MY SECRET DIARY (11)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (11)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Sasa kwa muda ambao nilikuwa najifanya kumuombea rose kwakuwa yule anayekuja haikuwa rahisi kutuona kwakuwa nilimpa mgongo na isitoshe alikuwa mbali kidogo kutuona haikuwa rahisi sasa kwa muda ule rose aliweza kuvaa vizuri nguo zake na pia mimi nilipata fursa ya kumrudisha kasuku wangu pangoni kisha tuliendelea na maombi kabla ya kumaliza. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... B"haya nenda kapumzike nadhani utakuwa sawa" Tuliongea mimi na rose na kumfanya aliyekuwa pale aamini kabisa kuwa tulikuwa kwenye maombezi kumbe we acha tu. Ile kugeuza shingo alikuwa mchungaji akatabasamu huku akiwa ameweka mikono yake nyuma. "kazi nzuri sana jacob" "sifa kwa mungu" "haya me naenda usiku mwema" aliaaga rose na kutuasha na mchungaji. "haya rose ubarikiwe" "amina mchungaji" Rose alipopotelea nje kabisa nikabaki mimi na mchungaji kis…