MUUZA UBUYU (9)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (9)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Nilimshangaa maana si kwa kujibaraguza kule ila sikuwa na time nae nilimkatalia tu. Na kumbuka hapo nilikuwa nafikiria nimpate mtu wa kuishi nae kijichi anisaidie hata usafi maana nyumba ni kubwa mno na nipo alone(mpweke) nilipoona zile dalili za salma niliogopa kumsogeza karibu na nyumbani kabisa. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... TURUDI KWENYE UHALISIA (OFISINI KWA WILLIAM NA JIMMY).. "Kumbe ndivyo ilivyokuwa? Willy unaona this is the game for real willy (willy huu ni mchezo kabisa)" Alihamaki Jimmy "Yeah ila kuna vitu vya kunote pia, sasa unasema mtu wa mwisho kuwasiliana nae alikuwa ni salma? Aliuliza william " ndio" "Na mpenzi wako huyo mwingine(, elibariki ) uliachana nae muda gani? Aliendelea kuuliza willy " kwakuwa ilikuwa ni jioni na mimi na elibariki muda mwingi tulikuwa close aliniambia ndani ya siku mbili hizi atakuwa busy kuna mambo anafatilia i…