MUUZA UBUYU (12)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Baadae ziliungana na kuunda USA mnamo mwaka 1787 ambao walikuwa ni wakulima na wenye viwanda hii baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya wakulima na wamiliki wa viwanda mwaka 1861/65 baada ya kuisha kwa vita hivyo USA iliweza kuingia katika maendeleo ya viwanda na kuiwezesha kushindana na mwingereza kwanzia karne ya 20" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilipomaliza utangulizi niliona wanafunzi wakinipigia makofi "Hongera emmy kweli unasoma, haya wengine" alinipongeza mwalimu na hii yote hakufundisha ila mimi tu nilipenda kutumia vitabu mblimbali kuandaa notes. Baada ya mwalimu kutoka darasani wanafunzi wengi walinifata kuomba notes zangu wakaandike hivyo mmoja aliona vyema atumie ubaoni kuandika notes baada ya mwalimu kuzipitisha. ************* Nilikuwa mkimya mno nikisoma simulizi za mejah the plan boy ambaye mara nyingi uandika ktk page yake ya dimbwi la …