MY SECRET DIARY (1)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (1)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA KWANZA Nilichoka na maisha ya shule hasa baada ya kukaa muda wa miaka minne tena kulikuwa kama jera sikuwahi kutoka nje mpaka hapo nilipomaliza na kurejea nyumbani. Nilipitia stationary kununua diary kwa lengo la kuitumia kwa kuandikia nyimbo zangu kwani nilitamani kushiriki mashndano ya bongo starsearch . Nilifika home na kukuta mambo yamebadilika sana kwani maisha yalikuwa mazuri tofauti na kipindi kile baba alikuwa na pesa na waliajiri wafanyakazi wawili, mmoja alikuwa ni msichana wa kazi na mkaka wa garden na mazingira yote ya nje. Niliishi pale ndani kama king kutwa nacheza pc game na kuangalia tv maana hapakuwa na kazi ya kufanya hadi nguo nilikuwa nafuliwa. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU Baada ya mwezi mzima kupita nilianza kuona vituko mule ndani na kukumbuka diary yangu mpya nikaichukua na kuandika kitu kimoja nilichokiona ule usiku. Stori ilikuwa hivi, tangu nimaliza shule (form four) sikubahatika …