UTAMU WA MCHEZO (13)

0
Mwandishi: Micky Mejah

SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA...
"Dogo mbona msumbufu? Sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kutekeleza na kusimamia sheria , kazi ya kutunga sheria ni ya bunge na kutoa hukumu ni ya mahakama sisi ni watu wa katkati tu" alijibu kidogo akanipa mwanya wa kumuuliza tena swali.

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
"Kwanini wati wanakuwa tortured(wanateswa) hasa wakifika kwenu)?

" dogo hakuna mtu anayeteswa hila ushirikiano wako ndiio utakusaidia kuepuka adhabu sema kweli utaokoka na adhabu" alijibu

"Hii yote ni kwasababu watanzania wengi awajui sheria ila mnafanya vitendo vya ukatili mno na mnavunja haki za binadamu" nilitoa hisia zangu wazi

"Dogo chunga kauli yako, nakuonea huruma kwasababu wewe nimtoto angekuwa mtu mzima mida ingebadilika, sasa nikikwambia utolee ushahidi wa hilo unaloongea na sheria inayovunjwa utatoa? (Kimya)" alitazama kulia ns kushoto kisha akanibwenga konzi takatifu nilihisi kama nyundo imetua kichwani mpaka misuli ya shingo iliregea ghafla kwa ile dozi.
Wakati nipo pale simu yangu ikaita nilikuwa naanza kupata usingizi kutokana na kukaa muda mrefu bila kuongea.

"Nyie mpo wapi hapa nyumbani hamna mtu na mama yako yupo njiani nampigia clementina hapokei simu upo wapi? Alifoka mzee tu punde nilipopokea simu hata salam hakutoa.

" amana hospital"
Nilimjibu kwa kifupi

"Unaumwa?
Alipoa na kuniuliza

" hapana dada clementina ndiye anaumwa na sasa hivi yupo icu"
*************

"Nooo clement wa kufanya hivi kweli mtoto niliyemzaa" alifoka pale hospitali na mpaka muda huo hatukapata taarifa ya kueleweka kutoka kwa daktari.

"Mzee punguza sauti" aliongea askari

"Ebu niache wewe mtoto anauma wewe" aljibu uku analia

Sikutaka kushangaa sana maana baba anampenda sana sana clementina siku zote ndiye mtoto wa pekee anbaye akutaka akasome nje na nyumbani ila mimi au clement hata marekani atatupeleka. Na muda huohuo mama nae alikuja maskini alikuwa amechoka mno na ndio alikuwa ametoka safarini.

"Mama clementina kwanzia leo clement sio mwanangu" aliongea tena kwa jazba.

"Mtoto ni mtoto tu kwani kafanyaje? Aihoji mama

" kambaka dada yake clementina"
Aliropoka mzee huyu

"Kheeeee nini huyu clement"
Alishuku mama

"Nampa radhi km mimi nitamsamehe clement basi nitakaa uchi barabarani siku nzima" aliendelea kumchanganya mama nikaingilia kati

" kwani wewe na clement mna tofauti gani? Maji ufata mkondo na kama ukiamua kukaa uchi akuna atakayeshangaa maana watajua umerukwa na akili"

Palepale mama aliaanguka chini na kupoteza fahamu kabisa ila alivyoanguka sijui kama uzima utakuwepo tena. Eeh mungu msaidie mama yangu..



Nilipatwa na bumbuwazi la ghafla nikamtazama mzee bp nayo ipo juu bro security alikuwa tayari karudi nyumbani nikakimbia kurudi chumba cha wauguzi nikiwa kama chizi "nisaidien jamani nisaidie wazazi wang" niliongea na kutoka kurudi nilipokuwa mwanzo ambapo wazee walikuwepo hali ilikuwa tete mno mama fahamu hazikuwepo, mzee naye aliegemea kiti tu.

