MUUZA UBUYU (14)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (14)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... "Samahani we mwanaume niache unachohitaji kingine kutoka kwangu ni nini? Wanawake siku zote ni dhaifu umetumia nafasi hiyo kunifanyia hivyo ulivyofanya nakuahidi sikuwahi na sitawahi kuwa na baba kama wewe ustahili kuwa baba na raana hii itakusumbua maisha yako yote mpaka unakufa" niliongea maneno kwa uchungu nikatoka chumbani. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Baada ya muda mama nae akaingia nikiwa chumbani najiangalia kweli sina bikra tena, kweli jose ataniamini mimi? "Fatumaaaaa nileteee maji mwanangu"/sauti ya mama ilinishtua nilivaa nguo yangu ya ndani haraka nikatoka ila nilisikia maumivu mno kiunoni na sehemu za siri. (Simulizi ya fatuma au mama bakari ). Nilipita hadi jikoni nikachota maji na kumletea na kujitia ujasiri ili mama asifahamu chochote ila aliponitqzama akajawa hofu. "Upo sawa wewe? Aliuliza mama " nipo mama" nilijibu kwa hofu …