MUUZA UBUYU (2)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (2)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... "Unaitwa nani dada? " Emmy " "Anhaa ni muda nipo hapa nakuona unazunguka unatafuta kazi je una fani gani au elimu ya level ipi? NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Mmh kaka yangu mimi nimeishia darasa la saba ni haki ngumu ya maisha ndio imepelekea kutafuta kazi" "Mmh una miaka mingapi? " miaka 16 sasa" "Kheee kwa mwili huo miaka 16 me nilijua 19 au 20" Kwa hili sikushangaa maana mimi kiukweli nina mwili mkubwa hata nilipokuwa shule nilikuwa napata shida maana walimu walikuwa wananisumbua kutoka na umbo langu kubwa na shepu niliyokuwa nayo, Kadr nilivyozidi kuongea na yule mkaka nilipata matumain ya kupata kazi maana kila nilipokuwa pale nilikuwa naona watu wakipita wanamuita boss na kuna wengine walikuwa wanakuja kuulizia mambo ya kazi hiyo kwangu ilikuwa afuheni. Ila kabla hatujamaliza maongezi kuna mtu alikuja kumuita. " ngoja nik…