UTAMU WA MCHEZO (5)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA MCHEZO (5)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Nilipoipata sayansi huyo nikanyooka kuitafuta msasani kisha niingie nyumbni masaki , haikuchukua muda nilifika home mlinzi alikuwa tayari amefika akanifungulia geti ila cha ajabu taa za ndani hazikuwashwa hata moja nikajua cliff itakuwa ametoka niliingia sebureni nikawasha taa na kuingia jikoni nikakuta suprise chakula kimepikwa tayari. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilirudi sebureni nikaikuta laptop yangu lakini kwa chini niliona tait nyeupe nilishtuka na kujisemea ina maana tait yangu imefikaje fikaje huku? Ila nilipoishika haikuwa yangu. Humu ndani kuna kitu kinaendlea. Nilikuta laptop yangu kwenye kochi ila kwa chini niliona tait nyeupe nikaanza kujiuliza ile tait imetoka wapi na nani kaileta pale? Nilijiuliza maswali bila majibu "mmh inawezekanaje hii na hii tait sio yangu hapa kuna namna sio bure" Nilifikiria kwa haraka haraka na jina lililokuja kichwani ni tina…