SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Nilitoka nikiwa mnyonge kwani nilitegmea mengi kutoka kwa wale jamaa ila ckukata tamaa ile safari yangu ya kwenda kenya bado nilikuwa naiandaa kwani kilichokuwa kinakwama ni anuania za sehemu niendako na yule jamaa anayedai/aliyesema sam yupo pia hakupatikana hewani. Nilijitupa kitandani nikiwaxa mengi ila nilishangaa willy akinipigia nikapokea haraka sana kwani nilijua kutakuwa na mpya.NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
"Ndio emmy" ilisikika sauti
"Nakusikiliza kaka nipe ripoti"
.
"Sam unajua yupo wapi? Aliuliza swali kama la kuamsha hisia..
" willy kama unajua ukweli niambie sio unazunguka" nilikuwa mkali kidogo
"Sam yupi mombasa ni mwalimu shule ya awali huko" aliongea na kunishtua mno sikutegemea.
"Ila kama upo na elibariki sio mtu mzuri achana naye" aliongea zaid willy
"elibariki achana nae sio mtu mzuri" aliongea william
"Kwanini unasema hivyo?
" elibariki ni jambazi na kibaya zaidi anauza madawa ya kulevya anaweza kukuingiza matatizoni"
Nilibaki nimeduwaa nikashindwa kuzungumza chochote nilijisikia ganzi ya ghafla. Sauti ya william iliendelea kusikika ikiita kwenye simu baada ya kuona ukimya ukiendelea "eemmy emmy mbona kimya emmy" aliita karibu na kukata simu nikazungumza nae.
"Wewe umejuaje willy?
" ulinipa kazi ya kufatilia hiyo ndio ripoti ninayokupa"
"Sasa unanishauri nifanyaje?
" aaha hayo mapenzi siwezi kukushauri direct fanya hivi ila wewe utajua ufanyaje. Alijibu willy ila kichwani nilitengeneza taswira nyingi uwenda huyu ananiambia hivi atakuwa ananitaka kimahusiano kwahiyo kuja direct anashindwa au ni kweli ili jambo lipo na ndio maana mara nyingi elibariki akisafiri huwa hatoi taarifa na ndio miezi iliyopita alienda uko south kisha akanitumia tshs milioni kumi na gari ya spacio new modern hiyo tu inazidi kunipa maswali.
************************
Kadri siku zilivyozidi kwenda nilikuwa na ukaribu mkubwa na willy na salma. Mara nyingi willy alikuwa ananisaidia kimawazo na kunipa campaign mara zote nikitoka out kwasababu nilikuwa mpweke kwani sam hakuwepo na elibariki ameondoka sasa ni miezi miwili sina taarifa naye japo kuwa sio mara ya kwanza kufanya hivi amekuwa akifanya hivyo mara kwa mara.
"Emmy nimekuletea zawadi nzuriii sijui kama utaipenda? Aliongea kwa tabasamu willy.
" wow! Nitaependa tu" nilikuwa na shahuku ya kujua ni nini hicho.
"Fumba macho kwa dakika mbili tu mpaka nitakapo kwambia fungua macho" aliongea willy huku akinyanyuka.
"Haya usichelewe ukizidisha dakika mbili nafungua" niliongea kwa utani uku nikifumba macho kama alivyosema.
Nilisikia movements/hatua za miguu japo sikupata fursa ya kuona ni nini kinachoendelea. Ilikuwa ndani ya dakika mbili kuekekea ya tatu ndipo akaniambia.
"Aya fungua macho supriseeeeee"
"Wow! Willy jamani what does it mean(kinamaanisha nini?)
" mimi kama mtu wako wa karibu nina haki ya kukufanyia hivi happy birthday to you" aliongea kwa bashasha kisha akanihug
"Willy am so excited(willy nimepatwa na msisimko) umejuaje my bday?
" mimi ni mtu wa karibu sana na wewe kujua tarehe ya kuzaliwa its a little thing sana(jambo dgo) niambie umeipenda?
"Saaana willy umenifanyia kitu kikubwa sana nashukuri mnoo"
Mbele yangu kulikuwa na keki kubwa ya ngazi mbili, gauni la pink lenye silver pembeni na saa ya silver, cheni ya silver na viatu pia rangi ya silver, aliniambia ameagiza kutoka france na kweli ukiangalia ni expensive alifanya kitu cha kipekee ambacho akuna aliyewahi kunifanyia.
"So what next/nini kinafata? Aliuliza jimmy.
