BABU G (11)
JINA: BABU G Mwandishi: Eliado Tarimo SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Humo humo kwenye meseji babu G alinambia siri ya ushindi kwa mwanamke yeyote hasa hao wenye mashauzi na wanaokatisha tamaa ni kujiamini. Kwa mujibu wa babu G “ linapokuja suala la kujiamini hata mwanaume awe mbaya kiasi gani kama anajiamini lazima atakuwa kivutio kwa wasichana wanaokutana nae. Wasichana siku zote wanapenda ulinzi, mtu ambae atakuwa kinga yake sasa ushawai kuona mlinzi hajiamini?. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kujiamini ni ngao kwa sabababu wanaume wanafanana kwa vitu vingi kwa mfano mavazi yao huwa hayawatofautishi sana, kwa hiyo kwenye kundi la wanaume wanaovaa sawa lazima mwanaume anayejiamini ataonekana wa kipekee zaidi. Kujiamini kunamfanya mwanamke ajihisi kuwa salama pindi atakapo kuwa na wewe kwa hiyo wanavutiwa sana na wanaume wanaojiamini tupilia mbali sura na uhandsomboy. Badika ndugu jiamini na kujikubali jinsi ulivyo”. Maneno haya ya babu G yalin…