MUUZA UBUYU (1)

Zephiline F Ezekiel
Mwandishi: Micky Mejah

SEHEMU YA KWANZA
"Shosti vipi tunafanyaje?

" dah sijui tufanyaje maana sasa hiv kila ukienda sehemu ni rushwa ya ngono bila hivyo upati kazi na elimu yenyewe darasa la saba"

"Tuliza mshno basi khaaa! We nawe ngoja nikupe mchapo nikiwa natoka mtaa wa pili shosti nimeona bango wanahitaji vijana wa kike na kiume kun kazi tena ni kampuni ya wahindi mshahara laki mbili shosti hapo hatujatoka kimaisha?

" kheee kaxi gani hiyo usawa wa magu ulipwe laki2 mmh ni uongo waz"gg

"Sikia emmy kama utaki me nitaenda we endelea kula kulala kwa huyo mamdogo wako uone utafika wapi"

"Hilo nalo neno shosti ngoja nichekeshe kichwa nitakujibu"

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

Salma alinyanyuka na kuondoka zake nikawa nimebai peke yangu kweny mkeka hapo ndo nikapata nafasi ya kulijadili lile jambo aliloniambia salma "mmh hata hivyo ngoja niende tu hata km kazi itakuwa ni kufagia sawa ila kukaa bure sio sawa na kutembea bure"
*****************

Siku ilipita nami nikajiandaa nikavaaa gauni langu ambalo kwangu ndo lilikuwa na thamani kuliko nguo zangu zote, saa kumi na mbili na nusu niilienda na kugonga kwao na salma kumuamsha kwa safari ya kwenda huko kwenye mpango wa kazi.

"Heeeee! Wewe saa hizi unaenda wapi sasa?

" salma ina maana umesahau kuwa leo ndo safari na jana usiku tumeongea best!

"Ndio sawa hiyo saa kumi na mbili hii unaenda morogoro Au?

" jamani salma ni lazima tuonyeshe km kweli tunashida ili tusaidiwe fikiria ni wangapi wangependa kuipata hiyo kaxi tena nakuhisi yale majibu yako ya shortcut uyaache huku huku kule uongeee kama msomi na mtu mwenye shida kweli"

"Weeeee weee stop yani wewe ndo wakunifundisha mimi ustarabu tafaaa(huku anapiga makofi na kutema mate pemben) kweli ukistaajabu ya mussa utaona ya filauni"

"Basi sawa nisamehe dada yangu najua nimekosea"

"Hilo ndo ulilosahau eti mimi kustaarabishwa na wewe na huku mie kielimu nimekupita wewe hata hiyo sekondari ujui inafananaje ila mie nimesoma mpk hiyo form two yani asingekuwa mudy mashaka kunipa mimba ningekuwa form four sasa hivi"

"Kheee basi nisamehe nenda kajiandae"

Aliondoka uku anaimba wimbo wa msanii maarufu nchini "kajiandaee kajiandae andaeππ¶ ×3"

"Mh yani huyu akili yake anaijua mwenyewe". Nilijisemea moyoni uku nafungua poshi yangu nikaangalia km pesa niliyokuwa nayo km itatosha kwenda na kurudi hasa nikiangalia hiyo jana jioni tulikopa sambusa kwa mama koku ndo tukanywa chai mimi na mamdogo yani hali ya maisha ilikuwa ngumu sana na kikubwa kimepelekea mpakaa aanze kufanya biashara ambayo sio nzuri ili kukizi kipato.
************

" mungu wangu kazi yenyewe ni kuuza vyombo aaha me siwezi hiyo kazi emmy"

"Mmh salma tuifanye tu tutapata shida kwa muda mfupi ila baadae tutafanikiwa na kuishi maisha mazuri tu usiwahi kukata tamaa bby wangu"

"Ahaaaa kuuza vyombo me siwezi"

Salma akikataa katakata ile kazi na kunifanya nikose hata njia ya kumshawishi na kibaya zaidi alikaa kimya gari zima nilikuwa naongea mimi tu.

Nilifika nyumbani km kawaida ufunguo wa chumba chetu uwa tunaweka chini ya jiwe ambalo uwa tunalitumia kusugulia miguu tukitoka kuoga, nilichoka kimwili na kiakili nikaketi kitandani uku nikiwa na njaa mno sijui nitaanzia wapi na mfukoni sina hata senti kumi.