" let us celebrate/tusherekehe"
"No no no invitee your family members, friends, classmates with you are neighbours am ready to prepare a bday party for you at any place(halika ndugu zako, marafiki, wanafunzi wenzako na majirani nipo tayari kukuandalia pati sehemu yeyote ile)
Aliongea willy kwa bashasha kubwa na kuonyesha kuwa ana pesa.
" willy we are too late ni mchana sasa hii tungeambia mapema" nilijitetea.
"Nooo waambie watakaokuja sawa nami nina friends nitawainvite pia" alijibu willy.
"Sawa jimmy asikose" nilisisitiza uwepo wa jimmy.
"Jimmy is around tuifanyie sinza hall na chakula na vinywaji nimeshaandaa sehemu tu ndo nilisubiri uamue ww" alizidi kunishangaza willy huyu.
"Jamani ulivyopanga ni hivyohivyo me sina cha kupinga"
***************
Kutimia saa mbili usiku nilipata fursa ya kutumiwa picha na rafiki yangu clere nasoma nae pia advance, ukumbi ulipendeza kwa harakaharaka ule ukumbi tu sio chini ya laki tatu, ujaweka wapambaji sio chini ya laki moja na nusu, bado vyakula inacost pia laki nnee au tatu na vinywaji kama laki mbili hivi. Ni jinsi gani willy alikuwa na pesa ya mchezo tu na ameweka historia maishani mwangu kwani sikuwahi kufanya sherehe ya kuzaliwa ukumbini zaidi ya vikeki kuliwa home tu basi.
Saa mbili na nusu niliingia ukumbini nikivaa yale mavazu aliyoninunulia aiseee nilikuwa kama queen kila mtu alishangaa maana pale tu nilivaa U$ 10000 full ni kiasi kikubwa sana kwa mavazi tu ila willy alifanya nathubutu kusema huyu jamaa anajua kucare.
Sikuamini kuona idadi ya watu vile nilikisia inaweza kuwa chini ya 20 au ikizidi 30 mwisho ila walikuwa watu karibia 80 au kuzidi sawa nilituma jumbe na kupiga simu ila salma nahisi alisaidia mno, maana wanasema sherehe ni watu.
Ulipofika muda wa zawadi nilitamani nipae tu maana nilipata zawadi hivyo vitenge, batiki, cheni, nguo za ndani na vinguo vya nje nilipata kwa wingi mwisho alikuja jimmy akiwa kabeba boksi kubwa kisha akalifungua na kuanza kunimwagia mtandio, saa, cheni mwisho akatoa simu ya iphone7 nilitamani kulia maana sikuwahi kufikiria kumiliki simu kama ile nilimkumbatia kwa muda mrefu kitu ambacho kilimfanya willy apate kawivu maana alinitazama alipotoka jimmy akaja yeye.
Nikawa nawaza atakuja na zawadi gani kushinda ya jimmy alipofika alicheza muziki kabla ya mziki kuzima.
"Mimi sina mengiiiii nasema hivi zawadi yangu hakuna atakayeifikia kama yupo aje hapa mbele tushindane" aliongea kwa jeuri ila kichwani tayari alikunywa pombe.
Nilimuona jimmy akija pale naye alikuwa kalewa hivyohivyo kikawa ni kituko marafiki hawa wawili walipokuwa wanabishana pale.
"Lipa kwanza zawadi zangu" alijidai jimmy.
"Hahaaaa jimy jimmy zawadi yenyewe iphone 7 mimi nampa gari zawadi yangu leo gari mama una gari aina gani?
Aliniuliza mimi willy
" natumia spacio new modern" nilijibu.
"Mimi nakupa harrier yangu ile kwanzia leo yako, kaka wewe unatoa nini kingine? Aliendelea na kiburi chake.
" aaaha kaka mimi nitapa chemba"
******************
BAADA YA SIKU MBILI.
Niliamkia shule ila asubuhi asubuhi willy alinipigia simu ya kunijulia hali maana muda huo ndio alikuwa anaingia kaxini
"Hiyo gari nitamtuma dereva akuletee vibali vyote tutaenda kubadilisha tra sawa?
* sawa kaxi njema"
"Nawe masomo mema usome sana etii" aliongeza willy
Nilinyanyuka kitandani nikiwaza huko shule itakuwaje maana hiyo jumamosi ilikuwa kufuru, ila sikujari sana wakati nipo kweny gari najaribu kuangalia maji ili nitoke nilisikia simu yangu inaita, niliacha ile kazi ili kusikiliza simu.
"Hey hallo nani? Niliuliza baada ya kuona namba ngeni
" mimi jimmy ni namba yangu ya airtel hii upo wapi emmy?
