MUUZA UBUYU (11)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (11)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Nilitoka nikiwa mnyonge kwani nilitegmea mengi kutoka kwa wale jamaa ila ckukata tamaa ile safari yangu ya kwenda kenya bado nilikuwa naiandaa kwani kilichokuwa kinakwama ni anuania za sehemu niendako na yule jamaa anayedai/aliyesema sam yupo pia hakupatikana hewani. Nilijitupa kitandani nikiwaxa mengi ila nilishangaa willy akinipigia nikapokea haraka sana kwani nilijua kutakuwa na mpya. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Ndio emmy" ilisikika sauti "Nakusikiliza kaka nipe ripoti" . "Sam unajua yupo wapi? Aliuliza swali kama la kuamsha hisia.. " willy kama unajua ukweli niambie sio unazunguka" nilikuwa mkali kidogo "Sam yupi mombasa ni mwalimu shule ya awali huko" aliongea na kunishtua mno sikutegemea. "Ila kama upo na elibariki sio mtu mzuri achana naye" aliongea zaid willy "elibariki achana nae sio mtu mzuri" alionge…