Sikuwa na njia zaidi ya kwenda angalau kukopa japo ule mtaa mzima hakuna asiyetufahamu kwa kukopa na hata baba mweny nyumba huwa tunamkimbia sana kwa sababu ya kukosa pesa ya kulipa nakumbuka mpk siku aliwahi kusema "yani nyie wanawake na uzuri huo mnashindwa kulipa elfu 60000 tumieni hiyo mitaji" nililikumbuka ilo ila sikulipa nafasi nikateka maji na kwenda bafuni kuoga.

Mara nyingi mimi huwa nikioga na nguo zangu za ndani nazifua huko pia nikirudi huwa nazianika ndani na kwa muda ule kiza kilianza kutanda na mule ndani hapakuwa na taa ilinipasa nitafute kiberiti na niwashe ta a nilipapasa kweny ndoo nikaona kibatali nikakiwasha ile nawasha nilishangaa kibatali kinazimwa na palepale nilibebwa na kupelekwa kitandani.

"Nani jamani unanifanyia hivi"

"Tulia hivyo hivyo nyie si hamtaki kulipa kodi yangu mwezi wa tatu sasa mnategemea mimi nitaishije"

"Kumbe baba jamani mbona unanifanyia hivi samahani nakuomba mamdogo akirudi tuyazungumze baba yangu usinitende kwa ubaya namna hiyo ebu fikiria unaweza pata kesi ya ubakaji ukawa ujatatua tatizo bali umeongeza tatizo"

"Kweli una hekima ila kwa leo sikuachi na si unajua mke wangu kasafiri leo utanisamehe"

Yule mbaba alikuwa mbishi alinivuta kanga nikabaki mtupu kila neno nililokuwa namwambia akuonyesha kunielewa hata kidogo na alionyesha akuwa na hata chembe ya uoga ya kuogopa jera kwa kesi ya ubakaji kwake yeye walaa " mmh sasa nifanyaje na hapa kanikaba kooni si anaweza kuniua na mimi sitaki kupiga kelele maana nitamuweka huyu mzee pabaya" niliwaxa na kuwazua mwenyewe kisha nikaja na jingine.

"Basi naomba niashie nikupe mzee wangu mapenzi ayaitaji ubabe lakini"

"Nitakuachia kwa sharti moja"

"Nipo tayari kufata utakachoniambia baba"

"Sharti ni kunipa penzi"

"Sawa nakupa mzee niamini siwezi kukukimbia na unajua hapa nipo mtupu"

Nilitumia mbinu huyo aniache ila kichwani nikatafuta namna ya kumtoka aliponiacha nikaanza kumpapasa kifuani zee likanogewa ila bado alijiamini mkono mmoja limekamata mkono wangu wa kushoto, mimi kama kawaida niliteremka taratibu mpaka kitovuni chaaap nikashika muhogo wake ulikuwa ndani ya msuli nikapasua msuli nikakuta pensi nikaendelea kusugua kwa kiganja changu loooo mzee alikuwa na hogo sio muhogo na mimi nikapiga picha ya haraka km likiniingia lile aku wiki nzima kitandani.

Loooo! Hata kama kuweweseka sio kwa style ile lilikuwa linapiga kelele kama yeyw ndo mwanamke sasa nilihakikisha nikimtepesha haswaaa likataka kuninyanyukia nikamzuia "mmmh tulia taratibu umetaka mambo nakupa mambo haraka za nini leo nataka nikufundishe ujui mziki ulioingia sio wenyewe" nilijitia ujasiri kumbe moyoni mapigo ya moyo yanaenda mbio sana unajua nimemzoea kaboy kangu nilikosoma nako la 7 (muddy) yule ndo alikuwa saizi yangu hsya ili zee tena mie kwake ni mjukuu yahuuu!

"Weee mtoto mdogo tu nitakulaza uchi wee jisifu"

"Khaaa we mzee vipi unanifananisha na mke wako tipwa tipwa yule mama zuena mie mwili simple kama mauni nakupa uno haswa kama kunyonya ntakunyonya hilo rungu utasema kiatu kinapigwa polish"

"Njooo juu basi nione hayo mauno usimeze maneno"

"Sawa usipaparike basi kheee! Ngoja nikakojoe nakuja we jiandae vaa kabisa kinga"

"Mmh kinga sijabeba bwanaa"

"Sawa basi ngoja nije mimi ninazo"

"Fanya haraka basi kwani huyo mama yako anarudi saa ngapi?

"Achana nae ili tunalolifanya si la faida kwetu sote"

Nilibahatika kutoka njee nikatua pumzi "huuuuuuuuuuuuu asante mungu" nilitoka kwnye mdomo wa mamba. Nilipogeza shingo pembeni niliona watu dirishani kwetu kumbe walikuwa wanasikiliza kila kitu yani mikoroshini kwa umbeya mmh sijaona sasa waliponiona aibu ikawajaa kila mtu akashika njia ila na vijembe vikinifata kwa nyuma.

