BABU G (7)
Zephiline F Ezekiel
5 min read
SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
“Unatakiwa ufanye pambano la nguvu ambalo litamfanya akukumbuke maisha yake yote..”
Mara alinyanyuka pale alipokuwa amekaa akaingia jikoni na aliporudi alikuwa na mizizi hata sikujua ni mizizi ya nini. Alinipa na kuniambia nitafune. Nilisita kidogo lakini sikuwa na jinsi nilianza kutafuna. Haikuwa michungu kama nilivyotarajia la hasha ilikuwa na ladha ya utamu utamu. Babu G hakuishia hapo baada ya muda aliniletea kikombe klichojaa dawa ingine ya kienyeji.
NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
Alinambia ninywe ili nipate hamu ya kufanya lile tendo siku hiyo. Sikuweza kubishana na mzee huyu mimi nilimwamini sana hivyo nilikunywa. Niliona mabadiliko kidogo ya moyo na nikajua lazima dawa hiyo imeanza kufanya kazi. Mapigo yaliongezeka na kijasho chembamba kilinitoka. “Sasa mjukuuu wangu tuendeleee na somo kidogo maana hli litakusaidia sana siku za mbeleni. Unataka nieendelee kukueleza habari za wanawake au habari za wanaume?.. “Habari za wanawake nilijibu kwa haraka.
Wanawake ni viumbe vigumu kuvielewa na kama ukivielewa basi utakuwa kwenye wakati mzuri. Ubongo wa mwanamke uanfanya kazi tofauti hata unavyofikiria.. Ujue mjukuu wangu kuna maaana ya uhusiano kwa kila mwanamke.Hapo zamani tulizoea kuwa mwanamke ni mama wa nyumbani ambaye kazi yake kubwa ni kulea watoto na mambo mengine ya nyumbani. Lakini sasa hivi jamii wanaimiza wanawake wawe wa kisasa, wasome na kuwa na kazi ambayo itasaidia familia. Katika dunia ya sasa wapo wanawake wanaotengeneza hela kuliko wanaume ndani ya familia. *
Katika dunia ya sasa wapo wanawake wanaotengeneza hela kuliko wanaume ndani ya familia. Lakini pamoja na mambo hayo yote bado mwanamke kiasili anatarajia kupata mwanaume ambaye atamtunza yeye na watoto.
Na siku zote mwanamke au msichana huwa anakuwa na twaswira ya mwanaume ambaye atakuja kumwoa. Kwa mfano labda atataka mwanaume anayejituma, mrefu na mnyenyekevu au pia anaweza kupenda awe mfupi na handsome kulingana tu na vigezo vyake. Hii sasa kitaalamu ndo tunaiita changamoto ya pilikatika ubongo wa mwanamke. Hapa sasa kuna makundi mawili moja ni lile ambalo mwanamke anaweza kujitegemea mwenyewe na hasitafute mwanaume wa kumtunza.
Kundi hili ni lile ambalo mwanamke anajiweza kiuchumi na hawapendi kabisa kuishi na mwanaume na wakati mwingine uzaa tu mtoto mmoja na kuendelea kuishi wenyewe.Kundi la pili ni lile ambalo usubiri kuolewa au utafuta mwanaume kuishi nae ili kuifurahisha familia yake au jamii kwa ujumla. Mwanaume lazima awe na uwezo wa kuelewa aina 2 za wanawake kwani wale wa kundi la kwanza wanaweza wasiwe na wanaume wa kuwasapoti kiuchumi. Lakini hawa wa kundi la pili wao hata kama wanajiweza bado watasubiri wapate wanaume wa kuwatunza. Mjukuu wangu siku ukitaka kuoa au kuwa na uhusiano lazima uyatambue haya.
“Siuju unanielewa au naongea vitu vigumu sana?”.
“Nakuelewa babu, nipo makini endelea tu kunifundisha na nikishindwa kuelewa nitakwambia unifafanulie”
Kitu kingine kwenye ubongo wa mwanamke ni kuhusu sex (kufanya mapenzi). Mjukuu wangutunaishi kwenye jamii ambayo msichana anaogopa kuitwa Malaya. Wanahukumiwa na jamii kwa kila tendo wanalolifanya.
