MY SECRET DIARY (1)

0
Mwandishi: Michael Mejah

SEHEMU YA KWANZA
Nilichoka na maisha ya shule hasa baada ya kukaa muda wa miaka minne tena kulikuwa kama jera sikuwahi kutoka nje mpaka hapo nilipomaliza na kurejea nyumbani. Nilipitia stationary kununua diary kwa lengo la kuitumia kwa kuandikia nyimbo zangu kwani nilitamani kushiriki mashndano ya bongo starsearch.

Nilifika home na kukuta mambo yamebadilika sana kwani maisha yalikuwa mazuri tofauti na kipindi kile baba alikuwa na pesa na waliajiri wafanyakazi wawili, mmoja alikuwa ni msichana wa kazi na mkaka wa garden na mazingira yote ya nje. Niliishi pale ndani kama king kutwa nacheza pc game na kuangalia tv maana hapakuwa na kazi ya kufanya hadi nguo nilikuwa nafuliwa.

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

Baada ya mwezi mzima kupita nilianza kuona vituko mule ndani na kukumbuka diary yangu mpya nikaichukua na kuandika kitu kimoja nilichokiona ule usiku. Stori ilikuwa hivi, tangu nimaliza shule (form four) sikubahatika kuonana na baba kutokana na yeye kuwa besy ila hii siku nilipanga kuzama chumbani kwa amina yule house maid(dada wa kazi) nikasema "ngoja nilale kidogo nitaamka ndo nimvamie" nakumbuka hiyo siku nilipitiwa na usingizi na nilipokuja kushtuka ilikuwa ni saa6 usiku nilinyata nikafungua mlango taratibu na kuelekea kilipo chumba cha amina nilikuta mlango upo wazi nikafungua kwa tahadhari kubwa na kuingiza kichwa nilichokiona sikuamini macho yangu alikuwa ni baba na amina wakivunja amri ya sita pale kitandani nikafunga mlango taratibu bila ya wao kuniona.

Nilijikuta nguvu zinakwisha na kuvuta diary yangu nikainote ilikuwa tarehe 23/11 siku ya ijumaa, pale niliandika "baba na amina wavunja amri ya sita usiku wa saa sita ni usaliti dhidi ya mama"
Ile asubuhi nilitaka niwahi niakikishe kama ni kweli nilichokiona ule usiku, mama akiwa anajiandaa kutoka kwenda kwenye biashara zake, nilisogea mpaka sitting room na kuchungulia nilimuona amina akimuweka kola sawa mzee na alipomaliza mzee nae akamshika kiuno na kuongea maneno ya chinichini "usijari nilivyoku ahidi nakumbuka" dada amina alikuwa na wasiwasi macho akiyapepesa kulia kushoto pale ndo nikagundua yale yote ni kweli nilirejea chumbani nikaitoa diary yangu chini ya godoro na kuangalia saa ilikuwa saa 12:32 asubuh nikaandika tarehe 24/11 siku ya jumamosi

"Amina na mzee waendelea na tabia ya mapenzi ya siri bila mama kujua hii ni ya pili" nikaificha ile diary kwa kujua kwa vyovyote vile ikionekana na mama ndoa imevunjika nami nisingependa hayo yatokee maana kuishi maisha hayo ni tabu, mfano mzuri nilikuwa namuona rafiki ya paulo ambaye wazazi wake wametengana anapata shida sana. Nilisikia mama akiniita kwa nguvu kidogo jacob jacob jacob, nilitoka fasta mpaka sebureni na kumkuta mama na baba wamemaliza kunywa chai wanataka kuondoka, baba alinishangaa

"eeh! Jacob mwanangu muda hatujaonana vipi mitihani ilikuaje?" Aliuliza mzee

"namshukuru mungu ilikuwa poa tusubiri majibu"

"jacob mwanangu ujitahidi kusoma sisi wazazi wako tunaangaika kwa ajiri yako na urithi pekee kwako ni elimu" alisema mama

