PENZI LA DADA (7)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Wakati mwingine nijisemealakini ni shetani tu ananitabia majaribuni na upande mwingine ulinifanya nijihisi shujaa kwani nilizidi kufaidi kua karibu na Coleen na kuenjoy sehem za mwili wa Coleen NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Baada ya kutoka nikaenda kukaa kitandani huku nikiwa na mawazo, haDI saa 10 alfajiri ikawadia nikaamua kufumba macho tu hata kama usingizi haupandi lakini baada ya saa nzima ikafika saa 11 alfajiri!!!! nikaamua kuanza kujiandaa ili niende ofisini nisije kuonana na Coleen baada ya kujiandaa na kumaliza nikaanza safari ya kuondoka kuelekea ofisini ingawa ofisini nilitakiwa nifike saa 2 wakati nipo njiani ghafla nikashtuka! haaaah!!! nimesahau chupa ya yale mafuta ya ky jelly chumbani kwa Coleen baada ya kuonana na Coleen uso kwa uso lilikua pigo tosha na swali aliloniongezea likawa limeongoza limeongeza pigo maradufu nilihisi kama napigwa na bakora mwilini nikabaki nimeduwaa!!!!…