Na kwa kawaida karibu kila msichana anakumbana na changamoto hizi katika jamii sa ingine ataakionekana amesimama tu na mwanaume basi huenda akapakaziwa kuwa anatembea nae. Kitu cha kuelewa ni kwamb wasichana wanafanya mapenzi kama wanaume wanavyofanya lakini wengi wao hujificha na hawapendi kujulikana. Ni kwa kiasi gani mwanamke anakabiliana na changamoto hii ni jambo muhimu ili kuweza kumwelewa msichana.Wengi wao ukabiliwa na tatizo hili la kuogopa kufanya mapenzi. Na hi indo sababu baadhi ya wasichana wenyewe wapo wazi na hawana aibu linapokuja swala la kufanya mapenzi na wengine ni wenye aibu wasiopenda watu wajue wapenzi wao.
Kwa hiyo kwa wasichana wengine jambo la kufanya mapenzi ni kitu cha kawaida lakini wengine ni swala gumu sana. Sasa aina hizi mbili za wasichana zinawasumbua wanaume, wanaume wengi hawayafahamu haya na mwisho wa siku utakuta wasichana wanabaki wapweke kama hawa wanafunzi ambao kila wakati wananisumbua niwape kitu wanachopenda. Kwa mafano mwanaume anakutana na msichana ambaye kwake yeye kufanya mapenzi sio tatizo. Hapa sasa wanaume lazima uwe makini sio kwa sababu umegundua kuwa ni mrahisi basi ukaonesha moja kwa moja kuwa unataka kufanya nae mapenzi.Kwa msichana wa namna hiyo ni lazima kwanza uoneshe kuwa wewe haujavutiwa na kufanya nae mapenzi bali wewe umevutiwa na yeye. Hiyo itakusaidia kumfanya akupende na kukukubali sana kwa sababu aina hii ya wasichana unakuta mara nyingi ameshalala na wanaume wengi sana na swala la yeye kulala na mwanaume ni kitu kidogo sana hivyo kuwa makini usije ukafikiri eti kwa kuwa umefanya nae mapenzi basi ukajua ndo amekuwa wako hawezi kukuacha.
Hapa mjukuu wangu nataka kusema kuwa mapenzi ni sanaa inayohitaji ubunifu wa hali ya juu na pia kuhakikisha mwanaume anamwelewa vizuri msichana anayetaka kuwa nae. Ukiyaelewa haya hutapata tabu huko huendako na naamini wasichana watakuwa ni marafiki zako. Kwa hiyo hata hapa shuleni wapo wasichana wa aina mbali mbali. Wapo wanoweza kujizuia kabisa mpaka wakarud
Wapo wanoweza kujizuia kabisa mpaka wakarudi makwao na wapo ambao wao hufanya njia yeyote kupunguza nyege zao. Ni kinyume na maadili kutembea na wanafunzi lakini yakupasa kujua kuwa mimi ni jagina niliyebobea kwenye swala la mapenzi. Sikushauru uwe kama mimi ila nataka wanawake wasikusumbue huku duniani. Mimi nilikuwa kama wewe na mpaka nipo jeshini mapenzi yalikuwa yakinisumbua kila iitwayo leo lakini niliamua kujifunza mpaka nikawa hivi.
Mjukuu wangu niliona na mke wangu nilikuwa nampenda sana pengine kuliko kitu chochote huku duniani. Ila tangia afariki nikajikuta nimekuwa mpweke sana na baadaye nikaanza kutafuta faraja iliyopotea. Hapo sasa ndo nikajikuta nimerudi utotoni. Mjukuu wangu nasikia wanasema usipotembea utabebwa mgongoni. Mimi ndo kwanza natambaa.Nilitamani kucheka maana babu G naye si mtu wa mchezo mchezo anajua kucheza na nyakati yaani utafikiri sio mzee kabisa. Sasa nilikuwa na shauku ya kujua ile dawa aliyonipa ni nini kazi yake. Yaani habari za nguvu za kiume nilipenda kuzisikia sana.