Nilifurahi sana kwa jinsi wazazi walionesha kunijari lakini nilimshangaa sana baba kwa kuwa hypocritic person{mnafiki} nilimuomba mzee pesa akaniandikia kimemo niende dukani jb fashion nikachukue laki3 kwa ajiri ya matumizi yangu, hapo nilifurahi sana kwani nilikuwa na hamu na simu ya maana kwa ajiri ya kuchat na wenzangu huko snapchat na whatsapp. Nilijiandaa pale kwa furaha na moja kwa moja nikachukua gari mpaka pasiasi nikamkuta mdada mzuri pale dukani anaitwa angel nilimpatia kile kimemo akatoa pesa yote na kunipatia hapo nilizubaa nikimtazama mpaka akanigundua kuwa namtazama, sikumtazama tu kwasababu ni mzuri ila alikuwa kama mdada mmoja maarufu anaitwa masogange kwa ule mzigo 'tako'
***
Nilitoka na kuelekea town kununua simu huku nyumbani nilimuacha mama akiwa amepumzika sitting room. Nilinunua simu haina ya tecno W4 maana niliipenda camera yake na ukubwa wa screen inchi 5:5 nikaanza safari ya kurejea nyumbani huku nikiwa na furaha kubwa kupata simu.

nilipofika sebureni nilishangaa mama hayupo na huku alisema anataka kuangalia serias mpya na mara zote mama anapokuwa nyumbani upendelea kufatilia mno serias, nilitoka moja kwa moja na kwenda kumgongea angalau nimjulishe nimerejea maana aliniambia endapo nitarudi kuna kazi anataka kunipa. Nilipofika usawa wa mlango nilisimama kidogo baada ya kusikia sauti zinatoka za minong'ono kheee!! "Chumbani kwa mama au??

"haiwezekani hapa kuna namna ngoja nitagundua kama kuna kitu kinaendlea alafu huyu Amina ni malaya usikute yupo na mageuzi wanafanya ufuska chumbani kwa wazee leo mbna watacheza bila kukunja goti"

Niliendlea kugonga safari hii ilikuwa ni kwa nguvu kidogo na hapo mlango ulifunguliwa na mama alitoka akiwa kajifunga kanga kifuani na nyingne kiunoni.
"vipi we nawe mbona msumbufu hivyo? Haya umekuja kunyonya?"

Niliumia kwa kauli aliyonitolea mama hasa me wa miaka 18 sasa ninyonye niliondoka na kubamiza mlango kwa nguvu huku nyuma nilimsikia mama akisema
"mpumbvu kweli yani hata hauna adabu mama yako amepumzika hata kuja kwa adabu unakuja na besi lako sijui unataka kunyonya? Ndo mlivyofundishwa uko shuleni kwenu ngoja baba yako arudi"

Nilikuwa na hasira pale nje mara nikapata wazo ebu ngoja nikachungulie kujua kipi kinaendelea.
"vipi mpenzi wangu mageuzi? Umeumia?" Aliongea mama

"hapana mama sijaumia ila jacob amegundua?" Alijiami mlinzi

"hata akigundua yule ni mwanangu mimi nikiona ananipa shda nampeleka kozi ya kukaa huko mpaka majibu yakitoka, asikusumbue"

Niliumia sana hasa baada ya kusikia maongezi haya na nilimuona mama amelalia mapaja ya mageuzi huku anamchezea ndevu. "unajua huu mchezo wanaochezeana hawa wazee unajua ni utoto, ngoja nikaandike kwenye diary yangu kwa kumbukumbu"
Nilifungua chapter ya pili na kuanza na tarehe 23/11 saa 8:35 "mama akiwa na mageuzi chumbani kwake amempakata wanajadili ni jinsi gani mama anataka kunipeleka kozi ya kukaa huko kuepusha usumbufu" nilipomaliza kunote niliweka charge cm yangu na kisha nikajilaza kwa bed mpaka nikapitiwa na usingzi.
********
"vipi jacob unapakumbuka pale dukani nilipokutuma siku ile?"
aliuliza daddy na mimi nikamuitikia kwa kichwa.
Akanituma nikapeleke check ya bank kwa ajiri ya kudroo fedha za mishahara ilikuwa ni tarehe 28 hiyo. Na mimi bila ijizi nilichukua funguo ya noah nikakanyaga mafuta kuelekea dukani pasiasi.

