PENZI LA DADA (4)

Zephiline F Ezekiel
PENZI LA DADA (4)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Basi tukaamua kushuka ili kutembea kurudi hotelini kwani tulichokua tuanataka kwenda kukiangalia kisingewezekana tena kukiona. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Wakati tupo njiani Coleen akasema anaona itakua vizuri kama kila mtu akitembea peke yake kuzunguka mji tukutane hotelini usiku sikutaka kumbishia. basi kila mtu akaenda upande wake uzunguka mitaa mbalimbali hadi majira ya saa 1 usiku nikaamua kurudi hotelini kutokana na kutembeea mda mrefu nikawa nimebanwa na mkojo ikawa nawahi kutembea kuingia hotelini ili niende nikapunguze oil chafu iliyokua inanisumbua basi kufika chumba tulichokua tumepanga kilikua giza ila ckujali nikijua labda Coleen atakua bado hajarudi nikaingia moja kwa moja kuelekea chooni huku navua suruali ili niwahi ile nafungua mlango nikakutana uso kwa uso na Coleen akiwa hana hata nguo amejilaza ktk sehemu ya kuogea baada ya kumuona tu pale pale muhogo wangu ukasimama huku uki…