UTAMU WA MCHEZO (14)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Roho iliniuma mno machozi yalinitoka nikakumbuka jinsi nilivyokuwa nashindwa masomo ya arts kama histry alikuwa akinifundisha na kunipa mbinu za kufahuru hayo masomo maana mimi nilitilia sana mkazo masomo ya science yeye ndiye aliyebadilisha mindset yangu juu ya masomo haya. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Haikuwa kazi rahisi kusahau wema wake kwa familia na ushauri wake pia japo ametenda kwa ubaya mwishoni mwa maisha yake ila bado ni icon yangu the first born . Nilikumbuka vitabu vyake alivyonipa nikavikusanya vyote na madaftari yake "kupitia haya nitatimiza ndoto zangu promise you brother i will never let you down(nakuahidi kaka sitakuangusha)" nilibeba yale yote nikamuonyeshe dada clementina nilipofika pale sikumkuta mtu zaidi zile cd zilikuwa pale mezani "Shangaziiiiiiiiiiii" niliita kwa nguvu nikiogopa uenda dada katoroka "Abeeeeeeeee mwana we…