watu kupita kwenda nyuma au kuingia katika siti zao, chidi nae akajibwaga hapo hapo….

Watu ni kushangaa tu mana kwao haijawahi kutokea, na uzuri wa gari hilo halitaki watu waliosimama, hivyo kukaa kwa chidi pale chini ni kwamba hakutokuwa na mtu wa kumbuguzi,

"lakini we mschana ukifanyacho sio kizuri kwa binadamu mwenzio"

Alikuwa ni mwanamama mmoja hivi akimwambia yule dada aliomnyima chidi kukaa karibu yake, mana ule upande wa ile siti, ni ule ambao unakuwa na siti mbili tu na upande mwingine ni siti tatu, sasa chidi aliwekwa upande wa siti mbili, na mtu wa kwanza ni huyu dada na wapili ni chidi, lakini mdada yule alijifanya matawi ya juu haswa na kutaka kukaa mwenyewe,.. Mama mmoja aliamka na kumtaka chidi akae pale alipokaa yeye afu yule mama akakae na yule binti,…

Basi chidi hakukataa kukaa pale na yule mama alikaa na yule binti pale kwenye ile siti,……

Safari ilinoga haswa kwani humo ndani kulikuwa na Tv afu wanapewa pewa vibiskuti vya hapa na pale, mana basi hilo lilikuwa ni la hali ya juu sana, na sio kuwa chidi aliingia kwa kujua kuwa basi hili ni zuri, bali aliingia kwakua aliskia konda akisema… HAYA MOSHI ARUSHA, MOSHI ARUSHA MOSHI ARUSHA IYOOOOO, chidi nae kuskia hivyo akajichomeka huko huko, kumbe ni basi la watu waliojikamilisha kifedha,..

Safari inafikia maeneo ya mombo sehemu ambapo basi husimama na abiria kupata chochote, mana ilikuwa yapata saa 8 hivi mchana, Watu katika basi walishuka wote kasoro kijana chidi tu peke yake, chidi alivyoona watu wameshuka kwenda kula kuku huko chini, nae akatoa muhogo wake mbichi na kuanza kuula, tena hakuwa na wasiwasi kabisa maana alitegemea kula mhogo, hivyo alikuwa akifurahia ulaji wake,.. Abiria walipewa nusu saa nzima ili mwenye kula ale mwenye kwenda haja kubwa au ndogo aende, ilimradi tu kila mmoja amalize haja zake,

Sasa huku njie, tunamshangaa yule binti anamuulizia chidi,.. Anauliza baadhi ya abiria wengine waliokuwa ndani ya lile gari,

"samahani kaka, eti yule mkaka aliokuwa kakaa chini ivi ameenda wapi"

"yule uliekataa kukaa nae"

"ndio huyo huyo"

"aahhh Kiukweli sijui kama kashuka huku"

"au atakuwa kaenda Chooni"

"labda"

Mdada huyo alionekana kuwa na hudhuni juu ya kumkosa kijana huyo, aliona hata kukaa nje haikuwa na haja, bora aingie ndani, wakati huo kijana chidi ndio anamalizia muhogo wake ili atoke nje aende msalani,… Sasa dada kuingia anamkuta chidi katulia kwenye siti huku akitafuna muhogo mbichi, dada huyo alijilaumu sana kwa kile kitendo alichokifanya muda ule, na uzuri wa chidi yeye hakutaka kubishana na mdada huyo aliekuwa mzuri wa kila aina sema ana kakiburi flani hivi ambako sio kazuri kwa jamii,


INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
48 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni