SEHEMU YA KUMI NA MBILI
ILIPOISHIA...
"Jamani me napenda kuwashukuru wanafunzi wenzangu kwa upendo wenu hasa team ya maombi mlikuwa msaada mkubwa kwangu, roho inaniuma kuwaasha lakini siwezi kuzirudisha siku nyuma nalia mie kwa kutokuwa na msimamo hadi mchungaji emma aliponilaghai na kunipa mimba hii najuta mie leo nawaasha wenzangu, jamani nawahasa someni yasiwakute kama yaliyonikuta mimi na kibaya zaidi kaniambukiza na ukimwi kwani niliomba nifanyie kipimo hicho pia eeh yesu wangu"NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
"Vipi unajisikiaje sasa?"
"najisikia vizuri ila kichwa kama kizito"
Rose alianguka na kupoteza fahamu Wanafunzi wote walisikitika sana na wengi walitoa machozi hata mimi nilishndwa kujizuia kulia kila aliyepata nafasi ya kusema alisema lake hata sikuwa na furaha tena wakati wenzangu wanaenda madarasani mimi na patricia, prisca na joan tulienda kumsaidia rose kumpeleka ofisini wakati huo namuangalia mtoto wa watu huku na uchungu mkubwa moyoni.
Baada ya dakika 15 alizinduka huku mama yake akilia kama mwendawazimu wakati wakina patricia wapo nje nilizungumza na rose mule ndani.
"jb haya yote niliyatafuta wacha nife tu ila nakuomba umshike huyo yesu kisawasawa mimi nilishndwa najua nitakufa ila Wewe utatoa ushuhuda wa haya yote"
"hapana rose utakufa bali utaishi na utayasimulia matendo makuu ya mungu hata biblia inasema"
"najua hivyo jb lakini these is written in
# my_secret_diary /hili limeandikwa kwenye kitabu changu cha siri."
"una maanisha nini rose jamani?
"utajua mbele ya safari jb we niache tu kwasasa"
Wakati tunaendelea kuongea mara nilisikia gari linaingia kisha wakachuka polisi wawili wa kiume walivaa nguo za ffu wakaja mpaka kule ofisini wakawa wanaongea na mama yake rose.
"ndio afande amefungiwa kule stoo eti anajiita mchungaji kumbe anatia mimba watoto za watu mimba na ukimwi juu aki ya mungu mimi simuachi ntakula nae sahani moja"
Mama yule alimvuta mwanae wakawa wanaondoka nae uku yule mchungaji akifungwa pingu za mikononi.
Wakati ule nilikuwa kama mlingoti nikishuhudia mchungaji akifungwa pingu na kuingizwa kwenye defender, roho ya huruma ilinijaa wakati naendelea kutafakari rose alisogea mpaka nilipokuwa.
"wewe unawazawaza nini?" Huku ananitikisa mabega.
"yani hapa hata siamini kinachotokea naona kama igizo"
"ndo uamini lakini jb nataka nikwambie kitu kimoja" aliongea na sura ilibadilika kuonyesha umakini zaidi
"khe kitu gani tena!
"usiogope bwana nataka kukwambia kuwa hii mimba ni ya kwako na ningependa kuzaa na wewe uje kuwa baba nami mama mimi nikishajifungua nitaendelea na shule na wewe ukiingia six me nitakuwa five" alinishangaza mnoo
"rose naomba hayo mawazo yafute mimi ni mtoto wa mchungaji na kama haitoshi mimi sina mpango wa kuishi maisha ya ndoa kwa sasa"
"uuuuh jb nina matani na wewe? Unajua kwanini huu ujauzito nimemsingizia yule mchungaji wenu? Sasa subiri" alibadilika na kuwa mbogo
"we rose unataka kufanya nini? Ebu tulia bwana nilikuwa nakutania"
"unajua jb nakupenda sana na ndio maana nipo tayari kufanya lolote kwa ajiri yako mama huyo anakuja nadhani tutawasiliane namba yako si 0716082149 na 0685682375?"
"mmh yeah yeah" niliitikia kwa namna ile baada ya kumuona mama yake
"bye best yangu, mama huyu alikuwa mwanamaombi mwenzangu"
"mpuûzi twende uko maombi maombi unaniletea mamimba na ngoja uko utajua kwa baba yako"
Rose na mama yake waliongozana na kuniasha nimesimama tu nawaza çha kufanya wakati naanza kuondoka mara nikasikia naitwa.
"jb jb subiri mara moja"
"nini tena wewe?" Alikuwa rose
"shika hii elfu hamsini nakuomba jb kuwa makini si unazijua hali zetu usije ukawaambukiza wengne byee"
Nilimtazama rose alivyokuwa anaondoka nikajikuta nang'ata midomo kutokana na lile furushi kiunoni nikajipiga kichwa "wewe mimacho nawe unatamaa kweli Pumbafu uoni haya majanga haya"
Nilitembea taratibu kurudi darasani na huku nafungua kile kikaratasi kuangalia ile hela aliyoniweka daa ilikuwa hamsini net niliamini huyu mtoto ananipenda lakini haya yanataka kutokea kama ya faustina naye ilikuwa kama hivi mwishowe yeye akaendelea na form six me nikarudia form five na leo tena leo rose nae anarudi nyuma kisa ujauzito?
Nilizama darasani na kumkuta mwalimu chemistry anafundisha "inoraganic chemistry" nalitoa daftari na kitabu nikaanza kupitia wakati mwalimu anafundisha.
***
Likizo ilifika mzee akanitumia tiketi ya ndege mpaka nyumbani mwanza nilikuwa ni mwenye furaha kupumzika na shuruba za shule nilifika airport nikamkuta mama yeye ndo amekuja kunipokea ilikuwa furaha maana mama yangu sijamuona muda mrefu.
"vipi masomo mwanangu?"
"nashukuru mungu tunapambana nayo vipi huduma?"
"yani tunamshukuru mungu tumepata ufadhili sasa kanisa ni kubwa mno jioni tutaenda leo ni mazoezi ya kwaya"
Niliposikia kuna kwaya nilifurahi maana napenda sana kuimba na tayari nilishaweka nadhili ya kumtumikia mungu.
Siku hiyo jioni kama saa moja tulienda kanisani na mama na kuwakuta wanakwaya pale wanafanya mazoezi walipotuona walitusalimia pale.
"jamani kila siku mnaniita mama jacob jacob mwenyewe ndo huyu kitinda mimba changu"
"khe kumbe mama mchungaji una mtoto mkubwa"
Tulicheka pale nikawasalimia kisha wakaendelea na mazoezi mimi na mama tulikuwa tunazunguka mule kanisani. Wakati tunarudi tukiwa njiani nilimuona mtu kama faustina nikamwambia mama asimamishe gari.
"khe jacob mambo wangu!
"poa yani faustina kitambo sana umeshamaliza?"
"yeah nimemaliza kulekule masasi wewe upo wapi?
"nipo st. Laurance tanga"
"ila unajua jb bado nakupenda"
"khee jamani jb upo jamani"
"nipo my vipi umemaliza shule tayari?"
"yeah ndo nimemaliza juzi juzi hapo tu"
"umemaliza palepale masasi girls?"
"yeah, vipi wewe unasoma wapi?"
"me nipo st. Laurance tanga"
"ila jb nilikumbuka mambo yako yale jamani"
"yeah yeah vipi pamebadilika sana mtwara?"
"mh papo kama ulivyopaasha lakini mbona"
Nilimfinya na kumstopisha asiendelee kuongea sana maana mama alikuwa akitusikia maöngezi yote halafu mama anamjua faustina vizuri toka kipindi kile nilipoumwa nikarudishwa nyumbani hoi, nilimkonyeza na kuashiria mama yupo pale ndani ya gari maana sisi tulikuwa nyuma nje ya gari.
"mama yangu mzazi! Amesikia? Alishangaa faustina
"hata sijui kama amesikia na kama amesikia ni lazima ataniuliza tu, cha kufanya we ondoka taratibu"
"sawa my number zngu ni 0655085519 unitafute basi my"
Faustina akaondoka kama ananyata hata kabla hajafika mbali "we binti we binti ebu njøø" aliita mama
"bee shikamoo mama" alisalimia kwa woga.
"marahaba haujambo? Jacob na wewe njoo"
"sijambo"
"unajua nikwambie kitu binti yangu, katika umri wako huo vijana huwa mnafanya mambo mengi ambyo kwa wakati huo mnaona mnakwenda na wakati lakini mwisho wake mnakuja kulia, me nakukumbuka sasa mnataka kuyarudia maisha yale si ndio?"
"ha.a.pana mama" tulijibu kwa pamoja.
"jamani nyie wote mnajua afya zenu na mungu amewaepusha na meng kama mna mambo mnataka mfanye ebu angalieni si chukizo kwa mungu, me nawapenda wanangu lakini ebu jitunzeni wakati utafika tu me najua mnapendana na angalau siku moja muwe kama sisi"
manenö ya mama yalituingia na kutufanya tuwe kimya sana na taratibu nikaanza kuvuta kumbukumbu mungu aliponitoa kule. Nakumbuka nilikuwa malaya sana na nilitembea na wanawake hata idadi sikumbuki na ndipo nilipopata maambukizo ya ukimwi na niliumwa nusu ya kufa lakini mungu alinisaidia na huyu faustina shahidi wa yote. Pia nakumbuka wazazi wangu wote wawili walivyokuwa wanatoka nje ya ndoa lakini mimi ndo nilisababisha wao kuokoka mpaka leo ni wachungaji.