"Khahaaa ndo kweli maisha magumu mpaka wanatembea na baba mweny nyumba wasamehewe kodi" mama bakari aliongea

"Ndo hapo shoga na sipati picha huyo shoga yangu mwenye mumewe akiyasikia hayo mbona atawakalia kooni" aliongeza mama nusra

"Ila hawa nao wamezidi dhiki maduka ya huu mtaa akuna waliloacha yani wananuka madeni mpka kwenye chupi, ukiwaona mabinti haswa si wauze hata ubuyu basi, maana tumewachoka wao hawajui kununua ni kuomba kwanzia moto, chumvi, mboga hata ukoko na ndio maana siku hizi nikmaliza kupika naloweka sufuria langu sitaki shida" mama mashaka nae akaongea.

Nilisimama pale nikajadili na halmashauri yangu ya kichwa kisha nikapata jibu nimfukuze yule mzee ndani maana km umbea umeshaenea mtaa mzima maana vile vichwa vitatu ukiunganisha na mke wake ndo vinasumbua mtaa kwa umbea. Nilirudi ndani nikarikuta lile zee limeshavua na nguo zake lipo uchi linanikenulia tu.

"Mzee mambo yameshaharibka ebu toka tutafanya siky nyingine"

"Vipi kwani?

" nimewakuta wakina mama bakari wanachungulia dirishani kwahiyo we nenda nitakutafuta"

"Aah emmy nipe hata goli moja basi hao achana nao"

"Mwendawazimu nini wee mzee nimekwambia kistaarabu naona unielewi we unajua watanichukuliaje wewe tabia yako mtaani inajulikana mie sasa?

" anhaaaa sawa mjiandae kutoka kesho nisiwaone"
**********************************************************

Kesho yake nilikuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta kaxi kama kawaida ya siku nilizunguka madukani kuomba kazi hasa maduka ya simu, bila mafanikio tena bora ujibiwe vizuri kuna wengine wanakujibu ovyo.

Nilizunguka mwishi nikachoka nikaketi chini karibu na stendi ya daladala za kwenda tabata segerea na kwa pembeni naangalia watu wanakulana ile harufu ya msosi ikazidi kunipa hamu nikikumbuka ttoka nilipikula skonsi usiku ule na maji mpka saa tisaa hii sikupata chochote tumboni, na kikubwa kodi tunayodaiwa pale na kutishiwa kutimuliwa ndo kabisa iliniumiza kichwa na kunipa nguvu ya kusimama na kuendelea na safari.

Mbele yangu kulikuwa na duka la simu za aina ya tecno nilimuona mdada anauza pale mweny umri mdogo nijamfata na kwenda kujaribu kuzungumza nae.

"Mmh nisikudanganye hapa kaxi hakuna labda jaribu maduka ya mbele uko"

"Asante dada yangu ila unaweza nisaidia hata namba ya simu ili niwe nakuja hata kukusaidia ata usiponilipa nipate angalau uzoefu"

"Kheee dada kazi hakuna nakwambia nendaa uko bwana"

Yale maneno yaliniumiza tena mbele za watu nilitoka pale kwa mwendo kidogo nikajikwaa na kukata tuvisendo vyangu kumbe hapo kabla kuna.mkaka alikuwa ananiangalia wakati nawaza hata mia mbili ya kushona kile kiatu sina nikasikia naitwa.

"Abeeeeee" niliitika baada ya kumuona aliyeniita.

Niligeuka baada ya kusikia naitwa nikataza upande nilikuwa naitwa nikamuona mkaka mmoja ana mwili ni white na anaonekana ni mtu mwenye shughuli zake pale maana kwa muonekano wake sio haba. Nilivuka na kuelekea ule upande ambao alikuwa.

"Shikamoo"

"Mmh poa mzima wewe¿

Sikushangazwa sana na kukwepa kuitikia salamu yangu maana wanaume wengi hapa mjini hata wazee hawapendi kusalimiwa na watoto wa kike kwahiyo sikushangaa sana niliamua kumsikiliza anachotaka kuniambia maana kwa muda huo nilikuwa nimechoka mno maana nilizunguka toka asubuhi mpk jioni inaingia.

" unaitwa nani dada?

"Emmy"

"Anhaa ni muda nipo hapa nakuona unazunguka unatafuta kazi je una fani gani au elimu ya level ipi?

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni