MUUZA UBUYU (14)

0
Mwandishi: Micky Mejah

SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
"Samahani we mwanaume niache unachohitaji kingine kutoka kwangu ni nini? Wanawake siku zote ni dhaifu umetumia nafasi hiyo kunifanyia hivyo ulivyofanya nakuahidi sikuwahi na sitawahi kuwa na baba kama wewe ustahili kuwa baba na raana hii itakusumbua maisha yako yote mpaka unakufa" niliongea maneno kwa uchungu nikatoka chumbani.

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Baada ya muda mama nae akaingia nikiwa chumbani najiangalia kweli sina bikra tena, kweli jose ataniamini mimi? "Fatumaaaaa nileteee maji mwanangu"/sauti ya mama ilinishtua nilivaa nguo yangu ya ndani haraka nikatoka ila nilisikia maumivu mno kiunoni na sehemu za siri.

(Simulizi ya fatuma au mama bakari).

Nilipita hadi jikoni nikachota maji na kumletea na kujitia ujasiri ili mama asifahamu chochote ila aliponitqzama akajawa hofu.

"Upo sawa wewe? Aliuliza mama

" nipo mama" nilijibu kwa hofu

"Upo ndio nakuona ila mmeshindaje?

" mama salama vipi hospitali?
Aliamua kutaka kupotezea mada
*********

Salum alikuwa rafiki mzuri wa jose sema salum akubahatika kufaulu kwenda form five na six yeye alikuwa ni fundi kinyonzi siku zilisonga alitambulishwa kwangu kama shemeji hivyo nilimumpenda pia kwani alikuwa ni mshechi mno na alipnda utani hamna mfano.

Mara zote salum alikuwa akiasha kazi yke ya kunyoa na kuja kunisaidia jioni kule mnadani uwepo wake pale hata faida niliiona maana sikudhurumiwa tena kama hapo awali.
Niliishi nae na nilimfanya mtu ambaye mwenye kunipa furaha shemeji yangu huyu, alikuwa na sifa nyingi sana za kuwa rafiki nikajikuta zile shida za kuingiliwa na baba yangu nikawa nazisahau taratibu.

Kuna siku nilikuwa nakaribia period(menustration cycle) ambayo muda wowote kwanzia hapo ningeingia nakumbuka ilikuwa ni asubuhi nyingine tena ya pilika kwa upande wangu, mama angalau matunda yake ya kwenda hospitali yalianza kuonekana kwa miguu ilipungua mno na kuwa kama awali kwangu ilikuwa ni furaha sana kwani uzima wake kwangu ni faraja kubwa.
Wakati naandaa biashara yeye alikuwa anaenda hospitali, kama kawaida yake mzee alishazoea kunifanyia ukatili alifanya hata siku hiyo bila ridhaaa yangu akanikaba na kuanza kuniingilia niliumia mno maana tarehe ile ilikuwa ni mbaya. Alipomaliza kuejaculate/kukojoa akanyanyua na kufunga taulo lake hapo ndipo mama akaingia na kutukuta pale chini sakafuni.

"Baba fatu naomba kadi yangu nilihisahau, fatuma mmeanza lini mchezo huu na baba yako? Aliongea mama huku anatoa machozi

Sikuweza kujibu zaidi ya huyo mmewe akijibaraguza
" fatu piga deki na huko uvunguni"

"Fatuma mwanangu asante mama baba fatu hiyo laana itakutesa maishani mwako mwote" alirudia maneno ambayo niliwahi kuyasema kwake ghafla tulisikia kishindo kikubwa kutazama mbele alikuwa ni mama ameanguka huku damu zikimtoka.
*************

Usione mtu analia ujui ni nini kilichopo moyoni mwake au ana uchungu kiasi gani ila mimi fatuma(mama bakari) nilimchukia mno baba yangu kama nimchukiavyo shetani kwani mpk hapo nilishampoteza mama yangu ambaye ndiye faraja yangu, ndiye kiongozi wangu na ndiye aliyekuwa mfariji wangu kamwe sitamsamehe baba.

Niliishi peke yangu baada ya baba kukimbia hata kwenye mazishi ya mama akuwepo, ilikuwa ni huzuni kwangu ila bado sikupoteza nguvu ya kutafuta maisha. Nilikaa mwezi mmoja ndipo nilipoanza kujihisi hali yangu tofauti maana nilikuwa mchovu na nilikuwa nakichefuchefu "mungu wangu isije ikawa mimba nitaficha wapi sura yangu" nilijisemea moyoni nikijitazama kwenye kioo wakati najaribu kufumua nywele zangu ili Ramla(mpenzi wa salum) aje kunisuka.