Taratibu za first aid/huduma ya kwanza ilianza chapchap sasa hapo nilitoa usharo pembeni nikawa naangaika huku mara kule furaha yangu ilikuwa ni kuiona familia yangu ikirudi ktk hali yake tena japo haikuwa rahisi maana mpaka wakati huo sikujua hali ya dada clementina maana tayari alikuwa icu baada ya kunywa dawa ya kusafishia vidonda na kuchanganya na nyingine za aina tofauti, mama na baba pia toka wameanguka sikupata fursa ya kuwaona kwa muda huo wa dakika 30 zilizopita, nafsi ilinisuta kwani nami ni sehemu wa kupelekea matatizo kutokea. Nilijiinamia huku chozi likinitoka kwani nilimkumbuka na kaka clement ambaye labda angetusaidia kwa wakati huu ila sasa yeye ni chanzo kikubwa cha aya kutokea naye kakimbia kaniachia majanga.

Simu yangu ya mkononi iliita takribani mara nne ila ya tano ndio niliyopokea niliona namba ya rafiki yangu george nilikaa kumsikiliza.

"Clifford hongera mwanangu umeongoza tahossa chemistry, bios na mathematics na over-all umekuwa wa kwanza" aliongea kwa furaha sana george

"Asnte kaka nashukuru kwa taarifa"

"Nasikia umezawadiwa vitabu za science, dictionary na mwaka wa form four mzee shabani robert atakulipia ada na mliongia tano bora mtatembelea mbuga ya wanyama mtakayopenda kwa siku tatu" alizidi kuongea george.

"Daah mungu ambariki sana" niliongea kumridhisha tu ila ckuwa excited/msisimko na aliyokuwa anazungumza"

"Kaka polen sikia kaka yako anatafutwa na polisini leo nimeliona kwenye gazeti jina lake anatafutwa na jeshi la polisi na hat redioni pia wametangaza, kumbe ndo maana haunaamani??"

"We njoo tu amana hospital tuongee"
***********************

CLEMENT..
Niliingia mtaani nikaanza kutafuta wenyeji wanionyeshe boda niingie msumbiji ili nifike maputo maana rafiki zangu niliosoma nao advance meta high school wengi wanaishi hapo. Nilishangaa kitu kimoja kila nikipita mtaan watu wananishangaa kama ni mtu maarufu au kuna kinachoendelea ila nilipotezea nikaendelea kusaga na njia mtaani. Kwakuwa nilikuwa na kiasi kidogo chw pesa nikapata geust nikaingia angalau nioge sikuoga siku tatu..

Nikiwa chooni nilisikia hodi nikawza mengi pale reception nimemalizana nao ni nani hao au polis, sikupoteza muda wakatimlango unagongwa nikajiandaa ili nipitie dalini na kweli nilifanikiwa nikatoka kupitia chumba cha jirani kwani hapakuwa na silingi board, mteja w kile guest alikuwa ni mwanaume na mwanamke (alikuwa uchi kitandani wakati bwana wake anaoga") nilimtaka anipe wigi na dela akatoa baibui yake akanipa maana alikuwa nayo yote yani dela na baibui kwa hand beg. Sikutaka niwaharibie nilimpa kiasi kidgo cha fedha kwa usumbufu nikatoka nje watu walijaa kweny chumba nilichokuwa wakipasua mlango mimi nilirudishia mlango nikatka.

Dada reception aliniuliza "dada unatoka?" Nilimjibu kw ishara ya kuzungusha kidole(ikimaanish nipo around). Nilitoka kwa spidi sasa nilivuka barabara bila kuangalia magari liikuja noah ikanivamia na kunirusha huko mtaroni.
***********
BAADA YA MWEZI KUPITA.

Hali ya maisha ilikuwa ngumu mno dada alijaharibia kizazi kumbe alitoa mimba kwa madawa makali hivyo hatoweza kuvaa kabisa, mama nae alipararazi bega la kushoto mpk mguu wa kushoto nililia sana maana hata baba tayari alikuwa ni mtu wa msongo wa mawzo anaweza kukutuma maji ukamletea akakuuliza haya ya nini mimi?(menta infinity).

