MUUZA UBUYU (5)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (5)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... "Sikujua kama unayajua yote ayo lakini emmy tungefanyaje uku kazi nimesimamishwa kule kwa Ryidia najishikiza tu saa nyingine natoka bila chochote zaidi ya nauli ningefanyaje emmy? "Hata km hali ya maisha ni ngumu ndo uuze mwili wako" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Emmy usimtukane mamba kabla ujavuka mto" "Una maana gani? Ukimya ulitawala ghafla na hata swali lile alikupata majibu nilianza kulidadavua kwa kina " mmh usimtukane mamba eeh, ina maana hata elibariki anisaidii bure ndo yale yale payback" tayari nilipata jibu, niliwaza sana na kukumbuka kipindi mama akiwa hai aliwahi kusema kitu nakumbuka nilikuwa mdogo kipindi hicho ila bado nina kumbukumbu. "Jamani wanaume mnaowaona sio watu wa kuwategemea kwasababu wana sura nyingi, mwanaume anaweza akakwambia ukweli au akakudanganya ila silaha yao kubwa ni uongo ni hili kukupata wewe mwanamk…