Nilijitahidi kuonyesha furaha usoni mwangu ila moyo wangu ulijaa uchungu sana hata wakati Ramla akiendelea kunisuka yeye ndiye alikuwa muongeaji zaidi mimi nikiitikia tu. Nilifikiria ni nani nitakayemshirikisha hili jambo mana nilizidi kuteseka nalo.
Tukiwa pale alikuja jose mpenzi wangu akunisalimu alimuita Ramla pembeni takribani dakika kumi walikuwa huko mpka mimi nikaanza kusinzia, nilishtuka Ramla aliponikanyaga.

"Vipi shoga" niliongea

"Achana na mimi mnafki mkubwa wewe wa kutembea na salum? Fyooooo na utaama kijiji hiki nakwambia ushoga mimi na wewe basi"
Aliongea maneno ambayo sikumuelewa

"Umepatwa na nini Ramla"

"Nakwambia sitaki ushoga na wewe kama vipi kila mtu na 50 zake" aliongea na kuondoka.
***************

Maisha yangu yalizidi kuwa magumu maana hata marafiki nao walianza kunitenga nakumbuka siku hiyo jioni nikiwa napita kwenda sokoni nilishangaa navutwa mkono kuangalia vizuri alikuwa ni salum.

"Fatuma vipi" aliongea kwa kuhema mno

"Pouwa niambie mbona unahema hivyo?

" fatuma mambo si mambo umeyasikia ya kuyasikia? Aliongea salum bado sikupata picha.

"Hapana sijasikia"

"Nimetoka kuonana na rafiki yako Ramla muda punde tu hapa anadai mimi na wewe ni wapenzi na anachosema tuachane ila laxima atalipa kisasi"

"Kheeeee salum huo upenzi umeanza lini jamani? Nilihoji kwa mshangao

" we acha hapa namtafuta jose nijue mstakabali unakuwaje"

Niliashana na salum nikaenda zangu kununua bidhaa soko wakati narudi nilimkuta jose na Ramla wakipeana romance nje yq nyumba yetu nilichoka nikakaa chini sikuamini jose anaweza kunifanyia vile, walinitazama wakaniacha na kuondoka zao huku ramla akisema kwa kejeri "chefuuuuuu na bado utazimia"

Matatizo yaliniandama mno nakumbuka siku ya pili yake usiku nikiwa nimelala jose alikuja na kugonga nikamfungulia kumbe alikuwa na rafiki zake wawili waliingia ndani kwa vurugu wakanibaka kwa zamu na kisha kunikejeri *bikra utakuwa wewe bwana"
Nililia mno hapo ndipo nilipata wazo la kuondoka pale handeni niende dar
*************

Nilianza safari ya kuja dar kwa shangazi yangu anayeishi mbezi kimara baada ya kuona hali ya kijijini kule ni mbaya dar sikuwa mgeni kwa mara kadhaq nilikuwa naenda na kurudi tanga hivyo nilipafahamu japo sio sana.

Mimba yangu ilikuwa bado ya miezi miwili na unene wangu isingekuwa rahisi kunijua hata shangazi hakujua pia. Nilijua pale nitapata furaha angalau nipate mwangaza wa kupata kazi ya kuweza kujikwamua kimaisha ila hata kabla ayo kutimia likaibuka jingine mume wa shangazi yangu akaanza kunitongoza.


nilimshangaa sana mjomba kunitongoza mimi na huku mke wake(shangazi) alikuwa na sifa kedekede kunizidi hata mimi, ila siku zote wanaume ni watu wa tamaa unaweza kumpa wanawake hata mia wazuri ukamwambia chagua mmoja mzuri akamchagua na bado hatajilaumu kupoteza wale 99 waliobaki. Nilikuwa nampiga chenga kila siku japo nilitumia indirect/mkato maana nilichohitaji ni kulizoea jiji la dsm kisha nipate fursa ya kuondoka pale nikaanze kazi.

"Fatumaaaaaaa" aliita shangazi walikuwa ndio wanarudi kutoka mihangaikoni.

"Abeeeeee shangazi".

" kuna nafasi za jeshi zimejitokeza nikuchukulie fomu ujaze?

"Aaaha shangazi asante lakini" nilikatishwa..

"Lakini tena nafasi haiji mara mbili shanhazi" alidakia mjomba haraka.

"Ila nina tatizo shangazi" ilibidi niweke bayana.

"Tatizo! Tatizo lipi? Kama utaki jeshi wee nenda kapike shaurilo mwenyewe umeridhika na kuwa house maid/dada wa kazi" aliongea shangazi

Siku ile ilipita nikimtafakari mjomba na kikubwa tabia yake ya kupnda kuja jikoni kunishikashika ipo siku dawa yake itachemka. Kama zali nampanga hivyo nae huyu sijui katoroka kaxini namuona mapeema mchana amekuja akanikuta natoka jikoni napanga vyombo kabatini, alinishika makalio yangu.

