MY SECRET DIARY (12)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... "Jamani me napenda kuwashukuru wanafunzi wenzangu kwa upendo wenu hasa team ya maombi mlikuwa msaada mkubwa kwangu, roho inaniuma kuwaasha lakini siwezi kuzirudisha siku nyuma nalia mie kwa kutokuwa na msimamo hadi mchungaji emma aliponilaghai na kunipa mimba hii najuta mie leo nawaasha wenzangu, jamani nawahasa someni yasiwakute kama yaliyonikuta mimi na kibaya zaidi kaniambukiza na ukimwi kwani niliomba nifanyie kipimo hicho pia eeh yesu wangu" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Vipi unajisikiaje sasa?" "najisikia vizuri ila kichwa kama kizito" Rose alianguka na kupoteza fahamu Wanafunzi wote walisikitika sana na wengi walitoa machozi hata mimi nilishndwa kujizuia kulia kila aliyepata nafasi ya kusema alisema lake hata sikuwa na furaha tena wakati wenzangu wanaenda madarasani mimi na patricia, prisca na joan tulienda kumsaidia rose kumpel…