UTAMU WA MCHEZO (13)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... "Dogo mbona msumbufu? Sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kutekeleza na kusimamia sheria , kazi ya kutunga sheria ni ya bunge na kutoa hukumu ni ya mahakama sisi ni watu wa katkati tu" alijibu kidogo akanipa mwanya wa kumuuliza tena swali. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Kwanini wati wanakuwa tortured(wanateswa) hasa wakifika kwenu)? " dogo hakuna mtu anayeteswa hila ushirikiano wako ndiio utakusaidia kuepuka adhabu sema kweli utaokoka na adhabu" alijibu "Hii yote ni kwasababu watanzania wengi awajui sheria ila mnafanya vitendo vya ukatili mno na mnavunja haki za binadamu" nilitoa hisia zangu wazi "Dogo chunga kauli yako, nakuonea huruma kwasababu wewe nimtoto angekuwa mtu mzima mida ingebadilika, sasa nikikwambia utolee ushahidi wa hilo unaloongea na sheria inayovunjwa utatoa? (Kimya)" alitazama kulia ns kushoto kisha akan…