"Naomba niache mjomba sitaki"

"Aaha mjomba nini sasa kwani kuna ubaya kukushika mjomba wangu" alijitetea mjomba kwa kuchekacheka uku anaendelea kuperuzi mwilini mwangu.

"Naomba niache sitaki ushike mwili wangu wew mwanaume vipi uoni aya khaa uridhiki na mkeo" nilijaribu kufoka sio kitoto tu.

"Utataka tu leo mbona namba badala ya kuisoma utaiandika"

Alinishika kimabavu kwakuwa alikuwa na nguvu nyingi kutokana na kuhudhuria gym aliweza kunilaza chini akanijia juu na kunilazimisha aninyonye maziwa kitendo ambacho sikutaka watambue kama nina ujauzito ila alinitoa kanga ya juu alifanikiwa kuona tumbo langu.

"Una mimba fatuma" alikuwa km mtu asiyeamini

"Kama uonavyo" nilijibu kwa mkato.

Alisimama akanitazama akaniuliza tena "huo ujeuri hautakusaidia, unamjua aliyekupa mimba?
Aliuliza ili kunivuta mimi kipindi hicho bado nina hasira zangu.

" hayakuhusu fanya kinachokuhusu fyooooooo" nilim...

Nilishtuka kibao cha nguvu nikaanguka chini nilishangaa mjomba anakuja juu na kunivua nguo kisha akaanza kuniingilia kimaumbile sikuwa na hisia kwa siku hiyo alitumia virainishi akaweka ili kutimiza adma yake mpka mwisho akanibusi na kunifuta manii yake kiukweli yalikuwa mengi mno.

"Nisisikie kwa shangazi yako ole wako" alinipa vitisho mjomba.

Nilikaa kimya km mtu alitengwa nisijue nini cha kufanya nilimuomba mungu anifanyie wepesi ili nisije nikadharirika mjini hapa na sikuwa na pa kwenda zaidi ni pale nilipofikia
****************

Nilifukuzwa kama mbwa na mjomba na shangazi siku hiyo nakumbuka ule mfuko niliokuja nao niliondoka nao pia sikuwa na cha maana cha kubaki mjini. Nilipanda gari nakumbuka liliandika ubungo tandika nilkuwa na kiasi cha pesa cha kutokea kijijini, nilishuka sehemu inaitwa sokota ilikuwa ni kwa haraka sana. "Mmmh mimi sasa nitaenda wapi muda huu? Nilizidi kusaga na njia na kile kijua cha dsm kilivyo kikali nilipumzika kwenye vile vibenchi vya stend nikikumbuka uko nilipotoka machozi yalianza kunitoka maisha yangu yalifunguliwa kurasa mpya ya matatizo.

Walipita watu wengi sana nikiwa pale ghafla nilisikia naitwa " kheeee nani huyo anayenijua huku?

Nilikuwa usingizini niliponyanyua macho kutazama sikuamini macho yangu alikuwa salum nakumbuka mara ya mwisho tuliachana bila kule kijijini na tuhuma nyingi eti sisi ni wapenzi nikaamua iu nije mjini.

"Mimi naishi hapo mbele nimepanga" aliongea salum

"Dah aya sawa salum tupo tunaangaika"

"Wewe unaishi wapi? Aliniuliza salum

" mimi niishi wapi naranda na njia hapa na tumbo langu"

"Mungu wangu fatuma tuondoke tutajua mbele ya safari"

Nilimtazama salum ule moyo wake nikainama chini nikaangalia fedha niliyoifunga kwenye kanga sikuona hata kanga nikalia sana mpaka raia walikuwa wanashangaa
"Ningefanyaje salumu kama usingekuwepo???

(Emmy na mama bakari/fatuma)

Nilijihisi kuumia mno kutokana na ile simulizi ya mama bakari nilikuwa sijui kama anaitwa fatuma nimemzoea kwa jina hilo la mama bakari nilimshika mkono huku machozi yakinitoka kama mtoto.

"Emmy uwezi amini mwisho mwa mwaka jana nilikutana na baba yangu nikamtamkia kumsamehe kabisa akamuona mtoto wake(bakari) ila baada ya miezi miwili alifariki" aliongea mama bakari uku analia ikabidi nianze kumbembeleza.

"Nyamaza dada pole mungu atakusaidia usilie"

"Emmy usije ukagombana na ndugu yako kisa mwanaume mimi huyu baba bakari huyu siye mwanae ni mtoto niliyezaa na baba yangu mzazi na sijawahi kuona ajimnyanyasa wala kumtenga hata nilipomzaa halima(mdogo wa bakari) bado ameonyesha upendo kwao wote"

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)