Je, nini kitatokea.. Jose atapata elimu ya mapenzi tu au na vitu vingine?
Nilimuuliza swali hilo lakini badala ya kunijibu alinambia tu kuwa nisubiri giza liingie ndo nitajua. Alafu akanambia kuna mahali alikuwa akienda hivyo tutaonana baadaye. Basi kwa kuwa ilikuwa ni wikiendi na mimi niliamua kurudi kwa babu. Siku hiyo niliamua pia nikae na babu tuzungumze mawili matatu. Nilishika njia na kurudi nyumbani lakini nilivyofika sikumkuta babu yangu na nilipomuuliza bibi alinambia kuwa ameaga anaenda bustanini. Niliamua na mimi kwenda huko. Na kama kawaida yangu sikupita njia iliyozoelewa nilipita vichakani ili niwahi kufika.
Niliamua kupita ile njia inayonipitisha kwenye chimbo la babu G.. Wakati nakaribia sehemu hiyo yenye laana ya waliolaaniwa nilianza tena kusikia milio ambayo huwa sielewi. Nilitega sikio na nilisikia sauti kama ya watu wakifanya unyambisi kwenye kichaka hicho. “Leo teeenaaaaaa…” , moyo wangu ulijisemea na kufanya miguu izidi kupiga hatua za kusogea eneo hilo.. Ilikuwa ni ngumu sana kuona kilichokuwa kikiendelea kwa maana kichaka hicho kilikuwa kimejificha. Nilitamani sana kuona yanayoendelea. Na mchecheto huo ulinifanya nifikirie na kutafuta njia ya kuyapa macho kitu ambacho kilitamani. Wazo la haraka likanijia kuwa nipande juu ya mti uliokaribu na kichaka hicho. Kweli penye nia pana njia na mwenye hila hakosi sababu nililifanya hili bila kujielewa. Sikuwa na uelewa mkumbwa sana wa kupanda miti lakini siku hiyo sikutaka kulijali hilo. Huyo niliusogelea mti uliokaribu na kuupanda .. Eewaaa nilifanikiwa kwa hilo. Macho kodoo niliyaelekeza chini na kuona visivyotakiwa kuonwa.
Nilikuta mechi ikiwa tayari imeshaanza. Kwa macho nilimuona Babu G na msichana ambaye sikuweza kumtambua. Msichana huyo akapiga magoti huku babu G akisimama tayari kwa kumwingilia kwa staili ya kinyume nyume.
Yule dada alijibinua akamuachia babau G makalio kwa nyuma kisha akaanza kumkatikia mauno.Kweli mapenzi ni upofu maana babu G alikuwa kama anachochea moto kwenye jiko la kuni huku mkono wake mmoja ukiwa kwenye kichogo na mwingine kwenye kiuno cha mrembo huyo.Utamu utamu huo wa mechi ulinifanya nikumbatie kwa nguvu tawi la mti.
Washiriki wa mchezo huo hawakuishi hapo waliendelea kufanya yao na yule dada alijigeuza na kuangalia mbele.Akapanua mapaja na Babu G akafanya yake.Babu G alikuwa amesimama na dada amekaa kwenye gogo na hawakuvua nguo zote la hasha bali babu G alifungua zipu tu na yule dada alishusha kidogo tu kufuli lake na kufanya upenyo mdogo ulioruhusu nyoka kuingia pangoni.
“Mmmmmmmh, iiiiishiiiiiiiiiiiiiiii yeaaaaah hapooo hapoooooooooo” ni baadhi za sauti zilizosikika sauti zilizonifanya kuuma meno na kubetua mdomo wangu juu kama mbuzi beberu aliyenusa nyeti ya mbuzi jike na kupata mzuka wa ajabu. Nilijikuta na mimi nikifuatisha mapigo ya mzee huyo. Suku suku sukutua Babu G alisukutua mswaki wake kwenye kinywa cha binti huyo. Maajabu ya dunia watu utamu wanajifaidia.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni