UTAMU WA JIRANI (7)
JINA: UTAMU WA JIRANI Mwandishi: Dismas Godfrey SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Niliinama na kuchukua bukta yangu kisha nikaanza kuiweka mwilini mwangu huku nikimpongeza kasuku wangu kwa kutoa dozi iliyokuwa inamchanganya kila mwanamke anaekutana na mjeredi huo baada ya kumaliza kuvaa bukta ile ndipo nilipokumbuka kuwa sikutia chochote tumboni mwangu nikatupa macho yangu ukutani ili kujua ni saa ngapi nikabaki nimeduwaa baada ya kutambua mda huo ni saa nne usiku . NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Njaa iliyokuwa inaanza mashambulizi taratibu mda huo ilizidisha mashambulizi yake tumboni na kunilazimu nitoke pale chumbani kwa haraka niende kutafuta chakula japo nilijua mda huo sehemu nyingi za kuuza vyakula zitakuwa zimefungwa lakini kutokana na njaa ile ikanibidi nishike njia kutafuta chakula japo mda ulikuwa umeenda sana nikaanza kutembea kwa harakaharaka nikielekea kwenye mgahawa mmoja ambao unachelewa sana kufungwa na ndipo nilipoweka oda mchana japo sikwe…