MUUZA UBUYU (7)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (7)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Kwa kipindi kile chote watu wote walishajua juu ya mahusiano yangu na sam sio km zamani nilikuwa naingia kwa kujificha. ********************* "Unawaza nini emmy? Sam aliniuliza wakati tunakula NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Sam unajua kwa kiasi kikubwa nilikuwa namtegemea elly economically kwa sasa ndio nimeingia advance(form five&six per one year) kule wanahitaji ada na mambo ya chakula pia plus nauli bby kichwa kinaniuma" niliongea uku machozi yakinitoka. "Baby sorry najua ni jinsi gani unajisikia nakuomba usiumie nipo kwa ajiri yako wiki hii nitapata mkopo na pia najiandaa kwenda field nitakuwa na hela kiasi nadhan itakufaa kujisukuma siku mbili tatu hizi tukifanya mpango wa muda mrefu, sawa baby? Aliongea uku amenikumbatia na kunifuta machozi yangu. " sawa bby nashukuru kwa kunifariji maana kichwa kinaniuma nataka ndoto zangu zitimie bby ila najua mapi…