Hakuna siku ambayo sitakuja kuisahau kama siku ya jumamosi mei ambapo nilikuwa natoka moi kumpelekea mama chakula ikapigwa simu na shangazi ummy anaishi moshi yeye alimpigia baba wakaongea hakujua ni nini kinaendelea ila nilimuona baba akikaa kimya asimjibu lolote nikachukua simu na kuweka sikiooni "mwili utaingia leo nadhani jioni kwahiyo tumeonelea kaka msiba tuufanyie huku tu moshi" mapigo ya moyo yalienda kasi kaka yangu clement sitaki kuamini nilikuja kuona mfululizo wa simu zinaingia kwanguu baada kuzima ile ya mzee ambaye naye presha ilipata mno. Nilitumiwa jumbe nyingi za pole wakati mimi tu sikujua au uhakika wa jambo nikajipa ujasiri kikaingia whatsapp group ya maschool mates nikaanza kupitia consetvations nikaona videos moja kati ya hizo ilikuwa inaonyesha mwili wa kaka ulivyotolewa mtaroni akiwa amevaa wigi na baibui wengi wakisikika wakisema

"Masikin dada wa wati alikuwa anavuka barabara" Alisema mmoja.

"Kheee kumbe ni mwanaume itakuwa ni jambazi katoka kuiba" alidakiwa wa pili mwanaume.

Nilitokwa na machozi baada ya kuona comments za rip clement, wakinipa pole mm pia.



Nilikuwa kimya nikiitazama feni inavyozunguka mawazo yakanipeleka mbali sana nikakumbuka kipindi kile kama familia tunaishi kwa amani hakuna matatizo tulifanya vizuri hata kimasomo na afya zetu zilikuwa njema kwa siku nyingi sikuwahi kuona mzee bloody pressure ikipanda, namkumbuka marehemu mama mdogo rose naye alikuwa ni miongoni mwa watu walioleta furaha kweny familia leo hii ile hali haipo tena baada ya kuisha kwa msiba wa kaka clement kuna mtu alinifata na kunipa namba yake kuwa nimtafute baada ya..

Sikulitilia maanani hilo maanani maana hali za wazazi wangu zilikuwa mbaya mno dadie ilifikia stage aliwekewa mipira ya kupumulia, mama nae alikuwa kitandani wiki ya nne sasa sijui ni kipi kitaendelea nikitazama dada clementina ameisha si yule ninayemjua na kibaya zaidi ajakubaliana na hali hiyo anataka hata kujiua kwasababu ya jambo ambalo tayari limeshafanyika na uwezi kulibadilisha. Clementina ni mpenzi mkubwa wa movie za serias siku hiyo nilitoka mjini nikapitia movie shop nikachukua movie ya nikita, destiny to love you na katuni ya kirikou ili tu nitakapofika home nikiweka itaondoa stress zake.

"Shikamoo, vipi umeshindaje?

" marahaba, salama tu" aliitikia dada cleme

"Vipi upo sawa?

" yeah nipo sawa vipi uko utokapo? Aliuliza dada

"Salama tu nimekuletea movie hizo hapo me nakuja naenda kuoga, vipi shangazi yupo ndani? Niliuliza shangazi maana yeye alikuja pale baada ya ile hali ya msiba na ule ugonjwa isingekuwa njema tukabaki pekee nyumbani.

" yupo jikoni nadhani anapika"

Niliienda mpka jikoni nikamsalimia kabla ya kuingia chumbani kwangu, nilipofika kitandani nikakuta daily mbele yangu imeandikwa kwa ndani Comrade Clement Michael mzumbe university, Law. Roho iliniuma mno machozi yalinitoka nikakumbuka jinsi nilivyokuwa nashindwa masomo ya arts kama histry alikuwa akinifundisha na kunipa mbinu za kufahuru hayo masomo maana mimi nilitilia sana mkazo masomo ya science yeye ndiye aliyebadilisha mindset yangu juu ya masomo haya.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)