MUUZA UBUYU (1)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KWANZA "Shosti vipi tunafanyaje? " dah sijui tufanyaje maana sasa hiv kila ukienda sehemu ni rushwa ya ngono bila hivyo upati kazi na elimu yenyewe darasa la saba " "Tuliza mshno basi khaaa! We nawe ngoja nikupe mchapo nikiwa natoka mtaa wa pili shosti nimeona bango wanahitaji vijana wa kike na kiume kun kazi tena ni kampuni ya wahindi mshahara laki mbili shosti hapo hatujatoka kimaisha? " kheee kaxi gani hiyo usawa wa magu ulipwe laki2 mmh ni uongo waz"gg "Sikia emmy kama utaki me nitaenda we endelea kula kulala kwa huyo mamdogo wako uone utafika wapi" "Hilo nalo neno shosti ngoja nichekeshe kichwa nitakujibu" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU Salma alinyanyuka na kuondoka zake nikawa nimebai peke yangu kweny mkeka hapo ndo nikapata nafasi ya kulijadili lile jambo aliloniambia salma "mmh hata hivyo ngoja niende tu hata km kazi itakuwa ni kufagia sawa ila kukaa bure …