Aliuliza jimmy baada ya kujitambulisha
"Nipo home naelekea shule"
"Ukitoka shule uje kuna duka la nguo hapa nataka uje uangalie litakufaa nikupe liwe lako" aliongea kama utani
"Duka la nguo la nani?
" ni langu ila nataka nikupe wewe lipo sinza vartikani"
"Jamaniiiiiii kwanini unafanya hivi?
Niliuliza huku machozi yananilenga
" emmy mimi sipendi uongo nakupenda na nataka nikuoe naomba usikatae, mama mdogo yupo wapi?
Aliuliza
"Yupo anaishi temeke mikoroshini"
"Jamani mama akiyekulea anaishi huko mikoroshini na wewe unatembelea magari ya kifahari nyumba nzuri sio vizuri, mimi nataka nikupe nyumba uishi na mama"
Nilanguka palepale nikapoteza fahamu.
Salma alikuwa mtu wa kwanza kunikuta nikiwa chini nje ya gari yangu, alininyanyua akanifuta vumbi na kunitazama macho(kunyanyua kope) mithili ya daktari anampima mgonjwa mwenye malaria.
"Upo sawa? Aliniuliza salma
" yeah nipo sawa saa ngapi? Nilijibu swali kwa swali.
" nimejaribu kukupigia simu ipo hewani lakini uongei zaidi ya sauti ya redio(ndani ya gari)"
"Dah we acha tu simu yangu ni auto inajipokea muda mwingine ila tuyaache hayo unaelekea wapi now?
"Ninaenda karikoo kupeleka mzigo nilikuwa nataka nikuulize kwa mama suma supermarket nipeleke mzigo pia ndo naona uongei nikajua kuna tatizo"
"Ndio hivyo wangu nimepatwa na kizunguzungu cha ghafla nikaanguka nahisi ni uchovu maana nina siku ya tatu sijalala vizuri kama jana unaona tulikuwa na birthday party"
**********************
Mimi pale kituoni nilikuwa ni mwanafunzi wa kipekee sana hali iliyonifanya sio kuheshimika tu hata kupendwa na wengi licha ya kipato changu nilikuwa ni mtu wa kawaida sana, na hii yote imetokana na maisha niliyopitia huko nyuma, si walimu hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananipenda. Siku hiyo tulikuwa na presentation/kuwasilisha juu ya topic ya history2 "the emergence of USA as new capitalist super power" sisi tulichukua vipengele za mwanzo yani introduction/utangulizi wa mada, factors for rise of eropean capitalism and factors for demise/sababu za kukua kwa ubepari ulaya na kushindwa kwa ubepari kisha tukamalizia na factors for rise of USA as capitalist superpower.
Kundi langu lilikuwa ni kundi A ndio watu wa mwanzi kabisa, nilikuwa mimi, james, junior, sophia na ziada. Mimi nilijichagua kufanya introduction na kumaliza pia.
"Good aftrnoon class(za mchana darasa)" nilianza kwa kusalimia
"Afternoooooon emmy" waliitikia kwa nguvu kweli.
" infront of you am a leader of group A, we're going to discuss briefly about our main topic, are you ready?/mbele yenu ni kiongozi wa kundi A, tutaenda kuelezea kwa kifupi juu ya mada yetu kuu, mpo tayari? Niliuliza hivyo kwasababu kabla ujaelezea jambo lolote ni lazima ujui je watu unaongea nao wana usikivu juu ya unachotaka kuzungumza na kama jibu ni hapana kwa kufanya hivi unaweka tention yao ili kukusikiliza na ndio maana kwenye hadithi utasikia wanatumia maneno kama hadithi! Hadithi!, hapo lazima unategemea respond/majibu
"Yessssssss" walijibu wote.
"Initially USA was a British colony which got her independence in 4 july 1776 after 7 years battle/war with the British troops(kifupi USA lilikuwa ni koloni la mwingereza waliojipatia uhuru mwaka 4julai 1776 baada ya vita vya miaka saba7 dhidi ya jeshi la mwingereza) the USA regarded of 13states that got independence from great British and political joined to form US of america in 1787 who agricultural with industrial development in the north south after the american civil wars of 1861/65 usa entered the era of industrial development that enable them to compite with british in 20th Century (Us ilikuwa na Nchi 13 ambazo zilipata uhuru kutoka kwa mwingereza na baadae ziliungana na kuunda USA mnamo mwaka 1787 ambao walikuwa ni wakulima na wenye viwanda hii baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wakulima na wamiliki wa viwanda mwaka 1861/65 baada ya kuisha kwa vita hivyo USA iliweza kuingia katika maendeleo ya viwanda na kuiwezesha kushindana na mwingereza kwanzia karne ya 20"
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com