"wewe jacob, jacob unawaza nini?"
Nilishtuka kutoka kwenye lindi la mawazo na mama alitwambia tuingie wote ndani ya gari.
***
Nilimshawishi faustina tukawa tunaimba wote kwaya na mimi nikawafundisha nyimbo kama mbili nilizowahi kuzitunga kipindi cha nyuma kidogo kila mtu alikuwa mwenye furaha kwa uwepo wangu japokuwa walikuwa na mwalimu wao wa kwaya lakini mimi niliongeza vitu ving vipya.
"mwalimu tunashukuru jamani yani mambo yako mazuri"
Wanakwaya wengi walikuwa wananifata na kuniambia wanavyoona ujio wangu. Nilikuwa kuwa na mazoea na wakina dada wengi na kipindi hicho nilikuwa kwenye kikundi cha maombi na kushuhudia nyumba kwa nyumba.
Kuna jumamosi moja wakati tunamaliza mazoezi ya kwaya kuna dada mmoja tunaimba nae kwaya yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha st.augustino kila siku alikuwa ananiomba nikafanye nae maombi kule hostel kwao kwani kuna mambo ya giza siku hiyo niliona bora niitikie wito wake tukaenda wote.
Jamani kuna watu wengne wanakuja tu makanisani kuficha makucha yao sikuamini yule dada na wenzake wa hostel walivyonifanyia.
Nilikaribia kwenye chumba wanachoishi wanafunzi wa chuo cha st.augustino nikiwa na mwenyeji wangu dada magreth aliye mwaka wa pili anachukua shahada ya udhamili.
"eeh karibu sana jb" rydia
"nashukuru nimekaribia"
"lucy jamani kaeni vizuri basi mgeni amekuja kufanya maombi jamani"
"hee kwani tumekaa vibaya au?" Alijibu mdada alikuwa amelaza makalio juu yani bwiduu
"jamani ryidia sipendi majibu yako kama hauwezi toka nje basi"
"mh achana nae bwana hivi huyu ndo yule mtoto wa mchungaji edwin?" aliuliza mdada nilisikia akiitwa rehema.
"yeah ndio si unamkumbuka siku ileeee" alijibu yule aliyenibua makalio bwiduu
"yeah nimemkumbuka ni anaimba huyu mkaka, za kwako kaka" rehema
Alinisalimia na mimi nikiwa navunga kuchezea simu yangu kama hujuavyo wanafunzi wa chuo walivyokuwa open yani walikaa na tait tu hata bila chembe ya aibu labda huyo rehema ndio alinyanyua upinde wa kanga akajisitiri lakini huyo ryidia na lucy walikuwa hawana wasiwasi waliendelea kuchat na simu zao nilipatwa na wasiwasi huenda kuna michezo ya kusuguana gaga mule ndani.
"nzuri tu dada sijui wewe!" Nilijibu
"poa tu karibu karibu sana"
"asante nimeshakaribia"
"utatumia kinywaji gani sijui?"
"aah wala usijari siku nyingne nitakapokuja nadhani itakuwa poa"
"khee! Ryidia Ryidia video ya marry you ya neyo na chibu imeshatoka kumbe" rehema
"khee! We kupiga kote kelele nikajua sijui nini kumbe hiyo nyimbo me nimeiona tokea jana"
"jamani lucy, ryidia kimya kidogo basi tuna maongezi jamani mbona mpo hivyo" aling'aka magreth baada ya kuona shoga zake wanapiga kelele na kiukweli wana fujo na yote ni kutokana na mitandao ya kijamii ilivyowachanganya.
"haya basi mama punguza gubu basi"
Kidogo walitulia nikamuona huyu ryidia akichuka kutoka kitanda cha juu akiwa na tait yake ya pink na kiblauzia cheupe akachukua kanga na kujifunga kisha akachomeka chaji simu yake.
"mwenzangu ngoja niweke chaji maana hizi smart hata hazikai na chaji"
"Khe umenikumbusha na mimi ngoja nizime data niweke chaji maana si unajua mida mida ndo vile"
lucy nae akanyanyuka alikuwa na mapaja makubwa halafu blackbeauty hivi amazing!! Kiukweli dunia inavutia sana nae akajifanya eti hajui kuwa kuna mgeni ameingia.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com