Nilimkuta angel reception/mapokezi jamani huyu mdada muonekano wake ulikuwa unabadilika kila siku na hapo nikajisemea moyoni "nitafanya juu chni ili nije kufanya kazi hapa dukani" alinihudumia vizuri sana sista Angel

"nashukuru sana sista angel ila unaweza kunipatia namba yako tafadhari" nilijaribu bahati yangu

"eeh jacob unaonekana mcheshi sana, mmh haya bwana lete nikuandiikie" aliongea angel kwa sauti nyororo

Ile tarehe niliiandika kwenye diary yangu ya matukio ya siri. Tarehe 28/11 saa 9:41 "ni siku niliyopata nafasi ya kuongea vizuri na angel nae akanipa namba sasa nafungua ukurasa mpya"

Chapter.03.
Ilikuwa ni jumapili yenye mvua ya lashalasha/kidogo nakumbuka michale ya saa 10 jioni daddy alinipigia simu niende ccm kirumba, nilifuraije maana nilijua mida hiyo mzee anapata kilaji/pombe na nyama choma ni lazima atanitoa hela ya vocha 2. Kweli bwana nilimkuta songambele pub akiwa na mtoto mmoja mweupe amewiva ile mbya harafu sio mkubwa kama si miaka 20 basi 19, mzee alinipa kilo15 za nyama ya mbuni aliyoletewa na rafiki yake kisha akanipa elfu20 ya bodaboda maana sikuwa na gari. Baada ya hapo mimi niliwahi nyumbani nifikishe mzigo ii nirejea nijue mchezo utaishaje kati ya mzee na yule mdada/kimada ambaye sio tu mzuri pia alikuwa ni wa rika letu. Nilitulia pembeni nikawa nakunywa soda taratibu huku natazama mpira macho yote yakiwa upande wa pili alipo mzee.

Michale ya saa nne usiku nilimuona mzee akipanda gari na kimada chake hao taratibu wakawa wanaondoka huku mimi nikifatilia mpaka wakaingia kwenye nyumba mpya mpya nikagundua hapo ndo kile kimada kinaishi "anyday nitakuja tu hapa ngoja nirudi nyumbani" nilijisemea moyoni huku nikiondoka mikono nimeweka mfukoni.

Nilirejea nyumbni saa5 kasoro na kuruka ukuta fyuuuuupu nilipotazama mbele yangu nilishangaa kumuona mageuzi na mama wameegemeana macho yao wote yalikuwa kwangu na walishtuka mno. aliponiona alinifokea kwa kuchelewa kurudi home ila nikampotezea wala sikumjibu na kuelekea ndani, nilipofungua mlango kumbe amina alikuwa anachungulia dirisha tukakutana uso kwa uso na amina aliyeonyesha kushtuka kwa kuingia kwangu ghafla alikuwa na uso wa aibu. Nilimtazamaa nikajisemea moyoni "sasa hapa leo naua ili goma"

Huyu mtoto ana mitego na kanga yake hii ilivyomchora umbo lake na hata mimi sikutarajia kuingia kwenye ule mtego maana nilijua ni goma la mzee, eti nikamuuliza.
"vipi leo mmepika nini" akatabasamu kabla ya kunijibu
"wali na njegere, nyama ya kuku na mboga za majani"
walai huu msosi napendaga kule skuli tunaitaga cha mtume. Nikaagiza aniletee kwa my room.
"jacob jacob amka chakula tayari"

Ilikuwa sauti ya amina baada ya kufika kitandani na kupitiwa na usingizi muda mfupi baada ya kuagiza niletewe msosi sasa mwenzangu kuinama kwake si ndo shida na lile wowowo sijui mchina anajua mwenyewe lakini nilijikuta nadata na kusahau kuwa ni goma la mzee.
Nilipeleka mkono wangu mpaka kwenye tako lake na kulitikisa mfumo wa mteja anatikisa tikiti maji pindi anapotaka kununua. "mmh jamani jacob kumbe na wewe unapenda kumbe" niliona kanidharau
. "sasa kwani mimi sio mwanaume au? Leo uondoki mpaka unipe utamu wako" nilijikuta naongea kauli ya kishujaa wakati namvuta mpaka pale kitandani akaja na kunikalia mapajani mwangu sema alikaa vibaya mwenzangu si akamkalia babu wee nilimnyanyua na palepale nikampiga dole la matakoni. "wee jb me sipendi hyo michezo tutagombna" nikawa mpole na kulichomoa fataki langu lililokuwa linauma ndani ya nguo. Kupepeti nililipeti siku hiyo sema huyu mama nae kwa kuitaita hajambo ndo akanitibulia. Nilimuahidi nitakuja saa saba usiku akatoka nje.
***
Jamani huyu dadie kiwembe hatari na anahonga nyumba tu yeye na material anayoyachukua ni vitoto vya chuo kama pale st.augustino sasa kuna kadada kaitwa merry amemjengea nyumba nyamagana pale siku hyo tulitoka dukani kununua gypsum

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)